CCM na Serikali wasijidanganye kuwa wameshinda hii vita, uwanja wa mapambano tu ndio umebadilika

Wenye kuridhishwa, kufurahia na kushangilia huu 'ushindi' wafanye hivyo. Ingawa sielewe kuna faida gani ya kushangilia huu 'ushindi' katikati ya uwanja uliojaa damu.

Ila kitu pekee ambacho kinatakiwa kibaki kwenye fikra, mioyo na nafsi zao ni kuwa hii vita haijaisha bado. Kamwe wasijidanganye kuwa sasa upinzani umekufa. Hilo ni kosa.

Uwanja wa mapambano tu ndo umebadilika, tumezoea upinzani kuwa ndani ya bunge sana sana, sasa upinzani unaenda kuhamia sehemu nyingine.

Upinzani ni kama maji, it takes form, shape and structure kulingana na hali iliyopo wakati huo.

Unaweza kukanyaga, siginya na kuuponda ponda upinzani, ila daima huna uwezo wa kuuua.

Kama tu katika ngazi ya familia, watu wanaweza kuishi, kukua na kulelewa pamoja lakini kila mtu akaishia kuwa na mawazo na tabia zake tofauti, sembuse ngazi ya taifa...

Hata Nyerere tu katika kipindi cha chama kimoja bado alikumbana na upinzani ndani ya chama, kina Kambona, Aboud Jumbe n.k

China pamoja nakuwa ni nchi ya chama kimoja lakini bado kuna mass incidents zaidi ya 500 kila siku.

Nchi ni watu, na wote hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana hata siku moja.

Kwahiyo Serikali na CCM isi-relax na kubweteka kuwa sasa upinzani nchini umeisha. As long as watu nchini wanakuwa na mtazamo na mawazo tofauti, upinzani daima utadumu.

Kilichobadilika sasa ni uwanja wa mapambano tu, vita haijaisha.

Kwasasa 'wamefanikiwa' kuuondoa upinzani bungeni, ila utahamia sehemu nyingine. Unaweza kuhamia ndani ya chama chao wenyewe, na kuibukia pia kutoka sehemu nyingine ambayo hawajaitegemea bado.

Kuna msemo unasema, you have won the battle but not the war.

Kama ni kipenga ndo kwanza kimepulizwa, they should prepare for round two!
Kwani magufulii anasemaje
 
wamejiongezea upinzani
Ukweli CCM ilipambana na Wananchi pesa zilizo changwa na wananchi ndizo ziliendesha kampeni naikumbukwe ilianza pale Mbowe na wenzake walipo lipiwa kutolewa gerezani hata Raisi alichangia 30m hivyo Chadema kama chama kifedha hawajapoteza naimani kinaenda kuomarika zaidi fikiria siku 60 tu hasara waliyo ipata ccm ilivo
 
Wenye kuridhishwa, kufurahia na kushangilia huu 'ushindi' wafanye hivyo. Ingawa sielewe kuna faida gani ya kushangilia huu 'ushindi' katikati ya uwanja uliojaa damu.

Ila kitu pekee ambacho kinatakiwa kibaki kwenye fikra, mioyo na nafsi zao ni kuwa hii vita haijaisha bado. Kamwe wasijidanganye kuwa sasa upinzani umekufa. Hilo ni kosa.

Uwanja wa mapambano tu ndo umebadilika, tumezoea upinzani kuwa ndani ya bunge sana sana, sasa upinzani unaenda kuhamia sehemu nyingine.

Upinzani ni kama maji, it takes form, shape and structure kulingana na hali iliyopo wakati huo.

Unaweza kukanyaga, siginya na kuuponda ponda upinzani, ila daima huna uwezo wa kuuua.

Kama tu katika ngazi ya familia, watu wanaweza kuishi, kukua na kulelewa pamoja lakini kila mtu akaishia kuwa na mawazo na tabia zake tofauti, sembuse ngazi ya taifa...

Hata Nyerere tu katika kipindi cha chama kimoja bado alikumbana na upinzani ndani ya chama, kina Kambona, Aboud Jumbe n.k

China pamoja nakuwa ni nchi ya chama kimoja lakini bado kuna mass incidents zaidi ya 500 kila siku.

Nchi ni watu, na wote hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana hata siku moja.

Kwahiyo Serikali na CCM isi-relax na kubweteka kuwa sasa upinzani nchini umeisha. As long as watu nchini wanakuwa na mtazamo na mawazo tofauti, upinzani daima utadumu.

Kilichobadilika sasa ni uwanja wa mapambano tu, vita haijaisha.

Kwasasa 'wamefanikiwa' kuuondoa upinzani bungeni, ila utahamia sehemu nyingine. Unaweza kuhamia ndani ya chama chao wenyewe, na kuibukia pia kutoka sehemu nyingine ambayo hawajaitegemea bado.

Kuna msemo unasema, you have won the battle but not the war.

Kama ni kipenga ndo kwanza kimepulizwa, they should prepare for round two!

Kilaza wewe unajua ICC ni kama polis post
Wamepelekwa akina Gbagbo atakuwa Siro? Mtu mdogo sana huyo. Nyie endeleeni kumpa kichwa tu.

Ninyi myaendelea kula kuku kwa mrija yeye kaiacha familia yake
 
Duh.. Kuna watu wana moyo jamani,

Kwahiyo hata baada ya hapa bado mnajifariji?
IMG_20201101_182154.jpg
IMG_20201031_080552.jpg
 
Kesho ndio siku yenu ya kuvunjwa miguu hao wanaowaambia kuandamana mbn wao hajawaambia watoto na wake zao mnawasaidia wapate mkate walioupoteza

sent from HUAWEI
 
Waliwafanya watumwa babu zako wakawalimisha mashamba huko magharibi na sasa wamekurudia mjukuu na wewe wanakutumikisha ili uwafikishe sehemu fulani.

i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?
ii). Je, kwakumjua mnufaika huoni unaikanyaga ardhi yako kupigania maslahi ya taifa la wenzio?
iii). Je, kwakuujua werevu utajilazimisha kuendelea kuufanya ujinga?

MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom