CCM na serikali yake waendelea kudhibiti vyombo vya habari dhidi ya IPTL

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,276
CCM na serikali yake waendelea kudhibiti vyomba vya habari vinavyo andika habari za wizi wa IPTL unaoihusisha "ikulu ya ccm" moja kwa moja,

Baada ya gazeti la Mwananchi kudhibitiwa kwakuambiwa lilipe trilioni 8, sasa ni Gazeti la Ma-wio limeingia kwenye mgogoro huo baada ya wiki iliyopita kuripoti habari hizo za IPTL,

Na tz daima pia wamefunguliwa kesi MCT kwakusema vigogo wageukana kuhusu IPTL.

Kama hiyo haitoshi viongozi wa juu wa ccm wamegeuka kuwa hatari kwa Mtanzaia yeyote atakae wauliza habari za wizi huo,

Mfano jana katika mkutano aliouendesha Nape Nnauye pale Mwanza, alijitokeza mzalendo mmoja kama Nicholus Kilunga akamuomba Bwana Nape alizungumzie swala la wizi huo,

Kilichofuata ni kipigo kutoka kwa polisi na green gurd wa ccm kwa kamanda huyo mzalendo.

Tuwatahadharishe ccm, wizi huu utaiondoa madarakani ccm kabla ya 2015.

Wapo wanaoleta propaganda za kipuuzi kwenye suala nyeti kama hili, lakini hebu tuwaombe wajibu baadhi ya hoja, na tuwafafanulie ukweli wa mambo ulivyo.

Hakuna ushahidi wa singasinga kununua asilimia 70 ya hisa za iptl zinazimilikiwa na mechmar.

Upo ushahidi wa singasinga kununua asilimia 30 za iptl zilizikuwa chini ya VIP nazo amezilipa bada ya kupewa hela za escrow. Kwaiyo singasinga kapewa hela za escrow na mitambo ya iptl bila kuingiza hata senti1.

SINGASINGA APEWA IPTL NA ESCROW BURE. Wanaosema hela za escrow ni za iptl hawajibu maswali matatu;

1.iweje cag akague pesa za kampuni binafsi? Pinda alisema labda kodi, lakn tangu lini cag akakagua kodi za kampuni binafsi? Kampuni binafsi ikiwa na tatizo la kodi ni kazi ya tra kushughulikia. Cag hana mamlaka ya kukagua hata mashirika ambayo serikali ina chini ya asilimia50 ya hisa.

Huu ni ushahidi kuwa pesa ya escrow sio ya iptl kama inavopotoshwa.

2.kama pesa ya escrow ni ya serikali kwann hukumu ya Feb2014 ilotolewa mahakama ya ISCID ilielekeza iptl na serikali zifanye mahesabu kuangalia kiasi gani cha fedha hizo kitakuwa halali ya iptl na kiasi gani kitakiwa halali ya tanesco?

3. Wanasema hizo pesa kachiwa singasinga ili serikali na tanesco iachane na kesi ..huu ni uongo kwani mwezi may tanesco imeteua mawakili kwenda mahakama ya ISCID kuitetea kwenye kesi ya IPTL.

4. Serikali inapojidanganya kuwa singasinga ndio atalipa madeni yote ya iptl ni utapeli kwani wadai wa iptl hawamtambui singasinga ndio mana wanaidai serikali..mfano mpaka sasa standard chartered wanaidai serikali mahakama ya iscid pia mechmar wapo hatua za mwisho za kufungua kesi dhidi ya serikali kwasababu singasinga aloyesaini na serikali hana ushahidi wa umiliki wa IPTL ndio mana mpaka sasa ameshindwa kuonesha share certificate ya kumiliki asilimia 70 za iptl ambazo alidanganya kuwa amezinunua toka mechamar.
 
Last edited by a moderator:
CCM na serikali yake waendelea kudhibiti vyomba vya habari vinavyo andika habari za wizi wa IPTL unaoihusisha "ikulu ya ccm" moja kwa moja,

Baada ya gazeti la Mwananchi kudhibitiwa kwakuambiwa lilipe trilioni 8, sasa ni Gazeti la Ma-wio limeingia kwenye mgogoro huo baada ya wiki iliyopita kuripoti habari hizo za IPTL,

Na tz daima pia wamefunguliwa kesi MCT kwakusema vigogo wageukana kuhusu IPTL.

Kama hiyo haitoshi viongozi wa juu wa ccm wamegeuka kuwa hatari kwa Mtanzaia yeyote atakae wauliza habari za wizi huo,

Mfano jana katika mkutano aliouendesha Nape Nnauye pale Mwanza, alijitokeza mzalendo mmoja kama Nicholus Kilunga akumuomba Bwana Nape alizungumzie swala la wizi huo,

Kilichofuata ni kipigo kutoka kwa polisi na green gurd wa ccm kwa kamanda huyo mzalendo.

Tuwatahadharishe ccm, wizi huu utaiondoa madarakani ccm kabla ya 2015.

Sindio vizuri nafuraha yako sasa unatahadharisha nini wacheni ilimpa kwenda ikulu nawewe upewe ubunge wakuteuliwa
 
Last edited by a moderator:
huna hoja dogo taarab zako tumezizoea
CCM na serikali yake waendelea kudhibiti vyomba vya habari vinavyo andika habari za wizi wa IPTL unaoihusisha "ikulu ya ccm" moja kwa moja,

Baada ya gazeti la Mwananchi kudhibitiwa kwakuambiwa lilipe trilioni 8, sasa ni Gazeti la Ma-wio limeingia kwenye mgogoro huo baada ya wiki iliyopita kuripoti habari hizo za IPTL,

Kama hiyo haitoshi viongozi wa juu wa ccm wamegeuka kuwa hatari kwa Mtanzaia yeyote atakae wauliza habari za wizi huo,

Mfano jana katika mkutano aliouendesha Nape Nnauye pale Mwanza, alijitokeza mzalendo mmoja kama Nicholus Kilunga akumuomba Bwana Nape alizungumzie swala la wizi huo,

Kilichofuata ni kipigo kutoka kwa polisi na green gurd wa ccm kwa kamanda huyo mzalendo.

Tuwatahadharishe ccm, wizi huu utaiondoa madarakani ccm kabla ya 2015.
 
Last edited by a moderator:
Nami natoa amri kwa red briged kuwatwanga wote wanaoleta nyodo kwenye mikutano yetu afu tuone kama inji itatawalika allah!!
 
wizi umegusa nyumba kubwa,watajaribu kuuficha with all the ammunition they have in the arsenal..
 
Wanatafuta hela za kununulia Kofia na Tshirt wakati wa kampeni 2015 kukinusuru chama. Chama kwanza Taifa baadaye
 
CCM na serikali yake waendelea kudhibiti vyomba vya habari vinavyo andika habari za wizi wa IPTL unaoihusisha "ikulu ya ccm" moja kwa moja,

Baada ya gazeti la Mwananchi kudhibitiwa kwakuambiwa lilipe trilioni 8, sasa ni Gazeti la Ma-wio limeingia kwenye mgogoro huo baada ya wiki iliyopita kuripoti habari hizo za IPTL,

Na tz daima pia wamefunguliwa kesi MCT kwakusema vigogo wageukana kuhusu IPTL.

Kama hiyo haitoshi viongozi wa juu wa ccm wamegeuka kuwa hatari kwa Mtanzaia yeyote atakae wauliza habari za wizi huo,

Mfano jana katika mkutano aliouendesha Nape Nnauye pale Mwanza, alijitokeza mzalendo mmoja kama Nicholus Kilunga akamuomba Bwana Nape alizungumzie swala la wizi huo,

Kilichofuata ni kipigo kutoka kwa polisi na green gurd wa ccm kwa kamanda huyo mzalendo.

Tuwatahadharishe ccm, wizi huu utaiondoa madarakani ccm kabla ya 2015.
Uongo na uzushi huu hautaisaidia Chadema na anguko kuu, it is just too sad that Chadema is going too soon! Nilidhani wangehimili kidogo ushindani lakini masikini pumzi imewaisha mpaka mnapumulia mashine mapema namna hii!??

Nilikuwa Mwanza nimefanya mikutani miwili mmoja wa ndani mwingine wa hadhara, na katika mikutano yote hiyo hakuna aliyeuliza swali la IPTL wala aliyesukumwa achilia mbali kupigwa! Huu uzushi ni kujaribu kutibu machungu ya kukimbiwa kwa Chadema na Rais wa serikali ya wanafunzi wa SAUT na wenzake kibao baada ya kuona ubabaishaji wa wazi sana wa upinzani.

Kuelekea kilichowakuta Chadema SAUT, mlianzisha uzushi mwingi sana mara Nape anapokea watu waliofukuzwa Chadema, mara Nape kagawa ng'ombe na mbuzi nk, uzushi huu kwa taarifa yenu ndio uliopelekea jana CCM kuvuna zaidi ya wanachama wapya wanafunzi wa SAUT zaidi ya 400.

Uzushi hautawasaidia
BADILIKENI TU!
 
Yericko Nyerere ona ulivyoumbuka sasa, kila siku tunakushauri hapa uache uzushi lakini huelewi.
 
Last edited by a moderator:
Uongo na uzushi huu hautaisaidia Chadema na anguko kuu, it is just too sad that Chadema is going too soon! Nilidhani wangehimili kidogo ushindani lakini masikini pumzi imewaisha mpaka mnapumulia mashine mapema namna hii!??

Nilikuwa Mwanza nimefanya mikutani miwili mmoja wa ndani mwingine wa hadhara, na katika mikutano yote hiyo hakuna aliyeuliza swali la IPTL wala aliyesukumwa achilia mbali kupigwa! Huu uzushi ni kujaribu kutibu machungu ya kukimbiwa kwa Chadema na Rais wa serikali ya wanafunzi wa SAUT na wenzake kibao baada ya kuona ubabaishaji wa wazi sana wa upinzani.

Kuelekea kilichowakuta Chadema SAUT, mlianzisha uzushi mwingi sana mara Nape anapokea watu waliofukuzwa Chadema, mara Nape kagawa ng'ombe na mbuzi nk, uzushi huu kwa taarifa yenu ndio uliopelekea jana CCM kuvuna zaidi ya wanachama wapya wanafunzi wa SAUT zaidi ya 400.

Uzushi hautawasaidia
BADILIKENI TU!

Kamanda Nape Nnauye,

Upo tayari kuupokea ushahidi wa kilichotokea jana?

Naomba usikumbie jukwaa ukawaachia hawa akili ndogo wakutetee pindi ushahidi wakuonyesha wewe ukiamrisha kukamatwa kwa kijana Nicholaus Kilunga
 
Last edited by a moderator:
uongo na uzushi huu hautaisaidia chadema na anguko kuu, it is just too sad that chadema is going too soon! Nilidhani wangehimili kidogo ushindani lakini masikini pumzi imewaisha mpaka mnapumulia mashine mapema namna hii!??

Nilikuwa mwanza nimefanya mikutani miwili mmoja wa ndani mwingine wa hadhara, na katika mikutano yote hiyo hakuna aliyeuliza swali la iptl wala aliyesukumwa achilia mbali kupigwa! Huu uzushi ni kujaribu kutibu machungu ya kukimbiwa kwa chadema na rais wa serikali ya wanafunzi wa saut na wenzake kibao baada ya kuona ubabaishaji wa wazi sana wa upinzani.

Kuelekea kilichowakuta chadema saut, mlianzisha uzushi mwingi sana mara nape anapokea watu waliofukuzwa chadema, mara nape kagawa ng'ombe na mbuzi nk, uzushi huu kwa taarifa yenu ndio uliopelekea jana ccm kuvuna zaidi ya wanachama wapya wanafunzi wa saut zaidi ya 400.

Uzushi hautawasaidia
badilikeni tu!

pamoja na kauli yako hii nyepesi,naamini unaandika huku nafsi yako ikikushangaa.
 
Nape hujui lolote zaidi ya kubwabwaja. Uwezo wako wa kuvuna wanachama kiasi hicho huna kwa kua sera wala mtizamo wa mbele huna pia. Wanafunzi wanakuzidi kuelewa na maarifa kwani hata cheo ulicho nacho ulitukana ndio ukapewa. Kama ni suala la uwezo wa matusi hapo naamini Chadema hawakuwezi kwa matusi na si vinginevyo. Unaamrisha wanaohoji mambo ya msingi wakamatwe huoni unapotoka na kuongopea umma wa Watanzania.?
 
kamanda nape nnauye,

upo tayari kuupokea ushahidi wa kilichotokea jana?

Naomba usikumbie jukwaa ukawaachia hawa akili ndogo wakutetee pindi ushahidi wakuonyesha wewe ukiamrisha kukamatwa kwa kijana nicholaus kilunga

unampandisha cheo huyu msaka tonge,kamanda ni mwanachadema na mwanaharakati yeyote mwenye nia ya dhati kuwapigania wanyonge wa taifa hili la nyerere, na siyo kama huyu kijana nape! Kijana aliyeuza iq yake kwaajili ya tumbo lake?
-zengwe lake na lowassa juu ya jengo la kitegauchumi la umoja wa vijana iliishia wapi?.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom