Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,793
- 71,206
Nimesikia kilio cha Shigongo kuhusu kudhulumiwa fedha zake walizo muahidi kwa kazi aliyofanya wakati wa kampeni 2015 ya kuchafua uoinzani na wagomea wake. Shigongo hayuko peke yake, wapo wengi sana wanao lalamika kuwa wamefanyiwa utapeli na Ccm na sasa wametoswa bila makubaliano kutekelezwa.
Jee wanapo usikia wimbo wa ANANIPENDA LEO KULIKO JANA wanakubaliana nayo au wao wanaimba kinyume chake kuwa CCM ILINIPENDA JANA KULIKO LEO?
CCM iache utadanganyifu na watu wajifunze kuwa hao Ccm sio waaminifu