mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,264
- 12,291
Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo
Mfano wa hizo thread ni
Mzee shomari---------
Mzeee mgaya anasema----
Hanspope sio -----------
Marefa wa Bongo ----
Ushauri wangu kwa CHADEMA ----
Na nyinginezo
Mytake;
Sisi wanachama wa CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na viongozi wetu hatuujui uchaguzi huu na hatuna mda nao, tumewaachia bunge na Baraza la wawakilishi ili mlete maendeleo
Pia sisi mashabiki wa simba tumekubali matokeo na tukifanyacho ni vikao vya ndani kujiuliza tunaenda kufanya nini CAF sio jukumu lako