CCM NA WASALITI JIULIZENI WATU WANAIPENDA CCM AU MTU?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
500
Nimekuwa nafuatilia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM Juu ya usaliti wa baadhi ya wanachama wake.Viongozi hao wamekuwa wanajifanya wao ni watiifu lakini wengine ni wasaliti Na kufikia hatua ya kuwafukuza uanachama.Najiuliza hao viongozi wao ni watiifu Kwa ushahidi UPI? Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita anadiriki Kuwait's wanachama wenzake wasaliti wakati yeye upo ushaidi wa kuwa msaliti.Viongozi wa CCM mnachotakiwa kujua zama za kukipenda chama zimepitwa Na wakati sasa hivi watu wanakipenda chama Kwa maslahi Na baya zaidi anapendwa MTU ambaye wanachama wanajua atawasaidia .Ushahidi huo tumeuona pamoja Na CCM kumfanyia MIZENGWE Na KUMTUKANA Mh.Lowassa bado maelfu ya wanachama walimfuata kiroho Mh.Lowassa Na bado wanaendelea kumwamini.Naamini CCM INA uhakika kuwa robo tatu ya wanachama wake pamoja Na idadi kubwa ya viongozi wake wana imani kubwa Na kamanda Lowassa .Ushahidi ni wakati wa mkutano mkuu wa uchaguzi, mikutano ya kampeni (Akiwa Chadema), mkutano wa ccm wa kukabidhi uenyekiti n.k.Nawashauri CCM wanachama wanampenda Mh.Lowassa KIROHO ni wengi sana hats mkiwafukuza hao mnaidhani wasaliti bado mtawaacha wengine wanaomkubali.Kidumu chama cha Mapinduzi.
 
monges

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
1,040
1,500

Hakuna mtu alikuwa anamwamini EDO isipokuwa pesa yake ndo inavutia watu ni pamoja na ww na hata viongozi cdm pia, make baada ya kutukanwa sana majukwaani, lakini alipotinga cdm wakasema si fisadi mwenye ushahidi na aende mahakamani.
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,661
2,000

kuna ule wimbo wa TUNAIMANI NA LOWASSA MH kilanja msaidizi nae alikuwa anaimba ukibisha tunamwaga mboga.

swissme
 
Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
500
Acha hasira MKUU naona umetoka ghafla mafichoni hats USO hujanawa ulipoina Nina EDO chezea Kamanda we we ? Unawakumbuka waliokuwa wanapiga makofi Na kuimba kale ka wimbo " Tuna imanii Na .........…
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom