Ccm ni chama imara sana hakuna wa kubisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ni chama imara sana hakuna wa kubisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 28, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]:eyebrows:
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  watoto wao wanasoma feza,st mary's kwa yule mchungaji feki na mbunge wa ccm
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  May the ccm soul rest in peace eternally
   
 4. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wanafunzi wanakaa chini,walimu hawana nyumba bora,mishahara haikidhi gharama za maisha kila siku ni ngonjela pale mjengoni mipango mingi isiyo tekelezeka .endelea na wewe
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  i katika kujipendekeza kwenu kwa ccm tunaomba mjichunge kila mtembeapo jihadharini na mabinti na mjichunge mnakula na kunywa wapi lazima tuondoke na mmoja wenu halafu mapata lessons maana watanzania wanteseka sababu ya serikali ya kufisadi na nyie mnashabikia hali hii especialy kitendo cha gerald hando lazima tujibu mapigo wenzenu watakuwa bungeni na sisi nanyie god bless you guys watch your backs:embarassed2:
   
 6. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Sasa kama ni chama kisafi si watulie tu ofisini kwao na waache kelele?
   
 7. N

  Nyambu Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchumi umepanda JK alisema hivyo
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Na kina viongozi imara wanaoweza kusem"LITAKALOKUWA NA LIWE" ilhali wananchi wanateseka
   
 9. d

  dguyana JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amin...
   
 10. l

  luckman JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  silaum maneno anayoyatoa, nalaum uwezo wake wa kufikiri maneno ya kuongea!
   
Loading...