Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Maneno hayo yamesemwa na Mkazi wa Namtumbo Kutokana na Tembo Kuwavamia na kuharibu mazao na Kuwauwa wakazi wa namtumbo bila hatua yoyote kuchukuliwa hata fidia
YY ALICHAGUA CCM.ATAISOMA NAMBA NA BADO.Maneno hayo yamesemwa na Mkazi wa Namtumbo Kutokana na Tembo Kuwavamia na kuharibu mazao na Kuwauwa wakazi wa namtumbo bila hatua yoyote kuchukuliwa hata fidia
Wamejisahau sanasiasa kazi kweli kweli,
yaani askari wa wanyama pori asiye na maadili kawajibu ovyo, hasira ni kwenye kugoma kupiga kura,
Ingekuwa busara huyo mzee kumtaja huyo askari achukuliwe hatua za nidhamu na viongozi wake wakati matatizo yao yanashughulikiwa,
pendekeza jna unaloona linamfaaUnajiita Mwanahabari Huru wakati habari zako zinaegemea chama kimoja.
Badilisha jina kwanza tukuelewee.