Unaposema kuwa lengo ni kuwa na spika mwanamke yaani unaangalia jinsia badala ya sifa na uwezo wa mtu, huu si ndio ubaguzi wa kijinsia ccm ikijifanya kuhupiga vita kila siku??? Je kesho akitokea mtu akasema nataka nimchague mtu kwenye nafasi fulani lakini lazima mtu huyo awe mwanaume, watu watakuelewaje??. Definetily utaonekana wewe ni mbaguzi, sasa iweje kwenye hili tusiwaite ccm wabaguzi wa jinsia.