Ccm na wagombea wenu ni Nzige walioanza 1984-2015 wameongezeka


X

xenaxena

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Messages
2,238
Points
1,500
X

xenaxena

JF-Expert Member
Joined May 20, 2014
2,238 1,500
Mwaka 2010 ccm iliahidi maisha bora kwa kila Mtanzania,matokeo yake ni ukwapuaji na ulindaji wa kundi na genge la mafisadi!

Mwaka 2013 wakaahidi kuwaletea wananchi katiba bora,cha ajabu kundi hili la wagombea ccm lilikuwa la kwanza kutowasikiliza waajiri wao( wananchi)

Lro wanakuja na kutoa maamuzi magumu yaliyoshindikana kipindi cha miaka 15 tu juu ya maji Elimu,Afya nk

Wataondoa tatizo la ajira wameliona leo kwani ndio wamefika nchini,

Watapambana na rushwa ni hawahawa wakiwa wajumbe wa baraza la Mawaziri,wametunga sheria ya kupinga Uhuru wa vyombo vya habari,wameikaba TISS na kukosa meno,TAKUKURU ndoo usiseme!

Tuanze na haya,hawakuyajua?, yameibuka leo?
Jinsi ipi leo ahadi maneno kibao ya wanaccm yabaweza kuwaondoa katika uonevu,dharau na utendaji usiozingatia haki,usawa na uhuru wa kutoa maoni watakuwa wameuaga?
 
L

lubu-kato

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Messages
493
Points
0
L

lubu-kato

JF-Expert Member
Joined May 2, 2015
493 0
Tutafahamishana vzur oktoba! Wasilete janja ya nyani kula indi bichi!
 
X

xenaxena

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Messages
2,238
Points
1,500
X

xenaxena

JF-Expert Member
Joined May 20, 2014
2,238 1,500
Tutafahamishana vzur oktoba! Wasilete janja ya nyani kula indi bichi!
Waliahidi kuwa Ikulu ni sehemu ya utatuzi wa shida zao na familia zao huoni sasa wako ziarani Ulaya kuaga wahisani hivi hata Rais wa Marekani hufanya haya?

Ikiwa Baba kayafanya,aliowalea?
 

Forum statistics

Threads 1,285,404
Members 494,595
Posts 30,860,650
Top