CCM ni bidhaa iliyochokwa katika mzunguko wa soko(an obsolete product)

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kwa kawaida bidhaa iliyochokwa kwa wenzetu lazima ifanyiwe "dumping" hivyo ndivyo CCM inatakiwa ifanyiwe na hakika ndicho MaCCM inachokiona katika soko, CCM haiuziki tena.CCM kwa kutumia vyombo vya umma wanatumia mbinu za kijinga na hovyo sana kukandamiza demokrasia katika taifa hili
Kwa wale waliosoma masomo ya Biashara na Uchumi (BUSINESS & ECONOMICS STUDIES), hawataona taabu kugundua kuwa MaCCM wamefikia Ukomo katika Mzunguko wa Bidhaa(PLC- Product Life Cycle), hivyo basi wanajitahidi kutumia pesa nyingi kuifanya bidhaa yao(MaCCM) ibaki katika mzunguko wa soko lakini wanashindwa kuwa na mikakati sahihi(Proper Political Marketing Strategies). MaCCM wapo kwenye mporomoka(DECLINING STAGE) wa kimfumo, muundo na usimamizi wa Kitaasisi. It's a perished product!This product must phase out by hooks and crooks!

Nini maana yangu?

Chama cha siasa ni lazima kiendeshwe kidemokrasia, kishiriki chaguzi kidemokrasia katika ushindani sawa(Equal and balanced playing field), cha kushangaza MaCCM kwa kutumia vyombo vya umma, wamekuwa wacheza rafu kabla hata ya mchezo kuanza.Hapa hakuna haki ya Kidemokrasia tena bali unyang'anyi wa wazi kabisa!

Mambo yanayoonekana na kuendelea sasa hivi katika chaguzi za marudio si ya bahati mbaya, yanaonesha ni kwa jinsi gani MaCCM wameishiwa pumzi, hivyo wanatumia Mamlaka za umma kufanikisha ninachochelea kukiita ni "Uharamia, Uporaji, Utekaji na Ubakaji wa haki za msingi za umma" katika kushiriki chaguzi za kidemokrasia.

Aibu hii ambayo MaCCM na Vyombo vya umma inayoionesha chini ya Serikali ya awamu hii si ya kuipuuza bali kuipigia kelele na kuikemea kwa nguvu zetu zote mpaka mwisho.

Haiwezekani watanzania tuanze kutengwa kwa sababu ya itikadi za vyama ambavyo kimsingi vyote kwa pamoja havizidi hata asilimia 20 ya wanachama wake, huku aliyepewa mamlaka/ dhamana ya kuongoza nchi ameshindwa kutimiza haja na matarajio ya wananchi na sasa kwa kutumia tena rasilimali hizo hizo chache anageuka kuwa mporaji wa haki kama sehemu ya kujihami bila aibu. Huu ni upumbavu!

Tanzania yetu bila MaCCM inawezekana na itaendelea kuwepo.Hatuwezi kuendelea kushuhudia uhuni wa namna hii kila ukicha mara fomu za wagombea hazipokelewi, mara wasimamizi wametoroka ofisini, mara wagombea wametekwa, mara mapingamizi, mara mawakala wamezuiwa, mara walioshinda hawatangazwi nk. Huu ni uzwazwa na upuuzi mkubwa katika nchi inayojiita ya kidemokrasia.

Hali hii kwa wenye mamlaka wanaweza kuona kama itawapa unafuu wa kuendelea kukaa na kuhudumu ofisi za umma lakini ukweli ni kwamba mioyo ya wanadamu ni vichaka, mioyo ya watu ikishachoka hakuna wa kuigeuza kusaka amani ya haraka ambayo nyie wenyewe wenye mamlaka mmeiharibu.Tunatambua mnayaona haya na mmekaa kimya kwa kuwa dhamira zenu kwa taifa hili si njema.

Watanzania tusikubali nchi yetu kuporwa kwa njia isiyo ya kidemokrasia. Nchi hii imeridhia mikataba mbalimbali kikanda na kimataifa ya haki za binadamu na kidemokrasia. Tunahitaji nchi na Serikali ya MaCCM irudi kwenye misingi ya utawala wa sheria na kuheshimu mikataba ya kimataifa katika chaguzi na mambo mengine yote.

Ujanja wa MaCCM sasa umekuwa wa kijinga tena usiolinganishwa na akili ya kawaida katika kuongoza na usimamizi wa nchi.
 
Vijitu vya bongo bwana kukisoma kidogo kinjifanya kijuaji tuu kumbe anaongea pumba tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika vizuri sana na mifano lukuki mbadala wa ccm ni chama gani,upinzani umebaki kuwa watu wa njaa na kuangalia matumbo baada ya kukubali kuwa na bei kama wanavyodai!
 
Naona umesomea fasihi simulizi. CCM ya sasa ni CCM Imara of all times. Rejea kila awamu mpya ikiingia lazima chama maarufu cha upinzani kianguke, so kaingia magufuli mda wa chadema umeisha. Kwa mtazamo wangu life span ya vyama vya upinzani ni miaka 10 tu.
Ukweli mchungu japo ukiusema unaweza kusaidia watu. CDM mwisho wake ni 2020 baada ya hapo kina mbowe wakatafute kazi zingine za kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona utumie j.pili yako vibaya unacho hitaji ni matusi kutoka kwa wenye ccm,

Mi niishie kusema ingekua ccm imechokwa na wateja ilihari tunaona wateja wanakimbilia huko kutoka kila ya nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida bidhaa iliyochokwa kwa wenzetu lazima ifanyiwe "dumping" hivyo ndivyo CCM inatakiwa ifanyiwe na hakika ndicho MaCCM inachokiona katika soko, CCM haiuziki tena.CCM kwa kutumia vyombo vya umma wanatumia mbinu za kijinga na hovyo sana kukandamiza demokrasia katika taifa hili
Kwa wale waliosoma masomo ya Biashara na Uchumi (BUSINESS & ECONOMICS STUDIES), hawataona taabu kugundua kuwa MaCCM wamefikia Ukomo katika Mzunguko wa Bidhaa(PLC- Product Life Cycle), hivyo basi wanajitahidi kutumia pesa nyingi kuifanya bidhaa yao(MaCCM) ibaki katika mzunguko wa soko lakini wanashindwa kuwa na mikakati sahihi(Proper Political Marketing Strategies). MaCCM wapo kwenye mporomoka(DECLINING STAGE) wa kimfumo, muundo na usimamizi wa Kitaasisi. It's a perished product!This product must phase out by hooks and crooks!

Nini maana yangu?

Chama cha siasa ni lazima kiendeshwe kidemokrasia, kishiriki chaguzi kidemokrasia katika ushindani sawa(Equal and balanced playing field), cha kushangaza MaCCM kwa kutumia vyombo vya umma, wamekuwa wacheza rafu kabla hata ya mchezo kuanza.Hapa hakuna haki ya Kidemokrasia tena bali unyang'anyi wa wazi kabisa!

Mambo yanayoonekana na kuendelea sasa hivi katika chaguzi za marudio si ya bahati mbaya, yanaonesha ni kwa jinsi gani MaCCM wameishiwa pumzi, hivyo wanatumia Mamlaka za umma kufanikisha ninachochelea kukiita ni "Uharamia, Uporaji, Utekaji na Ubakaji wa haki za msingi za umma" katika kushiriki chaguzi za kidemokrasia.

Aibu hii ambayo MaCCM na Vyombo vya umma inayoionesha chini ya Serikali ya awamu hii si ya kuipuuza bali kuipigia kelele na kuikemea kwa nguvu zetu zote mpaka mwisho.

Haiwezekani watanzania tuanze kutengwa kwa sababu ya itikadi za vyama ambavyo kimsingi vyote kwa pamoja havizidi hata asilimia 20 ya wanachama wake, huku aliyepewa mamlaka/ dhamana ya kuongoza nchi ameshindwa kutimiza haja na matarajio ya wananchi na sasa kwa kutumia tena rasilimali hizo hizo chache anageuka kuwa mporaji wa haki kama sehemu ya kujihami bila aibu. Huu ni upumbavu!

Tanzania yetu bila MaCCM inawezekana na itaendelea kuwepo.Hatuwezi kuendelea kushuhudia uhuni wa namna hii kila ukicha mara fomu za wagombea hazipokelewi, mara wasimamizi wametoroka ofisini, mara wagombea wametekwa, mara mapingamizi, mara mawakala wamezuiwa, mara walioshinda hawatangazwi nk. Huu ni uzwazwa na upuuzi mkubwa katika nchi inayojiita ya kidemokrasia.

Hali hii kwa wenye mamlaka wanaweza kuona kama itawapa unafuu wa kuendelea kukaa na kuhudumu ofisi za umma lakini ukweli ni kwamba mioyo ya wanadamu ni vichaka, mioyo ya watu ikishachoka hakuna wa kuigeuza kusaka amani ya haraka ambayo nyie wenyewe wenye mamlaka mmeiharibu.Tunatambua mnayaona haya na mmekaa kimya kwa kuwa dhamira zenu kwa taifa hili si njema.

Watanzania tusikubali nchi yetu kuporwa kwa njia isiyo ya kidemokrasia. Nchi hii imeridhia mikataba mbalimbali kikanda na kimataifa ya haki za binadamu na kidemokrasia. Tunahitaji nchi na Serikali ya MaCCM irudi kwenye misingi ya utawala wa sheria na kuheshimu mikataba ya kimataifa katika chaguzi na mambo mengine yote.

Ujanja wa MaCCM sasa umekuwa wa kijinga tena usiolinganishwa na akili ya kawaida katika kuongoza na usimamizi wa nchi.
Wewe sasa umeamua kufanya siasa za majitaka. Watanzania tulio wengi tunaelewa CCM imewashika pabaya ndo maana hamuiishi kubwabwaja

Mkuu ukijadili mambo kwa jazba ,unaonekana kama umeshikwa pabaya ,tafadhari relax
 
Back
Top Bottom