technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kwanza kabisa nimpe pole Max kwenye hiki kipindi anachopitia na ujasiri anao uonyesha wa kutoteteleka kutoka kwa uonevu anaofanyiwa na utawala ulioamua kutokosolewa.
Nirudi kwa ccm,Ccm msitufanye watanzania ni wajinga au watoto kwa mambo mnayoendelea kuyafanya.
Naomba mnijibu maswali yafuatayo.
1: Kwanini Sheria ya Gesi ambayo ni rasilimali ya taifa mswada wake ulipitishwa kwa hati ya dharura?.
2 : Kwanini Sheria mpya ya Habari mlihonga wabunge milion 10 kwa mjibu wa Mbowe maana hamjawai kukanusha ili mpitishe haraka na ianze kufanya Kazi?...
3: Kwanini sheria ya mitandaoni (cyber crime) ilipitishwa kwa hati ya dharura tena usiku ?
Hivi sheria nzuri unawezaje kukipitisha kwa dharura?
Sheria nzuri inawezaje kuvunja matakwa ya katiba ya nchi ?
Hivi ni kipi kikubwa kati ya Sheria na Katiba?
Hivi sheria zinazowahusu watanzania zaidi ya Milioni 50 inawezaje kuchambuliwa na kupitishwaje na fisadi chenge tena kwa hati ya dharura?......
Ccm muache Mara moja kuwafanya watanzania wote ni wajinga endeleeni kuwaburuza wajinga lakini watu tunaojielewa mtuache tufanye mambo yetu kwa Uhuru .
Mimi binafisi sitanyamaza,na sitanyamazishwa kuusema ukweli kwa kumsema mtu yeyote hasa wanaochezea amani ya nchi .
Ccm mkumbuke chuki mnayoipandikiza itawarudia nyie wenyewe kwa maono yangu.
"Love is the only force capable of transforming an enemy into a friend. Darkness cannot drive at darkness, Only light Can do that,And Hate cannot drive out hate, Only Love can do that"
Nasisitiza sitanyamaza,wala sitanyazishwa na wezi na majambazi wa nchi hii na matapeli wa siasa.