CCM na uchakachuaji wa picha

Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
462
74
Nimeona hii picha ukiangalia kwa makini unaona ni jinsi gani CCM wanavyotumia technologia kutengeneza picha ili ionekena wana wingi wa watu katika kampeni/mikutano yao. Hizi ndo siasa uchwara tunaziita maana kama unasera makini wananchi watavutiwa na watajaa kwenye mikutano ila kama sera zako ni za ubabaishaji na ahadi nyingi zisizotimizika kila siku ahadi na hata siku hatujasikia kampeni ya kueleza uteketelezaji hakuna atakaye hudhuria mikutano na matokeo yake kuficha aibu ndo haya mambo ya picha. Ieleweke kwamba watanzania wa sasa wamekuwa na utashi mkubwa sana wa kuelewa mambo tofauti na miaka ya nyuma.
 
Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    65.1 KB · Views: 347
Poor CC'eM..
**30 days of Adobe Photoshop demo version EXPIRED!**
 
Wanachakachua picha kama njia ya kuhalalisha wizi wao wa kura huko Igunga; lakini safari hii wajue huko kutachimbika!!
 
Hii ni moja tu kati ya nyingi ambazo hatujaweza pata...inatia shaka sana wamechakachua ngapi ambazo wananchi waliamini ni sahihi. Mwenyekiti wao analalamikia makanjanja na wakati wao wenyewe ndo makanjanja.
 
<script type="text/javascript">var _qevents = _qevents || [];(function() {var elem = document.createElement('script');elem.src = (document.location.protocol == "https:" ? "https://secure" : "http://edge") + ".quantserve.com/quant.js";elem.async = true;elem.type = "text/javascript";var scpt = document.getElementsByTagName('script')[0];scpt.parentNode.insertBefore(elem, scpt);})();_qevents.push({qacct:"p-95EVqn2X8Y6XI"});</script>
<noscript> <div style="display:none;"> <img src="//pixel.quantserve.com/pixel/p-95EVqn2X8Y6XI.gif" border="0" height="1" width="1" alt="Quantcast"/> </div> </noscript>
attachment.php

<script type="text/javascript">//<![CDATA[window.orig_onload = window.onload;window.onload = function() {var cpost=document.location.hash.substring(1);var cpost2='';if(cpost){ var ispost=cpost.substring(0,4)=='post';if(ispost)cpost2='post_'+cpost.substring(4);if((cobj = fetch_object(cpost))||(cobj = fetch_object(cpost2))){cobj.scrollIntoView(true);}else if(ispost){cpostno = cpost.substring(4,cpost.length);if(parseInt(cpostno)>0){location.replace('https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p='+cpostno);};} }if(typeof window.orig_onload == "function") window.orig_onload();}//]]></script>
 
Ukichunguza kwa makini kidogo wala si sana utagundua ni picha ambayo imekuwa duplicated a number of times.
Nadhani hii iko intended kutumika kwenye social media, magazeti, ....
 
hahahahhaaa!!!!
wana haha!! wanapumulia mashine!!

unamwona na huyu mwalifu, mchakachuaji alivyoshughulikiwa?? hakuna cha u-DC wala mafi gani!!
images
 
<script type="text/javascript">var _qevents = _qevents || [];(function() {var elem = document.createElement('script');elem.src = (document.location.protocol == "https:" ? "https://secure" : "http://edge") + ".quantserve.com/quant.js";elem.async = true;elem.type = "text/javascript";var scpt = document.getElementsByTagName('script')[0];scpt.parentNode.insertBefore(elem, scpt);})();_qevents.push({qacct:"p-95EVqn2X8Y6XI"});</script>
<noscript> <div style="display:none;"> <img src="//pixel.quantserve.com/pixel/p-95EVqn2X8Y6XI.gif" border="0" height="1" width="1" alt="Quantcast"/> </div> </noscript>
attachment.php

<script type="text/javascript">//<=!=[=C=D=A=T=A=[window.orig_onload = window.onload;window.onload = function() {var cpost=document.location.hash.substring(1);var cpost2='';if(cpost){ var ispost=cpost.substring(0,4)=='post';if(ispost)cpost2='post_'+cpost.substring(4);if((cobj = fetch_object(cpost))||(cobj = fetch_object(cpost2))){cobj.scrollIntoView(true);}else if(ispost){cpostno = cpost.substring(4,cpost.length);if(parseInt(cpostno)>0){location.replace('https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p='+cpostno);};} }if(typeof window.orig_onload == "function") window.orig_onload();}//]=]=></script>

Hapo wanaandaa mazingira ya kuhalalisha uchakachuaji.

Watasema mikutano yetu ilikuwa inafurika watu na ndio hao waliotupigia kura. Aisee hii ni hatari kwa kweli, pamoja na kuhonga waandishi wa habari ili wawaandike vizuri lakini bado tu wanahaha huku na kule.

Wamepeleka igunga kila aina ya silaha wanazoziamini hadi wameamua kukumbuka na wastaafu waliokuwa wamewatupa lakini bado tu hali ni mbaya.
 
Naona wameona haitoshi sasa wameamua kugawa na ubwabwa kwenye kampeni pamoja na kujaza watoto...! Hizi siasa uchwara hazijengi nchi...tutawang'oa tu hawa jamaa 2015 wapende wasipende.
 
Hapo wanaandaa mazingira ya kuhalalisha uchakachuaji.

Watasema mikutano yetu ilikuwa inafurika watu na ndio hao waliotupigia kura. Aisee hii ni hatari kwa kweli, pamoja na kuhonga waandishi wa habari ili wawaandike vizuri lakini bado tu wanahaha huku na kule.

Wamepeleka igunga kila aina ya silaha wanazoziamini hadi wameamua kukumbuka na wastaafu waliokuwa wamewatupa lakini bado tu hali ni mbaya.

Chonde, chonde, chonde CCM ni nomaaaaaaa!!!!!!! Kwa karne hii wanafikiri kwa kutumia masaburi! Duuuuu CCCCCCM ni nomaaaaaaaaaa!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom