CCM ni chama kinachoweza kumuwajibisha yeyote wa nyadhifa yoyote wakati wowote bila kupata mpasuko!

Leo asubuhi nilipokuwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa katika kituo maarufu cha televisheni cha Star TV ya jijini Mwanza kwenye mada iliyokuwa inahusu uwajibikaji. Nilizungumza juu ya maana halisi na upana wa dhana ya uwajibikaji. Nikaugawa katika maeneo tofauti, kwa mwananchi, kwa chama na kwa serikali. Na Kwamba uwajibika unatokana na wajibu umpasao mtu kuutekeleza na akishindwa kuutekeleza wajibu huo dhana hii inamtaka kujitathimini na kukiri kuwa hana uwezo na ameshindwa kuutekeleza hivyo anawajibika kwa kujiuzulu ama kwa namna nyingine.

Lakini mmoja wa wachangiaji Ndugu Marcus Albano mwanaharakati na mkereketwa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alikishutumu Chama changu, chama makini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa hakiwajibishi wanachama wake na viongozi wake pale wanapothibitika kuwa wamekosea na wameshindwa kuutekeleza wajibu husika.

Shutuma hii ilinipasa niijibu, na niliijibu kwa sababu na namna mbili:

i) Moja si kweli kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwajibishi wanachama ama viongozi wake, hivyo shutuma hiyo sio ya kweli.

ii) Pili ni wazi kuwa mwanaharakati huyo na mwanachama wa Chadema hafahamu historia ya Chama Cha Mapinduzi, kwa maana hajui kabisa kuwa hata dhana yenyewe ya uwajibikaji imeasisiwa na Mwalimu Nyerere ambae ni muasisi wa CCM na kuiwekea CCM misingi ya uwajibikaji kwa maandiko na mfumo.

Nikaona kulisema hili kwenye TV pekee haitoshi bali nililete hapa ili kama kuna yeyote mwenye ku-challenge hilo ajitokeze, CCM imewahi katika historia yake kumuwajibisha MAKAMU MWENYEKITI wa chama ambae pia alikuwa ni RAIS wa NCHI na chama hakikutingishika wala kupata mpasuko wa aina yeyote, lakini utaratibu huo umeendelea siku zote na hata hivi karibuni kimemvua uanachama mmoja wa makada wake wakubwa walioshika nyadhifa kubwa katika Chama na Serikali kule Zanzibar Ndugu Mansoor.

TOFAUTI iliyopo baina yetu na vyama vingine ni kwamba CCM tunafuata na kuisimamia dhana hii ya UWAJIBIKAJI kwa maslahi mapana ya Chama na Serikali kwa maana ya UTAIFA na wenzetu wa vyama vingine wanajaribu kulifanya hili kwa maslahi ya mtu, ama kikundi cha watu na kwa sababu za madaraka, woga na ubaguzi.

Naomba kuwasilisha.
taja mliowawajibisha na sababu za kuwawajibisha..

Nijuwavyo nyie ni wazuri wa kuhamisha kumtoa mtu alipoharibu na kumpeleka kwingine. Mtaishi kusema majukwaani tu...

Kuvua gamba
mawaziri mizigo
wauza unga
chama kinanuka rushwa
mafisadi
ukuwataja nchi itatikisika
 
Lakini mmoja wa wachangiaji Ndugu Marcus Albano mwanaharakati na mkereketwa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alikishutumu Chama changu, chama makini, Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Shutuma hii ilinipasa niijibu, na niliijibu kwa sababu na namna mbili:

i) Moja si kweli kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwajibishi wanachama ama viongozi wake, hivyo shutuma hiyo sio ya kweli.

ii) Pili ni wazi kuwa mwanaharakati huyo na mwanachama wa Chadema hafahamu historia ya Chama Cha Mapinduzi, kwa maana hajui kabisa kuwa hata dhana yenyewe ya uwajibikaji imeasisiwa na Mwalimu Nyerere ambae ni muasisi wa CCM na kuiwekea CCM misingi ya uwajibikaji kwa maandiko na mfumo.

TOFAUTI iliyopo baina yetu na vyama vingine ni kwamba CCM tunafuata na kuisimamia dhana hii ya UWAJIBIKAJI kwa maslahi mapana ya Chama na Serikali .

Siamini kama article hii ya hovyo hovyo imeletwa na kiongozi wa kitaifa wa CCM!Points zake kumjibu jamaa huyu anayemuita wa CHADEMA ni shallow mno na hazina any logic:

1.Rais JK aliingilia mgogoro wa madiwani na Meya-Bukoba kwa kuuamuru madiwani wakae meza moja na Meya lkn siku hiyo hiyo madiwani hao wakitumia Radio ya KASIBANTE wakakataa rai ya JK!Kama madiwani wanamgomea Mwenyekiti wao wa Taifa ni ishara kuwa chama hiki kina matatizo makubwa

2.CCM-Bukoba ikawafukuza madiwani hao lkn kw akuogopa uchaguzi mwingine CCM ikawarudisha

Nape anasema MAFISADI waondoke wenyewe ndani ya siku 90 na hao wanaohisiwa mafisadi wanasema kuwa NAPE ndiyo ataondoka yy!

Makonda unanichekesha zaidi unapomhusisha Mwl Nyerere na CCM yako hii ya hovyohovyo!Kiongozi Mangula anatuambia baada ya miezi 6 wale wote walioshinda kwa rushwa watavuliwa ushindi wao tena akikisisitiza CCM inawafahamu.Lkn hamna lolote la maana linalofanyika hadi sasa na muda unapita tu!

Uwajibikaji ndani ya CCM?Makonda you make me sick man!Chama ambacho JK nalia,Kinana analia,Nape analia,Mangula analia!Wote wanalia kuwa kuna watendaji mizigo lkn wamesahau ni WAO wanaopaswa kuchukua hatua leo hii unaita wawajibakaji?Ndiyo ww unaita uwajibikaji kwa Rais anapotuambia WALIOIBA pesa za EPA wakirudisha hawafungwi?

CCM huwa wakali tu kama mwana CCM-ZNZ kaharibu lkn sio vigogo wa bara!Niambie kigogo gani wa CCM bara kawahi wajibishwa?Aibu aliyowatia Chenge kwa kuwa na mapesa ya rushwa nje asingepona angekuwa Mzanzibar lkn badala yake Bunge la CCM limempa kamati muhimu mno ndani ya Bunge!

Kuitetea CCM hii inabidi uwe kichwa fyatu kweli kweli!
 
Anayelinganisha CCM ya Nyerere na CCM ya Kikwete na kuchukulia matendo ya zamani kama utetezi wa CCM ya sasa anatia shaka uwezo wake wa kufikiri. Pmakonda kama wewe CCM ndio wanakutuma uizungumzie kwenye mijadala ya media basi kweli wameishiwa. Mawazo yako yamepitwa SANA na wakati.
 
Last edited by a moderator:
paul mskonda nashindwa kukutofautisha na mtoto anayejisahaulisha makusudi, mbona unatutolea mifano ya kale enzi za chama kimoja pia yote inawahusu wazanzibar?

usitupeleke mbali, edward lowasa, e chenge pia rostam mumewasamehe au 90 days mlizotoa hazjaisha? au ndo msemo zaman wa kuchapiwa ni siri ya ndani?

mbaya zaid endrew chenge kapewa kamati nyeti bungeni kama zawadi pia lowasa zawadi yake ni kumpa uraisi kabisa.
ah ah ah ccm mnawajbishana bhana

Hujamuelewa Makonda, anasema CCM inawavua wazembe nyadhifa lakini haiwafukuzi uanachama ndiyo maana chama kinabaki salama, wote uliowataja walivuliwa nyadhifa za kuteuliwa serikalini na ktk chama kwa kutotimiza wajibu wao
 
Busara unapokuwa shimoni sio kuchimba zaidi!!!
 
Siamini kama article hii ya hovyo hovyo imeletwa na kiongozi wa kitaifa wa CCM!Points zake kumjibu jamaa huyu anayemuita wa CHADEMA ni shallow mno na hazina any logic:

1.Rais JK aliingilia mgogoro wa madiwani na Meya-Bukoba kwa kuuamuru madiwani wakae meza moja na Meya lkn siku hiyo hiyo madiwani hao wakitumia Radio ya KASIBANTE wakakataa rai ya JK!Kama madiwani wanamgomea Mwenyekiti wao wa Taifa ni ishara kuwa chama hiki kina matatizo makubwa

2.CCM-Bukoba ikawafukuza madiwani hao lkn kw akuogopa uchaguzi mwingine CCM ikawarudisha

Nape anasema MAFISADI waondoke wenyewe ndani ya siku 90 na hao wanaohisiwa mafisadi wanasema kuwa NAPE ndiyo ataondoka yy!

Makonda unanichekesha zaidi unapomhusisha Mwl Nyerere na CCM yako hii ya hovyohovyo!Kiongozi Mangula anatuambia baada ya miezi 6 wale wote walioshinda kwa rushwa watavuliwa ushindi wao tena akikisisitiza CCM inawafahamu.Lkn hamna lolote la maana linalofanyika hadi sasa na muda unapita tu!

Uwajibikaji ndani ya CCM?Makonda you make me sick man!Chama ambacho JK nalia,Kinana analia,Nape analia,Mangula analia!Wote wanalia kuwa kuna watendaji mizigo lkn wamesahau ni WAO wanaopaswa kuchukua hatua leo hii unaita wawajibakaji?Ndiyo ww unaita uwajibikaji kwa Rais anapotuambia WALIOIBA pesa za EPA wakirudisha hawafungwi?

CCM huwa wakali tu kama mwana CCM-ZNZ kaharibu lkn sio vigogo wa bara!Niambie kigogo gani wa CCM bara kawahi wajibishwa?Aibu aliyowatia Chenge kwa kuwa na mapesa ya rushwa nje asingepona angekuwa Mzanzibar lkn badala yake Bunge la CCM limempa kamati muhimu mno ndani ya Bunge!

Kuitetea CCM hii inabidi uwe kichwa fyatu kweli kweli!
Kuitetea CCM, kwa ilipofikia, inahitaji uwe na akili za mwendawazimu
 
MAKONDA nasikitika kusema kwamba NIMEKUDHARAU RASMI baada ya uzi huu ! yaani unataka kufananisha ccm ya NYERERE iliyokuwa inasimamia misingi na ccm hii ya wanamtandao ? hicho cheo cha kizushi ulichohongwa juzi ndiyo kimekupofusha au uko hivyo siku zote ? kama mtu mmoja anaweza kuwatengenezea majanga makubwa wengine na akaachwa tu , ama kama mtu huyo anaweza kununua kila mwenye kadi ya ccm ukiwemo wewe mwenyewe , ili kukamilisha mipango yake , hivi kuna uwajibikaji gani hapo ? wewe bado mdogo sana huna uwezo wa kutetea CHAMA CHAKAVU ccm , kajipange tena .
 
Ahadi ya mangula imeishia wap?
KUITETEA CCM kama anavyojaribu kufanya huyu dogo siyo kazi rahisi , hicho chama kimetenda dhambi nyingi kuliko hata SHETANI KINAYE MUABUDU ! Maana huwezi kutenda kama ccm halafu ukasema unamuabudu mungu .
 
leo asubuhi nilipokuwa katika kipindi cha tuongee asubuhi kinachorushwa katika kituo maarufu cha televisheni cha star tv ya jijini mwanza kwenye mada iliyokuwa inahusu uwajibikaji. Nilizungumza juu ya maana halisi na upana wa dhana ya uwajibikaji. Nikaugawa katika maeneo tofauti, kwa mwananchi, kwa chama na kwa serikali. Na kwamba uwajibika unatokana na wajibu umpasao mtu kuutekeleza na akishindwa kuutekeleza wajibu huo dhana hii inamtaka kujitathimini na kukiri kuwa hana uwezo na ameshindwa kuutekeleza hivyo anawajibika kwa kujiuzulu ama kwa namna nyingine.

Lakini mmoja wa wachangiaji ndugu marcus albano mwanaharakati na mkereketwa wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) alikishutumu chama changu, chama makini, chama cha mapinduzi (ccm) kuwa hakiwajibishi wanachama wake na viongozi wake pale wanapothibitika kuwa wamekosea na wameshindwa kuutekeleza wajibu husika.

Shutuma hii ilinipasa niijibu, na niliijibu kwa sababu na namna mbili:

I) moja si kweli kuwa chama cha mapinduzi (ccm) akiwajibishi wanachama ama viongozi wake, hivyo shutuma hiyo sio ya kweli.

Ii) pili ni wazi kuwa mwanaharakati huyo na mwanachama wa chadema hafahamu historia ya chama cha mapinduzi, kwa maana hajui kabisa kuwa hata dhana yenyewe ya uwajibikaji imeasisiwa na mwalimu nyerere ambae ni muasisi wa ccm na kuiwekea ccm misingi ya uwajibikaji kwa maandiko na mfumo.

Nikaona kulisema hili kwenye tv pekee haitoshi bali nililete hapa ili kama kuna yeyote mwenye ku-challenge hilo ajitokeze, ccm imewahi katika historia yake kumuwajibisha makamu mwenyekiti wa chama ambae pia alikuwa ni rais wa nchi na chama hakikutingishika wala kupata mpasuko wa aina yeyote, lakini utaratibu huo umeendelea siku zote na hata hivi karibuni kimemvua uanachama mmoja wa makada wake wakubwa walioshika nyadhifa kubwa katika chama na serikali kule zanzibar ndugu mansoor.

Tofauti iliyopo baina yetu na vyama vingine ni kwamba ccm tunafuata na kuisimamia dhana hii ya uwajibikaji kwa maslahi mapana ya chama na serikali kwa maana ya utaifa na wenzetu wa vyama vingine wanajaribu kulifanya hili kwa maslahi ya mtu, ama kikundi cha watu na kwa sababu za madaraka, woga na ubaguzi.

Naomba kuwasilisha.

hahaha ccm!!!!!!???
 
mwajibisheni lowasa kama mnaubavu ccm

Thubutuuu.... Lowasa huyu ambaye hawakukutana barabarani na JK, Lowasa huyu ambaye kila alilolifanya akiwa waziri mkuu Raisi alikuwa analijuwa.... Watamuanzia wapi..??? Huyo Makonda aseme wamemwajibisha nani...
 
Leo asubuhi nilipokuwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa katika kituo maarufu cha televisheni cha Star TV ya jijini Mwanza kwenye mada iliyokuwa inahusu uwajibikaji. Nilizungumza juu ya maana halisi na upana wa dhana ya uwajibikaji. Nikaugawa katika maeneo tofauti, kwa mwananchi, kwa chama na kwa serikali. Na Kwamba uwajibika unatokana na wajibu umpasao mtu kuutekeleza na akishindwa kuutekeleza wajibu huo dhana hii inamtaka kujitathimini na kukiri kuwa hana uwezo na ameshindwa kuutekeleza hivyo anawajibika kwa kujiuzulu ama kwa namna nyingine.

Lakini mmoja wa wachangiaji Ndugu Marcus Albano mwanaharakati na mkereketwa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alikishutumu Chama changu, chama makini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa hakiwajibishi wanachama wake na viongozi wake pale wanapothibitika kuwa wamekosea na wameshindwa kuutekeleza wajibu husika.

Shutuma hii ilinipasa niijibu, na niliijibu kwa sababu na namna mbili:

i) Moja si kweli kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwajibishi wanachama ama viongozi wake, hivyo shutuma hiyo sio ya kweli.

ii) Pili ni wazi kuwa mwanaharakati huyo na mwanachama wa Chadema hafahamu historia ya Chama Cha Mapinduzi, kwa maana hajui kabisa kuwa hata dhana yenyewe ya uwajibikaji imeasisiwa na Mwalimu Nyerere ambae ni muasisi wa CCM na kuiwekea CCM misingi ya uwajibikaji kwa maandiko na mfumo.

Nikaona kulisema hili kwenye TV pekee haitoshi bali nililete hapa ili kama kuna yeyote mwenye ku-challenge hilo ajitokeze, CCM imewahi katika historia yake kumuwajibisha MAKAMU MWENYEKITI wa chama ambae pia alikuwa ni RAIS wa NCHI na chama hakikutingishika wala kupata mpasuko wa aina yeyote, lakini utaratibu huo umeendelea siku zote na hata hivi karibuni kimemvua uanachama mmoja wa makada wake wakubwa walioshika nyadhifa kubwa katika Chama na Serikali kule Zanzibar Ndugu Mansoor.

TOFAUTI iliyopo baina yetu na vyama vingine ni kwamba CCM tunafuata na kuisimamia dhana hii ya UWAJIBIKAJI kwa maslahi mapana ya Chama na Serikali kwa maana ya UTAIFA na wenzetu wa vyama vingine wanajaribu kulifanya hili kwa maslahi ya mtu, ama kikundi cha watu na kwa sababu za madaraka, woga na ubaguzi.

Naomba kuwasilisha.

we kijamaa kweli ni punguziro kabisa kwanza unaanzisha thread afu unasepa nani aliye kutuma kuanzisha vitu usivyoweza kuvitetea hivi hujifunzi kwa maccm menzio,umewahi kuona yanaanzisha mada zinazohusiana na ccm badala ya cdm?

Kweli we kilaza eti unatutajia kina jumbe na mensa watu wa zanzibar sehemu ambako kuna watu wasio jitambua,we kilaza hebu tutajie kidume hata kimoja cha bara mlicho kiwajibisha!,kima wewe

mliishia wapi kwa madiwani bukoba. na viongozi walioshinda kwa njia ya rushwa je? Hivi magamba mlisha yavua,we pimbi huoni haya mbele za watu kutamka uwajibikaji ndani ya ccm kilaza we urudie tena kutuwekea mada zisizokuwa na kichwa wala miguu hapa jamvini utavuliwa nguo sh...nz..typu we
 
Uwajibikaji ndani ya ccm ulikuepo enzi za Mwalimu sio sasa hivi.
ndani ya ccm ya sasa hayupo wa kumnyoshea kidole hadharani mwenzio kila mmoja anamapungufu yake.

Ndio hata leo zimetafunwa bilioni 600 kwenye serikali za mitaa lakini ajabu hakuna aliewajibishwa hata mmoja wakati walaji wanajulika kwa majina na nyadhifa zao.

mfumo wa kuwajibishwa waachieni chadema, ccm mkianza kuwajibishana msishangae na Rais mwenyewe inabidi awajibishwe hivyo serikali nzima kuanguka.!!!
nyie ndio wale wanaodandia treni kwa mbele wawahi kufika mjini kumbe ndio hivyo tena unajikuta uko shamba zaidi ya kijijini kweni(kumbe treni imetoka mjini inaenda mwisho wa reli).hebu tufafanulie mkuu hizo bilioni 600 ziliibiwa na akina nani vile?i mean ni mitaa gani/wilaya zipi ndio waliofanya huo wizi maana hizo ni pesa nyingi sana or labda mimi niwe sijui vizurihesabu!!!
 
Kimsingi chama cha wanaharakati wa kaskazini "chadema" kimeshapoteza mwelekeo. Maana kama hao akina marcus ndio watetezi wake kwenye media basi hali ni mbaya kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa awali. Na bahati mbaya babu na mbowe wapo busy na zitto na uenyekiti huku chama kikikodi wasemaj mambumbumbu.
 
wewe NI MASALIA HALISI ULIYETIMULIWA CDM , WEWE NI USHUHUDA KWAMBA CDM INASIMAMIA MISINGI YAKE , UKICHEZA NA NGEDERE UTAVUNA MABUA .
 
Back
Top Bottom