CCM nimewasoma vilivyo kuhusu nia yenu ya kupata wabunge wengi

Nov 22, 2017
16
5
Kumbe nia ya kutumia nguvu kubwa katika kuuwa upinzani ni ili wapate wabunge wengi bungeni na wapate nafasi ya kupata kula ya ushindi pale watakapopigia kumwongezea rais muda wa kukaa madarakani, sasa washindwe na walegee kabisa hawa sisi wananchi tumeshachoshwa......
 
Ramli ya kipuuzi Sana hii, haifai
 
Wabunge wengi ni ushindi na kila kambi linatamani liwe nao wabunge wengi. Basi tu vyuma vinakaza na unawakosa
 
Back
Top Bottom