Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Siamini ninachoendelea kukishuhudia kupitia taharifa ya saa2 ITV kuhusiana na mchakamchaka wa Igunga,ndugu zangu tokea juzi CCM inaonekana kukumbwa na uhaba mkubwa wa watu na kwa sasa mikutano yao inaudhuriwa na akina mama wazee pamoja na watoto wa nursery tofauti na wenzao CDM wanaoonekana kujawa na umati mkubwa wa watu kuanzia akina mama,mababa na hasahasa rika vijana wenye kuwa na hamasa kila dakika huku bashasha zao zikionesha dhairi kuikubali CDM
Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane
Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane