Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena.
Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua kuwa kura za maoni huwa ni chanzo cha kushindwa na wapinzani ndio maana safari hii walikuwa makini hasa kutumia intelijensia ya Ccm kubaini nani anafaa kuwa mgombea anayekubalika kwa wananchi.
Mfano ni jimbo la Bunda walipobaini walifanya makosa 2015 kumkata mgombea anayekubalika kwa wananchi,safari hii walimpitisha na amepita kiulaini kama anashushia fundo la bia ya baridiii.
Kosa lingine ambalo walijua liwagharimu nyakati za uchaguzi ni kutengeneza makundi baada ya kura za maoni. Safari hii Ccm ilihakikisha makundi yanavunjwa baada ya kura za maoni na hii imesababisha kuwa na umoja ambao umeleta ushindi mnono.
Mfano mwaka 2010 uchaguzi ulipofanyika Ccm walimkata mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini, Komredi Mwakalebela na hapo Petro Msigwa akashinda. Mwakalebela alikuwa anakubalika na wanaCcm ambao walichukia na kukipa kura chama cha mr Mbowe.Safari hii wamejirekebisha na jimbo limerudi Ccm.
Hivyo vyama kama Chadema na wapinzani watambue kuwa siasa ni sayansi. Na pale mnapofanya makosa mnatakiwa mjitathimini na kurekebisha makosa. Makosa ya 2015 na 2020 ni yale yale na yamekigharimu makubwa Chadema na hii ni sababu Chadema hawana wasomi na watu wenye hekima wamejaza mabaunsa na wahuni tu.