CCM ndio iliyoleta umaskini Tanzania

Yap yap chief...back again, what's the connection btn my age n this thread?

Jus answer that 1st....
Da qns wasnt focus on thread, rather than the nature of ur attempt.
I jct want to knw to whom am i concerned.
 
Da qns wasnt focus on thread, rather than the nature of ur attempt.
I jct want to knw to whom am i concerned.
Hahaha....n that's wht was asking...whr z ua qn heading dude?

Ok...why do u think it make sense knowing peoples age in here?

This is all abt discussions....n even some other guys went against ua comments few hrs ago following ua standings.

So can u put on ua general point?
 
Am of opinion that, this age issue should not be a source of your disagreements. Age issue is ones decision to disclose, it's better to PM such qn rather than putting it public. The higher age doesn't mean high IQ. The age qn question is still valid if asked PM.
Da qns wasnt focus on thread, rather than the nature of ur attempt.
I jct want to knw to whom am i concerned.
 
Hahaha....n that's wht was asking...whr z ua qn heading dude?

Ok...why do u think it make sense knowing peoples age in here?

This is all abt discussions....n even some other guys went against ua comments few hrs ago following ua standings.

So can u put on ua general point?
,Phychology point of view, age matter alot coz what u wrote, made me wonder alot.
 
,Phychology point of view, age matter alot coz what u wrote, made me wonder alot.
U mean I hv written s'thing akward???

May u pls drop ryt hr wht I wrote enough to make u asking my age?
 
Thread is there dude jct look on it, u will knw
U will notes smthng if u real knowledgeable
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndicho chama kongwe barani Afrika kilichosababisha umaskini kwa wananchi wengi nchini Tanzania. Sababu ni hizi:-

1. Elimu/maarifa/stadi duni kwa wananchi. Hivyo kuwafanya washindwe kuyamudu maisha na mazingira yao.

2. Huduma duni za afya, nguvu kazi inapotea kwa vifo.

3. Ukosefu wa maji safi na salama, kunazorotesha afya za wananchi na kusababisha magonjwa mbalimbali, kwani 70% ya mwili wa binadamu ni maji.

4. Ukosefu wa vyanzo bora vya umeme (mgao). Hivyo kushusha jitihada za wananchi kuzalisha mali.

5. Miundo mbinu duni ya barabara kwa wananchi wengi ambao 80% wanaishi vijijini. Usafirishaji wa bidhaa, mazao na watu umezoroteshwa.

6. Kilimo duni cha jembe la mkono, kunakopelekea uhaba wa chakula na kushuka kwa kilimo biashara.

7. Ukosefu wa demokrasia ya kweli, yenye kuruhusu uhuru wa mawazo na habari, ambavyo ni njia muafaka ya kukuza ubunifu na kupashana habari. Uchakachuaji wa chaguzi mbali mbali na kupelekea kupata viongozi wabovu (dhaifu na madikteta)

8. Rushwa, Ufisadi na kujichotea pesa kienyeji bila idhini ya bunge, kisha kuzipeleka kusikostahili, kama kujenga international airport kijijini, ili hali kuna uhaba wa madawa hospitali.

CCM Mungu anawaona.
sera za ccm zimelenga kuwafanya wananchi wengi wakiwemo wafanyakazi,na wakulima kuwa ombaomba ili litimie lile aliloandika Dr.RUSTON kuwa "maskini hawana umoja na kutwa wamejawa chuki na ubinafsi ambapo huanglia kesho wataishije,watu wa maisha ya jinsi hii wanatawalika kirahisi sana tofauti na wenye uwezo" poor people are corrupt
 
Kwa hiyo wewe ukinywa chai na mkate mwenzako anakufa kwa kukosa.huduma.bora za afya unayaita maendeleo?
Mngekuwa mnahubiri haya kwenye campaign pia.
Umewasaidia vipi hao wanaokufa njaa. Au unataka kutuambia wewe huwapa chakula na mahitaji hao. Acha kulaghai watu, nafsi yako imejaa ibinafsi unataka kujikweza katika hili
 
Huko nyuma tulifundishwa kuwa " ili tuendelee tunahitaji mambo manne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora" toka wakati huo mpaka sasa hatujaendelea. Tumekwamishwa wapi? Watujibu
Uongozi bora kwavitendo ndio tatizo hatuwezi pigahatua kwamambo yakuandikwa kwenye vitabu au kufokafoka
 
Umewasaidia vipi hao wanaokufa njaa. Au unataka kutuambia wewe huwapa chakula na mahitaji hao. Acha kulaghai watu, nafsi yako imejaa ibinafsi unataka kujikweza katika hili
Naona unakimbia kivuli. NASEMA HIVIII CCM IMELETA UMASKINI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom