Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Watanzania tumekuwa tukichekwa na watu wa nje kuwa hatujui jibu maswali, tuna reasoning mbovu na mambo mengine.Pia wana mapinduzi wamekuwa wakipata shida sana kujadili mambo na CCM, kuwaelimisha CCM, na hata kuishi nao.Tumeona matamshi ya kuchekesha kabisa toka kwa wana CCM wote, wachafu kwa wanaoneka kuwa wasafi, kutoka kwa viongozi wazoefu na hata wasomi wa juu ndnai ya chama hiki.Vijana wa CCM nao hawajawa nyuma sana kushindana na baba zao wanaouchapa usingizi na kukurupuaka na fikra za usingizi huku wakilazimisha.
CCM hawana pa kukwepa kwani hata ndani ya nchi wao ndio tatatizo na wagumu kuelewa vitu vidogo.
CCM hawana pa kukwepa kwani hata ndani ya nchi wao ndio tatatizo na wagumu kuelewa vitu vidogo.