Ccm ni kama nyani kachoka!

Mbaliche

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
294
61
Nimefanya kazi ya kuwinda nyani kwa muda mrefusana. Kwahiyo na fahamu tabia za nyani A 2 Z.

Kwa kawaida mnyama huyu kabla hajachoka huanza kukimbia kwamadoido na mbwembwe kibao, hukimbia na kufika mbali na kukusubiri umkaribie ndipo huanza mbio tena.

Vituko huanza mara anapokuwa amechoka, atajaribu kukwea kila mti atakao uona mbele yake hatakama sio size ya kuukwea. Na baada ya jitiada zote kugonga mwamba ndipo hutafuta jani na kujiziba usonituu, pasipo kuuficha mwili wote.

Ccm sasa wamefanya kila aina ya madoido sasa wamesha choka ndo maana sababu nyingi mara makomandoo, mara hijabu ya dc mara waandishi wa habari wamefanya nini. Kimsingi nasema byeebyee Ccm.
 
Back
Top Bottom