Ccm na Rushwa zao Mbeya za pamba moto

kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
75
Baada ya kuwajazia mafuta lita tano tano watu wa boda boda ndipo ilipo fika zamu ya Bajaji kujaziwa lita kumi kumi ili waende kwenye mkutano wao mweeee Mbeya ImageUploadedByJamiiForums1386171489.264431.jpg
 
wanaolazimisha CDM wakristo muacheni udini, hamjaona khs CCM?

CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),

1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
 
Back
Top Bottom