CCM ni cha Waislamu: Haya Madai Si Ya Kupuuza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ni cha Waislamu: Haya Madai Si Ya Kupuuza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ng'wanangwa, Dec 11, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Miaka ya 1960.

  Nyerere Rais.

  Mkatoliki.

  Maarufu sana.

  Wazungu walimkubali.

  Wakatoa elimu kwa jamii za Kikristo.

  Waislamu wao walikuwa hawataki shule.

  Walikuwa wanavua samaki baharini.

  Na kucheza ngoma.

  Wakristo wakawa wengi kwenye mambo ya utawala wa serikali.

  Wakadhani wameula.

  Kumbe wameliwa.

  Ujinga wa Wakrito:
  Wakati wakiendelea kula pepo na ma-VX au tuseme Beetle wakati huo, wenzao wa waislamu wakajazana TANU. Nasema wakajazana kwasababu TANU ya wakati huo NEC na CC zake zilikuwa na waislamu wengi ikilinganishwa na wakristo. Nadhani hata NEC na CC za sasa ziko hivo hivo. waislamu wengi kuliko wakristo. hapo wakristo imekula kwenu. mimi myahudi simo.


  Tunaendelea:
  Kutokana na wingi wa waislamu kwenye TANU.

  Lilipo kuja ishu za kuzaliwa kwa CCM.

  Mwaka 1977

  Waislamu wakaunda CCM kwa kuunganisha TANU yenye waislamu wengi kuliko wa kristo na ASP yenye waislamu tupu.

  Nani aseme CCM si chama cha Waislamu? Nani? Asimame kama kidume tumsikie.

  CCM ni cha waislamu. Hata rangi zake za njano na kijani ni rangi za dini ya kiislamu.

  Asimame mtu anisute mini yerusalem kwa kusema urongo.

  Kama hakuna mtu wa kunisuta, basi mi nadunda kitaa nikiimba:

  CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!


  CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!


  CCM ni Chama cha Waislamu. Wakristo Walie tu. Au waunde chama chao na mapema!!
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umekosa cha kuandika??
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  huko ni kukanusha au ni kukubali?

  unatakiwa ukibali au ukanushe
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  najua wakrsto watazalau.

  kwasababu mkwristo akijenga nyumnba. akapata kzai nzuri anajua kazi imekwisha.
  utamsikia mkristo naaye anakemea udini kinafiki. ati 'amani na utulivu'. kinafikii. kulinda mlo wake. wakriato wanaamini sana mlo kuliko kuongoza nji.

  lazkini tunako kwenda kubaya.

  ukisikia waziri wa ulinzi na waziri wa polisi ni wazanzibari ujue nji inakwenda kubaya.

  itafika mahali kila cheo cha juu lazima kishikwe na muislamu.

  au itafika mahali zanzibar itaitawala bara kama ambavo isreil inatawala Waarabu wote.

  amkeni wakristo
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Hivi Jerusalem na MS(Jeykey wa ukweli) ni watani wa jadi kama simba na yanga? Hoja zenu huwa zinachafua hali ya hewa hapa barazani.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwani chaderma ni chama cha wakatoliki?
   
 7. P

  Pamba Member

  #7
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maada zingine zinanuka kweli
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kanusha au kubali kwanza hoja yangu ndiyo nitakujibu.

  vinginevyo ninawashauri wakristo nao waunde chama chao. hiki cha kijani na njano ni cha msikitini zaidi
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  kama madai yake niya kweli ndo maana chama hiki "chenye rangi na arama za kiislam" hakileti maendeleo- wamekalia porojo za nani kafanya nini.etc........................
   
 10. j

  julius Senior Member

  #10
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Aaaaaaaaaaaaaaaaaachaa dahna za fikra finyu siwakati huu umesha pita,we need to discuss how we gonnna develop,that sooo boooy7.........
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  acha kupuuza juli.

  kuwa makini
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  kuna kaukweli hapa ingawa hujanyambua vizuri hoja yako.
   
 13. r

  rassadata Member

  #13
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kimsingi CCM si ya Waislam na tena bwana Jerusalem uliyeanzisha mada hii nakusihi achana na sera za kidini,wana jamii forums please tujadili mambo ya nchi na siyo hoja na kipuuzi namna hii.
  kimsingi huwa sifurahii mtu kuzungumzia masuala ya udini Tanzania, tena huwa nalia na kumkumbuka Mwl. nyerere.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  dini.

  wakristo wamejisahau wakujua hali ni shwari lkni wakristo wenye msimamo mkali wanaongoza CCM.
   
 15. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani hiyo miaka ya 1960 wakati wa nyerere,waxtu walipoua wakisoma,waislam wakivua samaki,kilikua chama gani? na takwimu gani zinakuonyesha WAISLAM walijazana TANU wakati huo,na takwimu zipi zinakuonyesha CCM waislam wengi kuliko waxtu,kwa sasa baraza la mawaziri la ccm,waxtu ni 80%,wabunge ni 80%,unathubutu vipi kusema wengi ccm ni waislam? Ulisoma Reseach methodology wewe?
   
 16. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nafikiri huyu amekosa cha kuandika, ukilinganisha na wakristo wanaopewa nafasi za uongozi serikalini na waislam nani wengi kuwa makini hacha kuwa kama mapadre na viongozi wa dini wa israel wanafiki wakubwa wanajua kabisa wanachofanya sio sahihi wanasema mungu kasema.

  Kichaa sio lazima uokote makopo hapa kuropoka vitu ambavyo havina msingi. leo najisikia kuwasema wote watakaoleta mada za kijinga
   
 17. r

  rassadata Member

  #17
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Please Jerusalem unanikwaza,maana udini mimi siupendi na kwa hali hiyo,sitaendelea kuchangia mada yako.aksante.
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ndugu Jerusalem unaposema rangi ya kijani na njano ni rangi za Waislamu una ushahidi wowote hasa wa kimaandishi?
   
 19. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #19
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  huyu mtu aliyeanzisha mada hapo juu nae anataka maendeleo na hao wengine waliochangia nao wanaweza kukaa meza moja na mimi tujadili maendeleo ya nchi hii kweli ? sidhani
   
 20. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  i have never insulted anyone within JF, but u r forcing me to do so......Yaani uislam una rangi???? tena ya kijani na Njano???? How old r u???
   
Loading...