CCM ni cha Waislamu: Haya Madai Si Ya Kupuuza

Nimetafuta kwenye NET nikakutana na hii;

Green

Main article: Green in Islam

Flag of the First Saudi State from 1744 to 1902.

The color green has a special place in Islam. It is used in the decoration of mosques, the bindings of Qur'ans, the silken covers for the graves of Sufi saints, and in the flags of various Muslim countries. Green has been associated with Islam for many centuries. It is not clear why this is so. Some say green was Muhammad's favorite color and that he wore a green cloak and turban. Others believe that it symbolizes nature and life, hence the physical manifestation of God. In the Qur'an (Surah 76:21 http://www.openburhan.net/ob.php?sid=76&vid=21 ), it is said that the inhabitants of paradise will wear green garments of fine silk. While the reference to the Qur'an is verifiable, it is not clear if other explanations are reliable or mere folklore. Regardless of its origins, the color green has been considered especially Islamic for centuries.
Crusaders avoided using any green in their coats of arms, so that they could not possibly be mistaken for their Muslim opponents in the heat of battle.

ILA MIMI SIO mdini na wala sina dini
 
Miaka ya 1960.

Nyerere Rais.

Mkatoliki.

Maarufu sana.

Wazungu walimkubali.

Wakatoa elimu kwa jamii za Kikristo.

Waislamu wao walikuwa hawataki shule.

Walikuwa wanavua samaki baharini.

Na kucheza ngoma.

Wakristo wakawa wengi kwenye mambo ya utawala wa serikali.

Wakadhani wameula.

Kumbe wameliwa.

Ujinga wa Wakrito:
Wakati wakiendelea kula pepo na ma-VX au tuseme Beetle wakati huo, wenzao wa waislamu wakajazana TANU. Nasema wakajazana kwasababu TANU ya wakati huo NEC na CC zake zilikuwa na waislamu wengi ikilinganishwa na wakristo. Nadhani hata NEC na CC za sasa ziko hivo hivo. waislamu wengi kuliko wakristo. hapo wakristo imekula kwenu. mimi myahudi simo.

Tunaendelea:
Kutokana na wingi wa waislamu kwenye TANU.

Lilipo kuja ishu za kuzaliwa kwa CCM.

Mwaka 1977

Waislamu wakaunda CCM kwa kuunganisha TANU yenye waislamu wengi kuliko wa kristo na ASP yenye waislamu tupu.

Nani aseme CCM si chama cha Waislamu? Nani? Asimame kama kidume tumsikie.

CCM ni cha waislamu. Hata rangi zake za njano na kijani ni rangi za dini ya kiislamu.

Asimame mtu anisute mini yerusalem kwa kusema urongo.

Kama hakuna mtu wa kunisuta, basi mi nadunda kitaa nikiimba:

CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!

CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!

CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!

Inawezekana kuna ukweli fulani kwa maneno yako ila hilo la uislama kuwa rangi sijui. lakini nimesikia pia waislam wakisema kuwa ccm ni chama cha wakritstu, ccm=christian church of Tanzania na kwamba Nyerere alipogundua kuwa waislam ni wengi kwenye TANU akaunda ccm na kuweka alama ya mslaba kwa kisingizio cha jembe na nyundo.Unasemaje hapo jerusalem
 
Naamini kweli .....najaribu kurejea kwenye ilani ya ccm ya 2005 ambapo ccm na kikwete waliweka kwenye ilani yao mambo ya mahakama ya kadhi...................
Cuf (ccm-b) na ccm ni chama cha waislamu na mafisadi

nimetafuta kwenye net nikakutana na hii;

green

main article: green in islam

flag of the first saudi state from 1744 to 1902.

The color green has a special place in islam. It is used in the decoration of mosques, the bindings of qur'ans, the silken covers for the graves of sufi saints, and in the flags of various muslim countries. Green has been associated with islam for many centuries. It is not clear why this is so. Some say green was muhammad's favorite color and that he wore a green cloak and turban. Others believe that it symbolizes nature and life, hence the physical manifestation of god. In the qur'an (surah 76:21 http://www.openburhan.net/ob.php?sid=76&vid=21 ), it is said that the inhabitants of paradise will wear green garments of fine silk. While the reference to the qur'an is verifiable, it is not clear if other explanations are reliable or mere folklore. Regardless of its origins, the color green has been considered especially islamic for centuries.
crusaders avoided using any green in their coats of arms, so that they could not possibly be mistaken for their muslim opponents in the heat of battle.

ila mimi sio mdini na wala sina dini
 
Jerusalem unaona mbali sana lakini funika kombe wanaharamu apite, nasi tunayona hatuna pa kusemea heri wewe umesema lakini nakemea udini kwani sio mzuri,
 
Huwa sipendi sana kuchangia maada zinazohusu udini. Lakini leo napenda niseme jepo kidogo habari niliyoisikia kutoka kwenye radio mbao. Inasemekana kwamba kwa muda mrefu waislam wamekuwa wakinyimwa fursa serikalini kila nchi inapokuwa mikononi mwa mkristo. Kwa kulitambua hilo, waislamu wameazimia kutoaiacha nchi irudi mikononi mwa mkiristo tena.

Hivi sasa kuna mkakati wa kuhahakikisha kwamba Rais ajaye anatoka Zanzibar. Hii itawapa Waislamu miaka kumi mingine ya kuongoza Tanzania, ambapo katika muda huo watatumia vizuri nafasi yao kumuandaa Rais mwingine Muislamu. Ni taarifa tu za mitaani, lakini hazina research yoyote. Kwa hiyo msijenikurupukia na maneno makali kwa kudhani kwamba mimi ndo nimeamua kuupotosha ukweli.
 
Inawezekana kuna ukweli fulani kwa maneno yako ila hilo la uislama kuwa rangi sijui. lakini nimesikia pia waislam wakisema kuwa ccm ni chama cha wakritstu, ccm=christian church of Tanzania na kwamba Nyerere alipogundua kuwa waislam ni wengi kwenye TANU akaunda ccm na kuweka alama ya mslaba kwa kisingizio cha jembe na nyundo.Unasemaje hapo jerusalem

Hata leo. Piga ua kwenye CC au NEC. Waislamu ni wengi kuliko wakristo. Yaani wakristo wanaweza kuwa wengi kwenye baraza la mawaziri, ukuu wa mikoa, ukuu wa wilaya na kadhalika. Lakini kwenye NEC na CC ni marufuku wakristo kuwazidi waislamu kwa idadi.

Na Wakristo walioko NEC na CC ni wale mafisadi papa ambao ukiwaoneshwa pesa tu, wako tayari kuuza hata utu wao. Pesa za mafuta. Mafuta ya Irani, Libya, al-Qaeda.

Example Lowasa.

Ninaomba wana JF mniunge mkono.

Nina hoja ya msingi.

Hoja binafsi.

nimewasilisha JF
 
Wakristo mbona wanakimbia shule?,,,,,,,,,,,,wanapataje hizo nafasi?..........wanaohitimu vyuoni...wakristo 93% waislamu the rest.............kwenye kujitokeza kuomba nafasi za kazi wakristo 95% waislamu the rest..............sasa huo uwingi wao unatokana na kigezo gani hasa?............mwenye haki apewe haki...km mtu amechagua madrasa apewe kazi za kufundisha kujitolkea mhanga basi na wale waliosomea mambo ya msingi wapewe nafasi za kutumikia umma.........haiwezekani watu wakawa nanashinda wanakunywa kawaha vijiweni halafu hao hao wakawa wanafaa zaidi ?...how and why?
 
umenena vema mtumishi.

kwa mfumo wa sasa ambapo CCM ndiyo inaunda serikali, maamuzi mengi yanayojenga uelekeo wa nchi yanatokana na maamuzi ya hizi organ mbili NEC na CC. Na huku ndiko kwenye waislamu wengi.

wakristo ku-graduate na kupewa madaraka haijalishi, hasa kama madaraka yenyewe hayana uhusiano wa moja kwa moja na NEC na CC.

nadhani itafika mahali utaunga mkno hoja yangu murua niliyoileta leo hapa JF
 
Wewe Jerusalem utbcha lini kuleta hoja za kidini? Wewe na mwenzako malaria sugu acheni kuleta hoja za dini na kwa taarifa yako watanzania wengi wamechanganya dini,go to hell!
 
Mambo ya dini ni ya mtu binafsi, mfano Albert Bernard Bongo alikuwa mkristo na akasilimu na kupata majina mapya ya Omar Bongo. Na ni watu mypic na walioishiwa hoja ndo wanaoona ni ishu ya kitaifa!
 
kanusha au kubali kwanza hoja yangu ndiyo nitakujibu.

vinginevyo ninawashauri wakristo nao waunde chama chao. hiki cha kijani na njano ni cha msikitini zaidi

Waambie waenda CHADEMA, kule M/Kit, Katibu na wengine ni kondoo waliopotea na raisi wao ni mchungaji, mnahitaji nini zaidi ???

Mngejiunga na waislam kugombea uhuru mkaacha usaliti mlio ufanya dhidi ya ya waliogombea uhuru, msinge regret leo hii, labda ni laana inawakula mwilini

Simle advise; mmuunge mkono Mchungaji Slaa na mumnadi kuwa yeye pekee wa pekeeee ndiyo raisi wa tanzania
 
Hata leo.
Piga ua kwenye CC au NEC. Waislamu ni wengi kuliko wakristo
. Yaani wakristo wanaweza kuwa wengi kwenye baraza la mawaziri, ukuu wa mikoa, ukuu wa wilaya na kadhalika. Lakini kwenye NEC na CC ni marufuku wakristo kuwazidi waislamu kwa idadi.

Na Wakristo walioko NEC na CC ni wale mafisadi papa ambao ukiwaoneshwa pesa tu, wako tayari kuuza hata utu wao. Pesa za mafuta. Mafuta ya Irani, Libya, al-Qaeda.

Example Lowasa.

Ninaomba wana JF mniunge mkono.

Nina hoja ya msingi.

Hoja binafsi.

nimewasilisha JF

Naomba kutofautiana na wewe.
Kabla hujafika mbali katika uongozi wewe unachotaka kuona nini au sifa gani ya kiongozi ungeiweka mbele.
Jerusalem una matatizo makubwa katika mtazamo,hii tabia ni hatari kwa afya ya akili yako na kwa mustakabali wa nchi yetu. Tabia ya UDINI kwa kila kitu!
Lete data hapa wajumbe wa CC au NEC wanapatikanaje, kama si kura ya wanachama wote wa CCM (Waisilam na Wakristo)

Kusema kweli na kereka na tabia hii ya kiuwendawazimu ya kuweka Udini mbele hata mali pasipoonyesha kuna dali ya ubaguzi kwa kigezo cha udini.
 
Waambie waenda CHADEMA, kule M/Kit, Katibu na wengine ni kondoo waliopotea na raisi wao ni mchungaji, mnahitaji nini zaidi ???

Mngejiunga na waislam kugombea uhuru mkaacha usaliti mlio ufanya dhidi ya ya waliogombea uhuru, msinge regret leo hii, labda ni laana inawakula mwilini

Simle advise; mmuunge mkono Mchungaji Slaa na mumnadi kuwa yeye pekee wa pekeeee ndiyo raisi wa tanzania

haha!

hadisi za msikitini

hata wapemba wanaambiwa hawakushiriki mapinduzi ya zanzibar?

kwani wapemnba ni wakristo?

vita vya kagera kulikuwa na waislamu wangapi?

hoja yako nyepesi.

fikiria uje kivingine.

siku ingine
 
Miaka ya 1960.

Nyerere Rais.

Mkatoliki.

Maarufu sana.

Wazungu walimkubali.

Wakatoa elimu kwa jamii za Kikristo.

Waislamu wao walikuwa hawataki shule.

Walikuwa wanavua samaki baharini.

Na kucheza ngoma.

Wakristo wakawa wengi kwenye mambo ya utawala wa serikali.

Wakadhani wameula.

Kumbe wameliwa.

Ujinga wa Wakrito:
Wakati wakiendelea kula pepo na ma-VX au tuseme Beetle wakati huo, wenzao wa waislamu wakajazana TANU. Nasema wakajazana kwasababu TANU ya wakati huo NEC na CC zake zilikuwa na waislamu wengi ikilinganishwa na wakristo. Nadhani hata NEC na CC za sasa ziko hivo hivo. waislamu wengi kuliko wakristo. hapo wakristo imekula kwenu. mimi myahudi simo.

Tunaendelea:
Kutokana na wingi wa waislamu kwenye TANU.

Lilipo kuja ishu za kuzaliwa kwa CCM.

Mwaka 1977

Waislamu wakaunda CCM kwa kuunganisha TANU yenye waislamu wengi kuliko wa kristo na ASP yenye waislamu tupu.

Nani aseme CCM si chama cha Waislamu? Nani? Asimame kama kidume tumsikie.

CCM ni cha waislamu. Hata rangi zake za njano na kijani ni rangi za dini ya kiislamu.

Asimame mtu anisute mini yerusalem kwa kusema urongo.

Kama hakuna mtu wa kunisuta, basi mi nadunda kitaa nikiimba:

CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!

CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!

CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!
Kutakuwa na athari gani kama viongozi wote ni waislaam?. Sioni ubaya wowote Viongozi wote wakawa Waislaam au Wakristo au mchanganyiko yote sawa tu. I think is a treasure to have both religious and non religious leaders.
 
Maada zingine zinanuka kweli

YAANI ACHA TU! TENA MNUKO WENYEWE SIO WA KAWAIDA. Mimi nadhani hoja yenye udini haipaswi hapa, na katika taifa ingechukuliwa kama ni treason vile! Mods sijui wanalifurahi hili, ngoja nikashtue kule!
 
haha!

hadisi za msikitini

hata wapemba wanaambiwa hawakushiriki mapinduzi ya zanzibar?

kwani wapemnba ni wakristo?

vita vya kagera kulikuwa na waislamu wangapi?

hoja yako nyepesi.

fikiria uje kivingine.

siku ingine

Wacha kuruka ruka, Tunazungumzia uhuru wa Bara, Katika baadhi ya nchi kulikuwa na watu au kabila walio kataa kushiriki kuleta uhuru, kwa hapa tanzania mlikuwa nyie wakiristo na Nyerere aliwai kulizungumzia hilo

Soma historia ya uhuru utalielewa vizuri ndio uje na hoja kwa hili.

Chama cha Chadema kinaongozwa na mchungaji na majority ni wakiristo, acheni kubabaika muungeni mkono mchungaji Slaa na kuanzia sasa muendelee kusema raisi wa tanzania ni Dr.Mchungaji Slaa.

Jibu hoja wacha kurukaruka, vinginevyo itakuwa ni laana inawakula mwilini kwa sababu ya usaliti wenu
 
We Jerusalem na wewe. Nadhani we Myahudi hutaki kuona Mkirisito na Muisilamu wanakaa kwa peace.

Sikuungi mkono hoja yako Ila hebu angalia hapa

Halmashauri Kuu (3 out 0f 4)

Jakaya Mrisho Kikwete
Pius Msekwa
Aman Abeid Karume
Yusuph Rajabu Makamba

WAJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (CC) YA CHAMA CHA MAPINDUZI (26-1 out of 38)

1.
Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2.
Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe

11. Ndugu Benjamin Willium Mkapa- Mjumbe
12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa – (RIP) Mjumbe
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe

14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John ZefaniaChiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos GabrielMakala - Mjumbe

17. Ndugu Bernard KamiliusMembe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa HamidSaleh - Mjumbe

19 Ndugu Samwel Sitta - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe

23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda- Mjumbe

33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe

35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe

38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe

Source: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM

ILA TAMATISHA HOJA ZA KUTUTAFAUTISHA MKRISTO NA MWISLAMU, LABDA UANZE ZA MYAHUDI NA MKRISTO AU MYAHUDI NA MWISLAMU, TUACHE WAKRISTO NA NDUGU ZETU WAISLAMU, MIAKA YOTE TUKO PEACE TU!!!! RUDI KWA ARIEL
 
Mimi ni mkristu, lakini penye uwongo siwezi kukaa kimya kisa inayotetewa ni imani yangu, ukweli ni kwamba viongozi wengi wengi walioanzisha TANU walikuwa ni waislamu, offcourse Peter Kyaruzi nafikiri ndiye alikuwa mkristu pekee. Nyerere alikuja baadae sana (1950'S) lakini akina Sykes na familia yao (ambao ni waislamu) ndio walikuwa waanzilishi hasa wa TANU wakitumia utajiri wao ku-finance chama. Kwahiyo si kweli kwamba waislamu walianza kujazana kwenye TANU baadae.

Ni waislamu waliomkaribisha Nyerere na kufanya nae kazi vizuri, ninachotaka kusisitiza ni kuwa wazee wetu hawakuwa na roho mbaya zilizatawaliwa na udini kama leo hii ambapo issue ya uislamu na ukristu imeanza kuwa ajenda ya kisiasa. Kama mambo haya ya udini yangetiliwa mkazo wakati wa harakati za uhuru, nadhani leo tusingeongelea kitu kinachoitwa Tanzania. Hata Karume na Nyerere wangezingatia tofauti zao za dini, sidhani kama Tanganyika na Zanzibar vingeungana.

Jamani, hasa nyie wanasiasa, watanzania tayari tuna matatizo mengi: UFISADI, UMASKINI, UJINGA na MARADHI, sasa nyie tena mnatuongezea na hili la UDINI hivi tutaendelea kweli sisi? na sisi wananchi kwa UJINGA wetu tumekuwa tukishabikia mambo haya bila kuona athari iliyopo mbele yetu.
 
Back
Top Bottom