CCM na remote control.

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
CCM wako smart! Wakati wimbi la madai ya katiba mpya linapamba moto CCM ili kuiua au kuipunguza kasi wamekuja na vitu viwili, kauli hewa ya Pinda kuwa serikali itaunda kamati,jopo kuangalia suala la katiba ,pia wameibua Mahakama ya kadhi. Sasa watu wote wanatumia muda wao kulumbana. Come on guys!

Kwa nini tunanasa kirahisi hivi? CCM wanapress button na sisi haoooo!!

Focus iko wapi?
 
Never argues at the dinner table, for the one who is not hungry always gets the best of the argument. Unfortunately, CCM are not hungry!
 
Back
Top Bottom