CCM Na vijizawadi hawajambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Na vijizawadi hawajambo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by dazenp, Oct 8, 2010.

 1. dazenp

  dazenp Senior Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Cheeecheeee cheee ...........unapata dezo dezoooo.....mali zao sitaki kuuacha....sera zao hazilipiii....we CCM weee umeumbukaaa.......

  Jana nimekuta store moja imesheheni mzigo huuu huku Arusha nasikia ni Mpango wa kugawa....kwa wananchi wa Arusha pamoja na Tanzania Shillings 5000, mpaka 10000....yaani wanakandia chama pinzani eti wanasema SIE Chadema kiongozi wetu DR.SLAA ana pepo wa ngono....je kauli zao zinamaanisha nini?????

  Mwaka huu CHADEMA TUUUU.....jana nimemsikia kiongozi wa kweli mwenye uchu na rsilimiali ya nchi yake....mwenye kunisisimua na kuamsha ARI,NGUVU NA KASI ZAIDI YA KUIPIGIA CHADEMAAAAA

  Kwanini niwe mfungwa wa mawazo na fikra,masikini wa utajiri katika nchi yenye rasilimali ya kila aina.....KURA YANGU CHADEMA MWAKA HUUU bureeeee.jpg IMG00132-20101007-2004.jpg IMG00130-20101007-2004.jpg
   
Loading...