Ccm na tamaa ya madaraka.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Pamoja na tuhuma zinazowakabili bado wanataka kuendelea kutawala.
Wameshindwa kuondoa umaskini,matokeo yake wamekuja na udini,ukabila na ugaidi. Kama nchi imewashinda si muachie ngazi? Hata aibu hamna mnataka kuendelea kutawala,pumzikeni sera za ccm mbovu wananchi wamewachoka. Au wadau mnasemaje?
 
Back
Top Bottom