CCM nani kawachukua huyu mbunge namkewe jamani? Mbona hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM nani kawachukua huyu mbunge namkewe jamani? Mbona hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,586
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Hakika mtafanya wake za wabunge wasikanyage kabisa dodoma kama mmeanza kuchukuana kwa nguvu hivi
  nahisi mmemdhtus sana sana mama a lyatonga maana kila wakati yuko na mkewe
  kwa style hii amwoni jamani mtawafanya wale machangu kuanza kujazana na kurandana na wabunge wetu
  huku tukiendelea kuzika kwa shinikizo za damu na pressure..sipendi sipensi kabisa kurudiwa uchaguzi maana
  wizi mtupu hela yangu yakodi inatumika nauliza nani kawachukua wapendwa hawa jamani ccm ??
   
 2. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wacha hizo wewe, kila nafsi itaonja umauti.
   
 3. o

  ommie Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...hiyo ni kafara, kwan kila kila vikao havikosi kasoro...!! Ndo ivo "INNALILLAH WAINA ALLAH RAAJIUWN.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,586
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  sijui nani anafwata mkuu ommy tusaidie maana naona wameanza kupumuzisha familia zamani walikuwa wanapumuzisha wabunge pekee
  kazi ipo
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kila mja ataonja MAUTI
  Mshahara wa dhambi ni MAUTI
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kazi ya MUNGU haina makosa,
   
 7. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 8. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  mwogope sana mungu pdidy hakuna analoshindwa ktk yeye.!?
   
Loading...