CCM na wazee, CHADEMA na vijana

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Siamini ninachoendelea kukishuhudia kupitia taharifa ya saa2 ITV kuhusiana na mchakamchaka wa Igunga,ndugu zangu tokea juzi CCM inaonekana kukumbwa na uhaba mkubwa wa watu na kwa sasa mikutano yao inaudhuriwa na akina mama wazee pamoja na watoto wa nursery tofauti na wenzao CDM wanaoonekana kujawa na umati mkubwa wa watu kuanzia akina mama,mababa na hasahasa rika vijana wenye kuwa na hamasa kila dakika huku bashasha zao zikionesha dhairi kuikubali CDM

Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane
 
Nimeshtuka kumuona Mzee Philip Mangula leo TBC1 akipiga debe huko Igunga! Huyu mzee anajiingizaje kwenye hizi siasa uchwara? Si alikuwa na mashamba ya kulima kwa nini asijishughulishe na mambo ya maana badala ya hii aibu anayotaka kujizolea? Nani kamamwambia kuwa ana ushawishi kwa watanzania walioguzwa wauza viberiti barabarani na utawala mbovu wa ccm. Ni vizuri walio huko Igunga wamuulize anajua nini kuhusu EPA!
 
Hakuna marefu yasiyo na mwisho,watu walishaichoka CCM,hata wenyewe wanalitambua hilo,ndio maana wanatumia rafu kubana wapinzani Igunga badala ya kujenga hoja
 
ni chama cha waliokata tamaa na wasiojua wanatakiwa wafanye nini, nfdo mana unakuta wazee wao wameshajikatia tamaa ya kuishi wanangoja siku ya kufa, na pia watoto kwani hawajui kesho yao ipoje!
 
Siamini ninachoendelea kukishuhudia kupitia taharifa ya saa2 ITV kuhusiana na mchakamchaka wa Igunga,ndugu zangu tokea juzi CCM inaonekana kukumbwa na uhaba mkubwa wa watu na kwa sasa mikutano yao inaudhuriwa na akina mama wazee pamoja na watoto wa nursery tofauti na wenzao CDM wanaoonekana kujawa na umati mkubwa wa watu kuanzia akina mama,mababa na hasahasa rika vijana wenye kuwa na hamasa kila dakika huku bashasha zao zikionesha dhairi kuikubali CDM

Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane

Nimeamua kuacha siasa uchwara zinazoendeshwa na watu wasionitakia mema,ambao wamegeuza dhana ya kujivua gamba kama ambavyo mwenyekiti wetu JK alivyotaka iwe>>>>>Rostam
 
Nimeshtuka kumuona Mzee Philip Mangula leo TBC1 akipiga debe huko Igunga! Huyu mzee anajiingizaje kwenye hizi siasa uchwara? Si alikuwa na mashamba ya kulima kwa nini asijishughulishe na mambo ya maana badala ya hii aibu anayotaka kujizolea? Nani kamamwambia kuwa ana ushawishi kwa watanzania walioguzwa wauza viberiti barabarani na utawala mbovu wa ccm. Ni vizuri walio huko Igunga wamuulize anajua nini kuhusu EPA!

Wafa maji hao. Hizo ni dalili tosha.
 
ni chama cha waliokata tamaa na wasiojua wanatakiwa wafanye nini, nfdo mana unakuta wazee wao wameshajikatia tamaa ya kuishi wanangoja siku ya kufa, na pia watoto kwani hawajui kesho yao ipoje!
Lakini ht wazee siku hizi hawaitaki ccm, baba yangu ni mzee hataki kusikia habari za ccm kabisa.
 
kelele mwisho tarehe 2.10.2011, ndipo tutajua mbichi ipi? na mbivu ipi? kelele na kubwabwaja hapa jamii forum hawakusikii watu wa Igunga.
 
Siamini ninachoendelea kukishuhudia kupitia taharifa ya saa2 ITV kuhusiana na mchakamchaka wa Igunga,ndugu zangu tokea juzi CCM inaonekana kukumbwa na uhaba mkubwa wa watu na kwa sasa mikutano yao inaudhuriwa na akina mama wazee pamoja na watoto wa nursery tofauti na wenzao CDM wanaoonekana kujawa na umati mkubwa wa watu kuanzia akina mama,mababa na hasahasa rika vijana wenye kuwa na hamasa kila dakika huku bashasha zao zikionesha dhairi kuikubali CDM

Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane
CCM ni mfa maji haishi kutapa tapa, Igunga ni yard stick ya muonekano wa siasa za TZ zikoelekea. Majibu ya Zambia si wameyapata, kila kitu kina mwisho wake!!!!!!!
 
Wazee hawaiwezi kasi ya vijana ambao wengi wanatamani kuona mabadiliko na unafuu wa maisha. Hawaridishwi na sera za kizamani; eti Ofisa tu ndiye anayepaswa kuvaa suruari wengine wavae kaptula. Ati mwalimu ndiye mwenye radio kijijini na watu wote kijijini wapaswa kwenda kwa mwalimu au mwenyekiti wa kijiji kusikiliza taarifa za habari. Ati ukitaka kunywa chai mpaka uende mjini hotelini.
 
Back
Top Bottom