Tukubali tukatae tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu litabadilisha siasa za Tanzania na hata Tanzania yenyewe.
Lissu yuko maili zaidi ya elfu 10 kutoka Tanzania lkn akikohoa tu serikali nzima ya Tanzania, Chama tawala, wafuasi wake wote wa mitandaoni wanatetemeka.
Ziara yake inafuatiliwa kuliko hata ziara ya Rais.
Si mawaziri, wabunge, mabalozi, wakuu wa mikoa wanaofuatilia ziara ya Lissu.
Lissu akiongea Lugola anatetemeka.
Lissu akiongea Spika anachanganyikiwa.
Lissu akifanya mahojiano Katibu Mkuu wa CCM anaweweseka.
Lissu akizungumza Polepole anazimia.
Lissu aki post mitandaoni thread zote zinajaa Lissu Lissu.
Hatusikii ya bombardier wala dreamliner siku hizi ni Lissu Lissu tu huku miaka ya awamu ikikatika.