CCM na Serikali, Kwanini MAAZIMIO ya Kamati ya Bunge chini ya Mwakyembe yamepuuzwa?

Mkuu naona umetonesha DONDA!!! hii ndiyo riport iliyomwondoa Mh. Six kwenye kinyanganyiro cha uspika awamu ya pili kwa tuhuma za kuihenyesha Serikali yake ya chama cha mapinduzi bungeni. . hii riport ni mwiba - ni hatari - Maazimio hayo ni magumu kutekelezeka kwa mfumo uliopo sasa.

Naona karudishwa tena, huenda ni kwa masharti
 
Back
Top Bottom