CCM ni aibu: Si tuu wana nafasi za kiinua mgongo hadi wa rambirambi wapo

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,198
Ccm ni chama cha aibu. Ukihesabu watendaji wengi wa serikali na mihimili yake. Uwakilishaji wa Ccm una sura hizi:

1. Kuna wa ahsante kwa baba na ukoo. Hawa ni wale sijui ni uzao wa makada ambao hawakuwa wakijua hata kuandika vyema.

2. Kuna wa malipo ya kazi mbaya za kurudisha nchi nyuma. Hao wanafahamika.

3. Kuna wa kiinua mgongo, ili wazee walipita huduma. Kuanzia majaji, wakuu wa wilaya na mikoa, mabalozi.

4. Kuna wanaowekwa ili kuzuia mahasimu ndani ya Ccm.

5. Kuna wa kikanda.

6. Kuna wa kidini.

7. Kuna wa kikabila.

8. Kuna warithi au vishika nafasi.

9. KUNA HADI WA RAMBI RAMBI..wabunge wote walikufa wa Ccm Waliopewa rambirambi kwa watoto wao kupewa ubunge, Ingawa wengine walikataliwa na Raia. Km kule meru.

Kwa sifa hizi, hata wasio na kichwa kabisa watakuwepo ktk kuendesha nchi na wataendesha hadi bunge, media, mkoa, wilaya, watakuwa mabalozi.Bado ubunifu unaendelea. Km kufunga viatu vya prince, kuna kusifia wakuu wa kaya, kuna wa kunengua majukwaani , waganga wa miaka mingi wa Ccm, wapiga ramli na watabiri, wapi ka tafiti, wasomi wadanganya wananchi, bingwa wa social media,etc

Kuna wengine..sijui hata ni ubunifu gani. Km Sepetu angedaka ubunge.Sijui ni kuandikwa ktk reality shows zake ktk magazeti?
 
Ccm ni chama cha aibu. Ukihesabu watendaji wengi wa serikali na mihimili yake. Uwakilishaji wa Ccm una sura hizi:

1. Kuna wa ahsante kwa baba na ukoo. Hawa ni wale sijui ni uzao wa makada ambao hawakuwa wakijua hata kuandika vyema.

2. Kuna wa malipo ya kazi mbaya za kurudisha nchi nyuma. Hao wanafahamika.

3. Kuna wa kiinua mgongo, ili wazee walipita huduma. Kuanzia majaji, wakuu wa wilaya na mikoa, mabalozi.

4. Kuna wanaowekwa ili kuzuia mahasimu ndani ya Ccm.

5. Kuna wa kikanda.

6. Kuna wa kidini.

7. Kuna wa kikabila.

8. Kuna warithi au vishika nafasi.

9. KUNA HADI WA RAMBI RAMBI..wabunge wote walikufa wa Ccm Waliopewa rambirambi kwa watoto wao kupewa ubunge, Ingawa wengine walikuta lipwa na Raia.
Daah hii no 9 ina vivid evidences aisee.. Ulanga, isimani, tanga etc
 
Sijui km Sepetu angedaka ubunge angekuwa category gani tena.
 
Soon tuta pata rais wa aibu km Ccm itabaki kupitia dola.
 
Back
Top Bottom