CCM ni kama wamenyeshewa mvua - Hakuna kiongozi wa kitaifa wa CCM wala taasisi zake waliolaani "kupotezwa" Mo

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,206
2,587
Mohammed Dewji ni mwanachama maarufu wa CCM na mbunge mstaafu, lakini hakuna kiongozi mkuu wa CCM Taifa na taasisi wanazoziongoza walioshtushwa na kutekwa na hatimaye kupotea kwake, hii kwao si tatizo kubwa...wanahangaika tu na kupokea wabunge wasaliti wa upinzani na kutangaza tarehe za chaguzi za marudio kwa kushirikiana na NEC na Polisi...

Hata wale viongozi ambao kwa kawaida huwa na kidomodomo hawajasema lolote, je ni coincidence tu au organs zote hizi ziko informed na uhalifu uliotendeka?

Tuanze na Mwenyekiti wa CCM Taifa....huyu tweet yake ya mwisho ni ya tarh 14 October, akimpa pole rafiki yake Kaguta Museveni kutokana na vifo vya watu 40 nchini Uganda...no mention of Mo Dewji hata kabla ya hapo..

Then ni Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally...huyu tweet yake ya mwisho ni ya tarh 27 septemba, anazuga eti kugombana na Waziri Ummy Mwalimu...hana habari na kupotea kwa Mo...

Then, Chakubanga...huyu tweet yake ya mwisho ni ya tarh 7 October 2018, anahamasisha uhalifu wa wabunge wa Upinzani wahamie CCM kabla ya mwisho wa mwaka...kupotea kwa Mo siyo ishu kwake

Then Mama Samia Suluhu Hassani, yeye tweet yake ya mwisho ni ya tarh 28 September anahangaika na 'viumbe vamizi' wa kwenye maji, mimea na wanyama...."Viumbe vamizi wa Utekaji na Mauaji ya Raia hana habari nao...

Then Waziri Mkuu, naye kimya hana hajali...

Polisi Makao Makuu nao kimya, Sirro anaikwepa kabisa inshu hii which may mean sasa hivi hashirikishwi kwenye dili hizi!

Then taasisi zenyewe za CCM...Hawa wao mawasiliano ya kitaasisi yamekufa, imebaki kila mtu na account yake binafsi, na siku hizi mawasiliano mengi zaidi ya CCM hutolewa na Gerson Msigwa wa Ikulu badala ya Polepole au Bashiru Ally...tweet ya mwisho ya CCM ni ya december 1, 2015, miaka minne iliyopita..

UVCCM....tweet yao ya mwisho ni ya 30 dec, 2016...miaka mitatu iliyopita..

Then Msemaji wa serikali na Msigwa watumishi wa Umma lkn wadandiaji wakubwa wa mambo ya CCM nao wako kimya kama wamenyeshewa mvua, kunani?

Swali langu la mwisho ni kwanini CCM na viongozi hawajali kupotea kwa Mo? Kwao wao kutekwa mfanyabiashara mkubwa vile ni tukio la kawaida?
 
Tuwekee na tweet ya mwisho ya Mbowe, Mashinji, Bavicha na Bawacha ili tulinganishe!
 
Mtoto wako akipotea unatuma salamu Za Pole Au unapokea salama Za POle?

Umewahi kusikia METL inatoa Salam Za pole kupotea Kwa MO?
 
Chama cha majangiri na majizi
tapatalk_1520014053177.jpeg
 
Kojoa ukalale, unaleta mambo ya vyama apa, go to make checkup in your brain man coz you still have dominant ideas!!!!
 
Wewe mambo ya vyama huyataki kabisa eti? Kumbuka serikali huundwa na chama na pia maendeleo hayana chama ila mpaka mwanao ashibe ndo unamuangalia mtoto wa jirani. Pia tunawapokea wanaokuja kuunga mkono juhudi za utekaji nyara.
 
Back
Top Bottom