CCM na Wimbo wa "Ananipenda Leo Kuliko Jana"

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,140
Nimesikia kilio cha Shigongo kuhusu kudhulumiwa fedha zake walizo muahidi kwa kazi aliyofanya wakati wa kampeni 2015 ya kuchafua uoinzani na wagomea wake. Shigongo hayuko peke yake, wapo wengi sana wanao lalamika kuwa wamefanyiwa utapeli na Ccm na sasa wametoswa bila makubaliano kutekelezwa.

Jee wanapo usikia wimbo wa ANANIPENDA LEO KULIKO JANA wanakubaliana nayo au wao wanaimba kinyume chake kuwa CCM ILINIPENDA JANA KULIKO LEO?
CCM iache utadanganyifu na watu wajifunze kuwa hao Ccm sio waaminifu
 
Shigongo kila AKINYWA MAJI lazima ahesabu NAMBA ajue amekunywa lita ngapi.
 
Shigongo ni kichwa katumia kipaji chake cha utunzi kulipwa pesa yake .. sendeka amemuita kuongelea jambo hili wakielewana hatutapata mrejesho ... Ni mwendo wa kutumika kama Big G.
 
Back
Top Bottom