CCM na Serikali Chunya mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Serikali Chunya mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masatu, Nov 15, 2009.

 1. M

  Masatu JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,286
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimekutana na picha hii kule kwa Hakingowi, wananchi wa Chunya na Mbunge wenu ipo haja ya kulifanyia kazi hili;

  [​IMG]

  Mwalimu Albert Juakali wa shule ya Msingi Iboma kijiji cha Udinde (majina mengine jamani) akimwaga "darasa" kwa wanafunzi wake.

  NB cheki hiyo njemba anawaangalia wanafunzi wenzie sijui ndio monita huyo.
   
 2. b

  bambumbile Senior Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masatu,

  Hilo ni jimbo la mpiganaji na ufisadi Mwambalaswa. Naona yuko busy kupambana na akina AR na Lowassa huko Dar na Dodoma huku kwake kunateketea.

  Laiti zile posho mbili, angetumia nusu kusaidia ili jimboni kwake kusiwe na shule kama hiyo.

  Siajabu akiulizwa atakataa kwamba kwake hakuna shule kama hiyo.

  Hatuna sababu za kuwa na shule kama hiyo kwenye nchi ambayo viongozi wake wanatembelea Mashangingi na viongozi wake kulipwa posho mara mbili.
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 0
  - Atleast the idea ipo ya kuwa na shule, na watoto wako darasani hapahitaji siasa hapo! Panahitaji msaada halafu siasa baadaye!

  Respect.


  FMeS!
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kikweli tunahitaji viongozi makini katika kushughulikia masuala kama haya, ambayo ni ya msingi sana lakini kwa jinsi nchi hii ilivyo hata kiongozi mkuu wa nchi akiona picha hii bado haitomshitua kwani viongozi wetu wengi ni wa porojo na sio wa vitendo. Ila tukumbuke ukombozi wetu uko mikononi mwetu, suala ni je tufanyeje?
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Duh! Hii ni shule ya Msingi au Mti Jamani, duh it can't be serious kweli Bongo hakuna fair playing ground, halafu huyu mtoto mwisho wa siku anafanya mtihani mmpoja na mtoto wa olympio LoL!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni shule hii ama darasa! Huenda Mwalimu anajiongezea kipato kwa kupiga tuition chini ya huo mti!
   
 7. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ofauti ya nyani na binadamu.Binadamu anajali binadamu wenzake.Nyani ni yeye tu,hao watoto na mwalimu ni watanzania wenzetu.Wakazi wa Chunya Da Es Salaam wanaweza kufanya fundraising na mbunge wao ili kuokoa watz wenzetu ambao hawana uwezo huko kijijini.

  Shame to we people.Roho inaniuma
   
 8. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu bambumbile wilaya ya Chunya ina majimbo mawili, jimbo la Songwe na jimbo la Lupa. kwahiyo kuna wabunge wawili, Dr Sigonda na
  Mwambalaswa. Dr Sigonda ni mbuge kutoka jimbo la songwe na Mwambalaswa kutoka Lupa. Shule ya Msingi Iboma ya kijiji cha Udinde inapatikana jimbo la Songwe, kwahiyo hii shule ipo kwenye jimbo la Dr Singonda na si Mwambalaswa kama ulivyosema.
   
 9. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  DR Sigonda ana Phd ya wapi?Kama nina Phd ya uhakika wananchi wangu jimboni hatasota namna hiyo
   
 10. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 133
  Na mbunge wao naye mambo yake ndo kama hivi
   
 11. F

  Fataki Senior Member

  #11
  Nov 17, 2009
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  MKUU, MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!

  Kwa sisi tunaoijua Wilaya ya Chunya vizuri, shule hiyo haiko jimbo la Lupa la Mwambalaswa, iko jimbo la Songwe la Dk. Guido Gorogorio Sigonda, mpambe nambari wani wa mafisadi akina RA, Lowassa, Mwang'onda na Karamagi! Hata "doctorate" yake ni ya mkondo wa akina Mahanga, Nchimbi, Kamala, Nagu na Mathayo! CV yake inaonesha kuwa ana elimu ya darasa la nane na Ph.D! Typical mtandao trash! Mwambalaswa mkosoe kwa jingine, hilo limegonga mwamba!
   
Loading...