CCM na serikali yake wanataka kupoteza wengi

afsa

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
1,925
2,000
Serikali inajiandaa kuwapoteza raia wengi zaidi.
Serikali ndio mlinzi wa kwanza wa raia lakini raia wanapotea serikali haijali.
Inaamua kutoa kauli nyepesi "ni wahamiaji haramu"
Wahamiaji haramu hawana haki ya kuishi?
Ben saanane amepotea ,huyo ni maarufu wapo wengi wanaopotea kimyakimya.
Hawa watanzania wanaofinywa wanaitia laana nchi yetu.

Wakiweza kuwachomoa member wa JF watakuwa wameweza kuangamiza fikra tofauti, tutegemee kuishi Taifa la aina ipi?

Badala ya kuwaza kuwaletea maendeleo wananchi ili wakosoaji wakose la kusema ninyi mnahangaisha vichwa vyenu kuwaza wananchi wenu wapotee?

FreeLema

FreeMelo

BringBackBenSaanane.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom