CCM ndio wa kulaumiwa kwa Watanzania kuwa na logic mbovu

swali lako ni zuri ila lipo flawed.... Pengine niupe mifano kidogo ndipo unaweza ona jinsi ulivyo flawed.wana ccm hawa wanalalamika sana cdm wanapochelewa pigia kelele ufisadi fulani.ktk vitu cdm wamekuwa wakifichua na kupigia kelele ni vya watanzania wote.

Kuna mfano mwingine:nguruwe anatumika ktk kunusa madawa na chemikali nyingine hatari za milipuko.kwa haraka utaon akuwa nguruwe si mnyama mwenye support ya waislam.ila anachokizua kina faida hadi kwao.

Pengine nikupe funzo, effect za cdm na changamoto wanayowapa ccm ina manufaa kwa watanzania wote, pengine cha kujiuliza ni kwanini watanzania wapo tayari kutumia benefit za uwepo wa cdm ila hawana mchango positive zaidi ya kuji behave in a way wanakishambulia chama.
nakubaliana na wewe kwenye mambo kadhaa.chadema wamefanya mambo mengi mema kadhaa kwenye taifa hili na yenye maslahi kwa umma.nawapa hongera na kuwaombea mungu kwa hili.na kuna baadhi ya viongozi wa chadema ambao nawaheshimu sana kwa jinsi walivyo na fikta pevu akiwemo zitto.ninichowalaumu chadema ni pale wanapoipinga serikali kwa kila kitu na kubeza mengine yote yanayofanywa nje ya chadema.
 
Pengine hapo mwisho umetoa mfano wa Zitto kama abuse, kwa vile Zitto ni controversial.Anyway siwezi kuchagulia mfano,ingawa ni vyeme kukumbusha kuwa honest player ktk ukombozi wa nchi yetu.

Ila kumalizia kuhushu chadema kupinga , kwamba CCM wamekuwa hawafanyi vitu vingi, wanatengeneza matatizo ya kukusudia na kuyalinda.Yale wanayoyatenda na wangestahili sifa huwa wanafanya kwa ubora wa chini au vibaya.Hili linawalengesha kwa CDM na hivyo kujikuta wakilaumiwa kila kitu.

Kuna watu walikuwa chini yangu, nilichowambia siku ya kwanza kuingia idara yao ni kwamba.Wajitahidi sana kujirekebisha na wajirekebishe kwa dhani ili mapungufu yao yasijekuwa mkusanyiko n ahivyo kila mara wakijikuwa wanaambiwa na kusikia maeneo ya krekebishwa.Kwani hii itawafanya wajenge kitu kibaya zaidi hasia na kujisikia kuwa wao tuu ndio wanaoonekana wakosefu.

CCM wapo ktk hiyo state.
 
Mimi sijui chochote wala sina uhakika wa chochote na sitegemei chochote kwa yeyote

excellent......it appears that si mkweli.Hayo uliyoandika huwezi kuwa hukutegemea chochote toka kwa wengine.
 
Watanzania wana mantiki mbovu?

Hapana aisee. Hata watu wa mataifa mengine nao wana mantiki mbovu vilevile.

Si Wamarekani, si Waingereza, si Wayemeni, si Waisraeli...wote hao na wengineo wa kwingineko nao wana mantiki mbovu, tena mbovu sana tu.
 
hembu chukuli hao wa nchi nyingine huwa wao ni kunywa bia na mengine ya kiwanda wazimu kwa maisha yao binafsi ,hapa kwetu ndio watawala ndio wanaoshap taifa letu.
 
hembu chukuli hao wa nchi nyingine huwa wao ni kunywa bia na mengine ya kiwanda wazimu kwa maisha yao binafsi ,hapa kwetu ndio watawala ndio wanaoshap taifa letu.

Hata sijaelewa ulichoandika. Kama hujali hebu rudia tena....
 
Uzi unajieleza, CCM ndo wa kulaumiwa kwa watanzania kuwa na logic mbovu ; jiulize CDM ni chama cha watanzania, wenye logic mbovu, CCM pia ni chama chenye wanachama wenye logic mbovu, watanzania wote ni wenye logic mbovu, je huo ndio msimamo wa CDM, watanzania wapiga kura wote wana logic mbovu.?
 
Ukiona ndani ya miaka 50 ya uhuru kuna mtu bado anaiamini CCM,basi ujue huyo mtu anatatizo la au TUMBO(Njaa) au UBONGO(Akili) wake umekufa.

Nakubaliana na wewe asili mia mia moja.Sometimes I wonder,watu hawa wanao support CCM pamoja na uovu wao wote, ni watu wa namna gani. Because kwa hali yeyote ile, mtu timamu hawezi kuona lolote jema ndani ya CCM.It's all rubbish.
 
kila dkk matamshi na postings za wana ccm zinazidi thibitisha jinsi walivyo kiwanda cha ujinga.
 
Back
Top Bottom