CCM ni lazima kujitenga na kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza

Tulio wanachama wa CCM toka enzi za TANU kulikuwapo na msemo uliokuwa unaaminiwa kama sala miaka hiyo.

CHEO NI DHAMANA.

Tukio la kusikitisha lilotokea eneo la Kisesa nje kidogo ya mjo wa Mwanza, ambalo lilisababisha vifo vya watu wawili lazima liangaliwe katika msimamo unaostahili.

Mpaka sasa tunapata habari kutoka vyanzo vya habari toka sehemu mbali mbali, pamoja na taarifa ya polisi.
Clement Mabina -aliyekuwa Mwenyekiti waCCM wa Mkoa wa Mwanza , mpaka kifo chake, saa 3 au nne hivi asubuhi, alienda kulishughulikia shamba ambalo wananchi wa karibu walikuwa na ugomvi naye , ugomvi wa umiliki wa shamba hilo.
Kosa la kwanza ni kulishughulikia shamba ambalo Mabina ni dhahiri alikuwa na ugomvi na majirani zake.

Pili . wananchi waliokaribu wakahoji ni vipi Mabina aingie kwenye shamba, tena bila kutoa taarifa kwa wagomvi wake na kuendelea kulishughulikia shamba hilo.

Tatu katika inaelekea mabishano na wanakijiji waliohoji , Bwana Mabina aliktumia bunduki aina ya shotgun kumuua mmoja wa wanakijiji aitwae Temeli Malemi, kijana wa miaka 13-14 hivi.

Wana kijiji wakacharuka na kujichukulia hatua ya kumpopoa muheshimiwa huyu mpaka mauti.
Kwa wanaouelewa mkoa wa Mwanza , jiwe ni a weapon of choice, huendi mita moja bila kukuta jiwe l aina yoyote.

CHEO NI DHAMANA, na mwenzetu huyu hatuna haja ya kumhukumu lakini alitumia cheo chake bila ridhaa ya waliomuweka madarakani-wananchi.
Mbaya zaidi yaliyofanyika na mwenzetu huyu ni masuala ya JINAI, masuala ambayo CCM hairidhii wala haikumtuma.
Ametumia ubabe, na ubabe wa wanachi umedhihiri.

Ni kwa vile nchi hii ni ya sheria , lakini CCM kujihusisha na tabia za namna hii ni kujitakia kifo.

CCM lazima ijitenge na kifo cha mwenzetu huyu, ambaye alitumia dhamana yake vibaya.
tunakushukuru sana ndugu MWANATANU - MWANACCM , Swali , JE HILO NDIYO TAMKO LA CHAMA CHENU JUU YA MABINA ?
 
Pole ndugu yangu. CCM ya aina unayoiongelea hapa ilishakufa kitambo. Kwa ccm hii cheo ni mali binafsi na familia!
 
Mkuu katika kuchanganya habari ili isimame uwezo wa akili ni kitu cha muhimu sana. Ukikosekana unaanza kuokota okota maneno na kuyaweka ukidhani unajenga hoja yako kumbe unaibomoa.
Tatizo hili hata yule Mchumi wao "daraja la kwanza" analo ndio maana hoja zake siku zote ni vituko
Kuna member kaweka signature, "some people appear bright , that is until you hear them speak".
How philosophical the guy was!
 
Sumaye ana ardhi kila kona,ni sera ya chama cha mizigo kukwapua ardhi ya walala hoi
Siyo vizuri kushabikia kifo cha binadamu, lakini ni muhimu lujua kifo kama hiki cha Mabina kinatuachia funzo gani?
Tumesikia sehemu mbalimbali za nchi hii wakubwa wakipora ardhi toka kwa wanyonge kwa kisingizio cha uwekezaji. Kuna mifano mingi tu huko Arusha.Tumesikia wakulima dhaifu wakiporwa ardhi na kupewa matajiri wa ng'ombe. Ni juzi tu tulimuona Ndugai akilalama kwenye jimbo lake juu ya ardhi kupewa wafugaji wa Kiteto.
Wananchi wamevumilia sana, wameona maliasili zao kama madini, wanyamapori nk yanaporwa wakanyamaza; sasa wameguswa katika uhai wao wa moja kwa moja (livelihood); hakika hawawezi kunyamaza. Kibaya zaidi mtu anatumia silaha ya moto na kuua ili kupora ardhi! Hakika haikubaliki. Huo unawez kuwa ni mwanzo wa wanyonge kuchukua hatua wanazoona zinafaa.
Tutasema wamejichukulia sheria mkononi - sawa, je nani angemshtaki mwenyekiti wa ccm mkoa kwa kupora ardhi? Nani angemshtaki kwa kosa la kuua? Kumbukumbu ya Ditopile na Konda wa daladala haijafutika akilini mwetu.
Taifa au nchi yoyote hutambuliwa kwa mipaka yake; na mipaka ndiyo huonyesha ardhi ya nchi hiyo; kama huna ardhi huna nchi. Vivyo hivyo kwa mtu mmoja mmoja; kama huna ardhi huna kwako maana utakuwa unapanga kwa mtu mwingine. Hivyo basi kumpora mtu ardhi ni kumpora uwepo wake - usitegemee atanyamaza.
Tufanye nini sasa:
-Matumizi ya mabavu kupora ardhi ya watu yakome mara moja na ile iliyokwishaporwa irudishwe
-Matumizi mabaya ya madaraka yadhibitiwe; waliompatia Ditopile dhamana na kuonekana kama hakuua vile, wajutie makosa yao.
- Kesi zozote zinazojulikana kuwa wanyonge walisingiziwa na wenye mabavu ya fedha au madaraka, zifutwe na waliokwishafungwa wafunguliwe na walipwe fidia stahili,
-Hao walioshikwa kwa mauaji ya Mabina waachiwe haraka sana, kwani kwa vyovyote vile walikuwa wanajihami (self defence) dhidi ya mtu mwenye silaha.
-Huyo kijana aliyeuawa na Mabina atambuliwe kama shujaa wa kudai haki toka watanzania wenye ulafi; na hii iwe mwanzo wa mwisho wa kupora si tu ardhi bali mali zote za wanyonge!
 
Mkuu nilitangulia kusema CHEO NI DHAMANA.
Dhamana hiyo inatoka kwa wananchi, wengine walala hoi.
Dhambi aliyofanya marehemu Mabina, kutumia wadhifa wakekwa mabavu, kuua hsikubaliki, pamoja na kuwa ni mwenyekiti wa chama mkoa.
Chama hakikumtuma kufanya jinai.
Ni vema chama kikaonyesha kuchukia tabia hii kwa kutijihusisha na matendo hayo binafsi ya mwenyekiti wake wa mkoa wa Mwanza.
Wananchi waathirika hawatakielewa chama.

Mimi Kama mwananchi sitawaelewa ikiwa mtaacha kumzika ati kwa sababu mnataka Chama kionekane kisafi. Imeandikwa msihukumu. Ni nani ambaye ni msafi kuliko yeye aliyekufa? Kama nilivyosema, mwanao akiuawa kwa wizi hujitengi naye, Bali unampa maziko ya heshima. Huo ndio utu.
 
Jambazi sugu la ardhi limeuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumuua kwa risasi za moto mtoto masikini asiye na baba na asiye na hatia yoyote
 
Siyo vizuri kushabikia kifo cha binadamu, lakini ni muhimu lujua kifo kama hiki cha Mabina kinatuachia funzo gani?
Tumesikia sehemu mbalimbali za nchi hii wakubwa wakipora ardhi toka kwa wanyonge kwa kisingizio cha uwekezaji. Kuna mifano mingi tu huko Arusha.Tumesikia wakulima dhaifu wakiporwa ardhi na kupewa matajiri wa ng'ombe. Ni juzi tu tulimuona Ndugai akilalama kwenye jimbo lake juu ya ardhi kupewa wafugaji wa Kiteto.
Wananchi wamevumilia sana, wameona maliasili zao kama madini, wanyamapori nk yanaporwa wakanyamaza; sasa wameguswa katika uhai wao wa moja kwa moja (livelihood); hakika hawawezi kunyamaza. Kibaya zaidi mtu anatumia silaha ya moto na kuua ili kupora ardhi! Hakika haikubaliki. Huo unawez kuwa ni mwanzo wa wanyonge kuchukua hatua wanazoona zinafaa.
Tutasema wamejichukulia sheria mkononi - sawa, je nani angemshtaki mwenyekiti wa ccm mkoa kwa kupora ardhi? Nani angemshtaki kwa kosa la kuua? Kumbukumbu ya Ditopile na Konda wa daladala haijafutika akilini mwetu.
Taifa au nchi yoyote hutambuliwa kwa mipaka yake; na mipaka ndiyo huonyesha ardhi ya nchi hiyo; kama huna ardhi huna nchi. Vivyo hivyo kwa mtu mmoja mmoja; kama huna ardhi huna kwako maana utakuwa unapanga kwa mtu mwingine. Hivyo basi kumpora mtu ardhi ni kumpora uwepo wake - usitegemee atanyamaza.
Tufanye nini sasa:
-Matumizi ya mabavu kupora ardhi ya watu yakome mara moja na ile iliyokwishaporwa irudishwe
-Matumizi mabaya ya madaraka yadhibitiwe; waliompatia Ditopile dhamana na kuonekana kama hakuua vile, wajutie makosa yao.
- Kesi zozote zinazojulikana kuwa wanyonge walisingiziwa na wenye mabavu ya fedha au madaraka, zifutwe na waliokwishafungwa wafunguliwe na walipwe fidia stahili,
-Hao walioshikwa kwa mauaji ya Mabina waachiwe haraka sana, kwani kwa vyovyote vile walikuwa wanajihami (self defence) dhidi ya mtu mwenye silaha.
-Huyo kijana aliyeuawa na Mabina atambuliwe kama shujaa wa kudai haki toka watanzania wenye ulafi; na hii iwe mwanzo wa mwisho wa kupora si tu ardhi bali mali zote za wanyonge!

Like...
 
Back
Top Bottom