CCM ni adui namba moja wa vyombo vya habari vya kimataifa Tanzania!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Chama hiki kinacho aminika kuwa ndicho chama kikongwe barani Afrika,kilicho acha sera za waasisi wake na kuwa chama Mufilisi huku kikijikita ktk mauaji ya wazalendo ndicho kimekuwa kikwazo kikuu cha vyombo vya habari vya kimataifa kujichimbia hapa tz!
Katika nchi zinazoendele kama tz ni muhimu sana kuwa na uwanda mpana zaidi wa habari hasa za dunia za kwanza,lakini katu kwa tz bado tupo gizani sana, mashirika makubwa kama BBc,cbs,cnn,rt,sbs,al jazeera,sky nk yana nafasi finyu sana kufanya shughuli zao tz! Yapo yanayorusha matangazo yako kw njia ya radio nayo yanafanya kazi ktk vikwazo vingi sana!
Angalia tz ndiye mwenye lugha halisi ya kiswahili lakini mashirika yote yamejimbia nairobi,sisi wa tz tumebaki na umbea wetu tu! Inakera sana!!

Yote haya ni ccm kukwepa kuanikwa kwa maovu yao mbele ya jumuia ya kimataifa!
Swali leo yule mzalendo wa kweli waliye mtimua kwa aibu pale TBC ccm baada ya kuwa mkweli ktk uchaguzi 2010 ndugu Tido Mhando amefanikiwa kutua Al jazeera wataweza kuzima sera ya uwazi ndani ya al jazeera?

Huyo Tiddo ana uhakika gani juu ya usalama wake?

Naamini toka moyoni mwangu kuwa Tido ni mfia pa mungu! Kama mungu alivyo muongoza kupigana vita ta ccm na akashinda bila shaka atakuwa jiwe kuu huku akimtegeme aliyejuu!!
Mungu akikuinua katu binadamu hatokushusha!!
Tido songa mbele!!

Kwa kweli nadhani hujui maana ya baishara huru wanaruhusiwa kuja lakini hawataki kwa vile watanzania mmezoea kusoma magazeti ya udaku. na pili mapenzi na magezti ya nje ya nini? ona vile mwananchi wanavypotosha habari. kumbuka mwananchi ni la wakenya yaani nationa na taifa leo na magazeti hayo mawili ndiyo yaliyoleta vita kenya. wacha tubaki na ya kwetu hakuna ulazima.

Chama hiki kinacho aminika kuwa ndicho chama kikongwe barani Afrika,kilicho acha sera za waasisi wake na kuwa chama Mufilisi huku kikijikita ktk mauaji ya wazalendo ndicho kimekuwa kikwazo kikuu cha vyombo vya habari vya kimataifa kujichimbia hapa tz!
Katika nchi zinazoendele kama tz ni muhimu sana kuwa na uwanda mpana zaidi wa habari hasa za dunia za kwanza,lakini katu kwa tz bado tupo gizani sana, mashirika makubwa kama BBc,cbs,cnn,rt,sbs,al jazeera,sky nk yana nafasi finyu sana kufanya shughuli zao tz! Yapo yanayorusha matangazo yako kw njia ya radio nayo yanafanya kazi ktk vikwazo vingi sana!
Angalia tz ndiye mwenye lugha halisi ya kiswahili lakini mashirika yote yamejimbia nairobi,sisi wa tz tumebaki na umbea wetu tu! Inakera sana!!

Yote haya ni ccm kukwepa kuanikwa kwa maovu yao mbele ya jumuia ya kimataifa!
Swali leo yule mzalendo wa kweli waliye mtimua kwa aibu pale TBC ccm baada ya kuwa mkweli ktk uchaguzi 2010 ndugu Tido Mhando amefanikiwa kutua Al jazeera wataweza kuzima sera ya uwazi ndani ya al jazeera?
Young man kama huna mtindio wa ubongo basi you are hollucicinating.
Unaogopa kivuli cha CCM hadi unajijambia, kuanzisha redio yako unaona nini ili ikichambue vizuri chama usichokipenda hivyo.

Taratibu mazee, yaani kijana kaja kumwaga lazi we unasema anajija......

Young man kama huna mtindio wa ubongo basi you are hollucicinating.

Unaogopa kivuli cha CCM hadi unajijambia, kuanzisha redio yako unaona nini ili ikichambue vizuri chama usichokipenda hivyo.

Nasikitika sana kuwa umesoma maandiko yangu kama jarida la ngono!
Nakusihi rudia hata ma kumi ukishindwa kuelewa omba msaada! Ondoa ombwe la kiccm kichwani na moyoni mwako kisha beba utaifa!

Back
Top Bottom