F9T JF-Expert Member Dec 26, 2015 2,674 4,942 Feb 15, 2016 #1 hv unaanzaje kusema ccm ni ileile wakati hii ya sasa haina fisadi mkuu lowasa, haina wazee 'wenye busara' kama kingunge.? je, ni kwl ccm ni ileile?
hv unaanzaje kusema ccm ni ileile wakati hii ya sasa haina fisadi mkuu lowasa, haina wazee 'wenye busara' kama kingunge.? je, ni kwl ccm ni ileile?
Innocent Kirumbuyo JF-Expert Member Jan 1, 2014 4,640 4,447 Feb 15, 2016 #2 Duu akili nyingine zimechangiwa na kuLa viwavi
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,218 Feb 15, 2016 #3 F9T said: hv unaanzaje kusema ccm ni ileile wakati hii ya sasa haina fisadi mkuu lowasa, haina wazee 'wenye busara' kama kingunge.? je, ni kwl ccm ni ileile? Click to expand... Kufa ukamuulize captain Komba, kisha utuletee majibu, kwamaana sie hatujasema hayo.
F9T said: hv unaanzaje kusema ccm ni ileile wakati hii ya sasa haina fisadi mkuu lowasa, haina wazee 'wenye busara' kama kingunge.? je, ni kwl ccm ni ileile? Click to expand... Kufa ukamuulize captain Komba, kisha utuletee majibu, kwamaana sie hatujasema hayo.