CCM ni chama kizuri na bora kabisa kisichohitaji propaganda katika kuelezea mazuri yake.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Huwa ninashangazwa sana kuona viongozi wa chama na serikali wakitumia nguvu kubwa sana kukipamba chama chetu ilhali CCM imeshajipamba yenyewe.
Mema na uzuri wa sera za CCM uko dhahiri kabisa na kila mwananchi mwenye macho anaona.
Wanachotakiwa kufanya viongozi wa CCM ni kuwa mfano kwa vitendo badala ya maneno mengi. Mathalani siku moja tumuone Mwenezi wetu Polepole akiwa shambani kwake akifanya kilimo cha kisasa. Au Dr Bashiru akishiriki kujenga nyumba yake kule kijijini.
Huko nyuma tumewahi kumuona mzee Mwinyi kwenye shamba lake la maembe, mzee Kikwete kwenye shamba lake la mananasi na hata mzee Lowassa kwenye zizi lake la ng'ombe.
Sera za CCM ni nzuri na zinajiendesha zenyewe haihitaji magwanda ya kijani kwenye sherehe za ufunguzi wa miradi eti ndio ionekane tunatekeleza sera za chama. Ukiwauliza viongozi wa CCM wakuonyeshe shughuli wanazofanya kwa mikono yao utapigwa na butwaa wao kazi wanafanya kupitia midomo yao na hiyo ni kinyume na itikadi ya Ujamaa na kujitegemea.

Ahsanteni
Maendeleo hayana vyama!
 
Nakuona kwenye ubora wako
tapatalk_1544980134646.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakihitaji propaganda ingali wewe hapo unafanya propaganda

CCM bila polisi ni wepesi kuliko hata karatasi ya kuchambia!
 
Tanzania hakuna chama chenye sera nzuri kama ccm, na hakuna chama chenye viongozi wenye ufinyu wa usimamizi wa sera kama ccm.
 
Back
Top Bottom