CCM na Rais Magufuli wanatumia ajali ya moto Mororgoro kama mtaji wa kisiasa na wakiwatukuza wahalifu kama mashujaa

Mwenyewe umeona umeandika sana. Watu kama wewe ni wagonjwa. Na wanahitaji tiba kabisa. Una. Personal challenges na Frustrations. Na Pia unaumwa ugonjwa ambao lazima utaje jina la JPM. Nikushauri tu tulia mkuu. Pata tiba. Hapa mtandaoni hatapakusaidia. Nakutakia matibabu mema.
Pole sana kwa ugonjwa wako wa akili. Chukua hii laki tano kanunue juice.
 
Hivi hao wezi wa mafuta kwanini walishindwa kumtoa dereva mle ndani walikimbilia mafuta badala ya uahi wa mtu.shujaa ni mmoja tu yule aliyekufa wakati akimwokoa dereva .huyo ndo ajengewe mnara,hao wezi hapana hapana
 
Raisi Magufuli na walio wengi kwenye hii thread hawalioni hilo. Wao wanachoona ni jinsi gani hii ajali inaweza kutumika kama fursa kwa ajili ya uchaguzi ujao, maana hata vibaka wanapiga kura.
 
Wasingefanya chochote mngesema serikali ipo mbali na watu wa Hali ya chini.

Rais ana ratiba ngumu kuliko mimi na wewe wenye muda wa kuanzisha na kushiriki mada za humu ndani.

Mawaziri wote wameshiriki mazishi, punguza nongwa.
Subiri tuseme ndio u-comment. Watu wenye busara hufanya hivyo.
 
Huitaji akili nyingi kuelewa kwamba ccm ni chama dola na
Magufuli ni rais na ni mwenyekiti wa chama kinachoongoza serikali sasa Ulitaka wananchi wanaoongozwa na chama chake waendelee kuumia wakati chama kilichopewa jukumu la kuwahudumia hakifanyi jambo lolote, kweli akili zako ziko timamu?

Yaani kwa kupata vijisenti vyako basi unaona wale wote waliopata madhira ya moto ni vibaka wakati wewe mwenyewe tukikufuatilia tutagundua kwamba ulitakiwa uwe gerezani kwa sasa.

We endelea tu...
 
Raisi Magufuli na walio wengi kwenye hii thread hawalioni hilo. Wao wanachoona ni jinsi gani hii ajali inaweza kutUchagumika kama fursa kwa ajili ya uchaguzi ujao, maana hata vibaka wanapiga kura.
Wasiwasi wako ndio uliojificha nyuma ya huu uzi. Uchaguzi wa mwakani unakuumiza kichwa. Kila kitu kuanzia sasa kwa mujibu wa ufikiriaji wako, kinafanyika kisiasa.
 
Hawa viongozi wa hili taifa inaonekana hakuna tena mwenye uwezo wa kufikiri sawa sawa. Hv kweli wanataka kujenga mnara ili kuwaenzi wezi? Walahi kuna mtu ametuloga siyo bure
 
Huitaji akili nyingi kuelewa kwamba ccm ni chama dola na
Magufuli ni rais na ni mwenyekiti wa chama kinachoongoza serikali sasa Ulitaka wananchi wanaoongozwa na chama chake waendelee kuumia wakati chama kilichopewa jukumu la kuwahudumia hakifanyi jambo lolote, kweli akili zako ziko timamu?

Yaani kwa kupata vijisenti vyako basi unaona wale wote waliopata madhira ya moto ni vibaka wakati wewe mwenyewe tukikufuatilia tutagundua kwamba ulitakiwa uwe gerezani kwa sasa.

We endelea tu...
Wewe nawe unamapaenzi yanayokufanya kipofu usiyeona. Yaani kama ni kulshwa dudud basi lako lilivunda. Na sio niwe gerezani, njoo ujaribu kuniteka uone kazi
 
Ukweli ndio huo, labda kwa mtu asiye na uwezo wa kufikiri ndio hataona kwamba CCM na Magufuli wanataumia ajali ya moto Morogoro kama mtaji wa kisiasa.

Hatukatai kwamba wakati wa hili janga na msiba, labda si vema kuanza kuhukumiana, kama alivyosema Rais Magufuli, japo haina maana baada ya msiba kusiwepo kabisa kuhukumiana. Lakini sasa Rais Magufuli mwenyewe na CCM si kwamba tu hawahukumu, bali wanaenda mbali zaidi kwa kutumia tukio hili kama mtaji wa kisiasa, kujiuza kwa wananchi kisiasa.

Hawa watu waliokufa wakiiba mafuta kwenye ajali wote tunajua ni wahalilifu, vibaka. Tunachoona sasa ni kwamba wamegeuzwa kuwa mashujaa wa namna fulani. Majushaa wa kuiba kwenye tukio la ajali?

Zaidi ya zawadi za maelfu ya pesa yakitangazwa live na vyombo vya habari, kuambiwa serikali itagharamia matibabu (yaani mimi mlipa kodi nigharamie matibabu ya vibaka wa mafuta) sasa tunaambiwa wajajengewa mnara wa kumbukumbu!

MImi kama mlipa kodi wa Tanzania, sitaki hela yangu ya kodi itolewe kama zawadi kwa mhalifu, wala imjengee mhalifu mnara wa kumbukumbu. Labda kwa huruma inaweza kugharamia mazishi, kwa kuwa mhalifu aliyekufa hawezi kujizika.

Hivi tangu lini mhalifu amekuwa akitukuzwa kiasi hicho? Tangu lini Tanzania limewkuwa taifa la kutukuza uhalifu? Hivi CCM wamekuwa desparate kujiuza hadi kufikia kiasi hiki? Au CCM na Raisi Magufuli wanaona kuwa wao ndio kisababishi cha hali mbaya ya mzunguko wa fedha nchini kiasi kuwafanya watu kufanya chochote kujipatia fedha kidogo?

Binafsi wala hata sikuona haja ya raisi Magufuli kuwatembelea hawa watu hospitali na kufanya matangazo mengi ya kutoa msaaada wa fedha huku akitaja kiasi wanachopewa. Na wala sioni haja ya kuwajengea mnara wa kumbukumbu. Na kama ikibidi kujenga huo mnara, basi tuandike maandishi "hapa wamezikwa watu waliokuwa wakiiba mafuta baada ya ajali ya lori. Tujifunze ili tukio kama hili lisije tokea tena.

Sikatai kutoa maneno ya pole kwa wafiwa, lakini jambo la ajabu ni kuona Magufuli na CCM yake wakienda mbali zaidi na kulifanya tukio hili kuwa mtaji wa kisiasa. Hili ni tukio la kihalifu, kwa kiyo serikali na Raisi Magufuli walipaswa watende kwa umakini wakijua hilo, sio kulitumia kujijengea umaarufu wa kisiasa. Hivi mmefikia kuwa desparate kiasi hicho katika kujaribu kufanywa mpendwe na wananchi? CCM kimekuwa chama kibaya cha kujitembeza?

Ajali nyingi sana zimetokea nchini na kuua watu wasio na hatia. Ni mara ngapi umesikia Raisi Magufuli akitembelea majeruhi wa ajali hizo na kuwapa maelefu ya fedha au kuwajengea mnara wa kumbukumbu au ajali hizo kufanywa tukio la kitaifa? Kwa nini hii ya wahalifu hawa ionwe tofauti - au kwa kuwa inakuja tukielekea uchaguzi Mkuu kukiwa na tetesi kwamba serikali ya Magufuli inazidi kuporomoka katika umaarufu na kuwa katika uchaguzi wa haki hataweza kushinda?

Nahofia sana mtazamo wa kuwa kupinga jambo lililonenwa na walio madarakani hapa Tz ndo kunamfanya mtu aonekane au kuitwa mwenye akili. Nimesoma uliyoandika na nimeona kwamba wewe ni mtu mwenye weredi kabisa na una akili za kutosha sana, maana umeandika kwa ustadi, na bila shaka ni msomi na mtu makini ukiamua kuwa hivyo.

Binafsi nakuunga mkono juu ya mitazamo fulani ya mkuu wa nchi na chama chake, ni ya kisiasa, nafikiri chama chochote cha siasa duniani huwa ni orppotunistic in nature, kwa mabaya au mazuri huangalia kitatumia vipi kujiimarisha. Naungana na wewe juu ya kujenga mnara wa kumbukumbu, kidogo ina ukakasi hasa juu ya dhana itakayowekwa kuelezea mnara huo, LABDA TUNAKUMBUKA WATZ WALIOKUFA KWA WINGI KWA AJALI YA MOTO.

Kuhusu hawa walioungua moto kuwa ni wezi na vibaka, yaani waharifu, hilo lina ukweli fulani, kwamba tusiwajali au rais na serikali yake wasiwajali, inaonyesha namna gani hukumu zako zimejaa upofu, na pia hujatambua Rais ni nani katika nchi na Wananchi ni akina nani. Kwanza yapasa tuwajali kwa sababu tu ya utu wao na si lingine, kwa sisi wananchi yaani mtu mmoja mmoja, lakini Serikali imepoteza Wanachi katika tukio hili tena wazalishaji, yaani kuna wakuilma pale, kuna wafanyabiashara ndogo ndogo na kadhalika. Usiwe kama umezaliwa leo au mgeni Tanzania, Watz hukumbilia jambo kwa malengo tofauti, wengine kwa ajili ya kuokoa, kuona kwanza na kuripoti, na wengine hukimbilia kuiba kama ilivojitokeza kwa upande mwingine.
Wapo wengine kwa UJINGA na UMASIKINI bila hata kuwa na mioyo mikomavu katika uhalifu huenda kuliko wewe na mimi, hudhani hiyo ni fursa, yaani uhalifu unaoongozwa na ujinga na maisha duni. Kimantiki watu zaidi ya 120 hawawezi kuwa wezi au wahalifu wote katika tukio la kushtukiza kama hilo, na kama ni hivo, basi hamna haja ya hii mjadala huu maana Watz wote kwa sampling hii ni wahalifu, hivo tuzikane na kuheshimiana katika uhalifu wetu. Maana wewe kwako malaya ni yule alokamtwa akizini na mwanamke, wengine wote salama. Hukumu ya haki, asiye na chembe ya uhalifu na awe wa kwanza kuwahukumu hawa wahanga.

Nadhani , kwa kuwa sijui umri wako, labda ulikwepo mwaka 1998, ubalozi wa Marekani uluposhambuliwa kigaidi, wananchi kwa sababu ya kuzoea nchi yao kuwa na amani wakati wote ( Ujinga wa Kimazingira) walikimbilia eneo la tukio toka pande mbalimbali za DSM, kwa sababu ya vyombo vya usalama kujua hakika ilikuwa milipuko ya bomu vilisimama kuzuia wananchi kwa virungu wasielekee ubalozi wa marekani, pia tenki lilipolipuka kurasini Mwaka 2001, au transfoma ilipolipuka maeneo ya national betri mwaka 1999, hawa ni washangaaji lakini wangeweza fia katika matukio hayo, ingekuwa matukio yote ni matenki ya mafuta, kwa akili zako ungesema ni wezi.

Hivo kesi ya Moro Serikali yenye busara haitatoa hukumu kama yako kimaneno au kimatendo kwa maana inafahamu HULKA ya wananchi wake, huenda wezi hakika, wazoefu ni 15, wapenda vitu bei rahisi pengine kama wewe na mimi na walivyo Watz wengine kwa mazingira tofauti, ni 35, wasaidiaji 17 na washangaaji ni waote walobaki, si lazima hesabu iwe hivo, la bali nakufungua kwa uvivu wako wa kufikili. Sasa ni vigumu kuwahesabu wote as wahalifu, lakini pia nani kakufundisha kuwa mhalifu hana haki ya kuishi? Kama wewe ni wa imani yoyote ya kidini, hujui kuwa wema wachache waweza ponya kundi kubwa la waovu, rejea Mwanzo juu ya Ibrahim na kuteketezwa kwa Sodoma na Gomora, yaani watu watano wengeweza kuokoa mji mzima, ok, yaani tunashindwa kuwahukumu wote kuwa wahalifu kwa sababu ya wenye haki waliokufa pamoja nao.

Pia mkuu, hawa ni baadhi ya Watz wachache sana ambao tabia yao tunaihukumu wazi wazi, yaani wezi wa kuku kufungwa jela kisha wezi wakubwa kuachwa nje, nadhani si mgeni na usemi huu, hivi viongozi wangapi walotuibia tena wamesababisha hata ugumu wa maisha kwa Watz wengi wakiwemo hawa walokufa Moro ambao Tz imewapa heshima na kumbukumbu kubwa, na hata wengine kuwazawadia majina ya taasisi mbalimbali na mitaa yetu, hawa hukuona shida, ila umeona shida kuwajali hawa waliokimbilia lori lililopinduka kwa sababu ya kuathiliwa na UJINGA na UMASIKINI ambao umeletwa na wezi wakubwa wavaa suti, hivo ukali wako juu ya hawa umejengwa juu ya hukumu isiyo haki kwa binadamu mjinga asojua jamii yake, basi kwa kuwa tuna utamaduni huo wa kutukuza wahalifu wavaa suti, si ajabu kuwajali hawa, ila twaweza kufundishana namna ya kutenda huko mbeleni.

Rais ni baba wa wote, hivo kuna busara inahitajika, ni baba wa matajiri, masikini, wasomi , wasio wasomi, wahalifu na wasio wahalifu. Rais, katika kumbukumbu yangu amekuwa si muungwana katika matukio fulani fulani na ajali au ya asili, mfano kushambuliwa kwa wanasiasa mbalimbali akiwemo Tundu Lissu au kule Bukoba lilipotokea tetemeko la nchi, hakuwa na maneno yaponyayo, mimi nilijipa imani kwamba hakuwa amejipanga kidipromasia, sasa anakuwa na mtazamo wa kiutu, tunataka awalani.

Hivi unapohukumu, naomba niulize maswali kisha utajijibu mwenyewe kiungwana, usinijibu mimi;

1) Hivi wewe ni mzalendo na huna uhalifu wowote tokea kazini kwako, ktk biashara zako na sehemu nyingine ya maisha?
2) Je Babako au Mamako, au Mwanao au Ndugu yeyote huwezi kumzika kwa heshima kwa kuwa alikuwa muhalifu? Una taarifa za kutosha juu ya vyanzo vya kipato cha wazazi wako walivokulelea, vyote vilikuwa halali, au kwa kuwa hawakuonekana, au mmoja wa mzazi wako alikufa kwa kupigwa kama kibaka ndo maana una hasira nyingi, kama ni hivo walomuua walivunja sheria so usitake wote tuwe wahukumu.
3) Unatambua kuwa maisha ya mtu pasipo kujali yeye ni nani, ni kitu cha thamani kubwa sana?
4) Je, unadhani watu hawa walioungua Morogoro ni waovu kuliko watanzania wote?
5) Ni nini kinafanya hukumu yako kuwa sahihi na ya haki?
6) Unakumbuka kilichompa ushindi Barack Obama au Donald Trumpo , marais wa marekani?
7) Una upana wa kutosha na weredi wa mambo ya kijamii na siasa za tz na duniani kwa ujumla?
9) Je, wewe ni mdau wa haki za binadamu na Demokrasia? Kama ndiyo, je, unatumia parameters zipi kudisvalue maisha ya hawa watu? hii ni juu ya siasa na vyama.
10) Hivi unafahamu kwamba hata kumua mhalifu ambaye angeweza kudhibitiwa ni kosa kisheria na kinyume cha haki za binadamu?
11) Kwa mawazo yako ulitaka Rais na serikali yake wafanye nini , na waseme nini juu ya tukio hili?
12) Hivi ndugu hujioni kuwa mzushi kwa kuwaita hawa mashujaa, neno ulojitungia mwenyewe, ambalo hakuna alowaita mashujaa, hivi wale 500 walokufa ktk MV bukoba, 1996, 300 treni 2001 n.k hakukuwemo wahalifu walokuwa wanasafiri, au hukumu yako ipo juu ya tukio.

Tuelimishane juu ya self safety discipline katika kila jambo na kuwa wapenda na watenda haki, huenda wizi mwingine una madhara makubwa mno kwa jamii na kuijenga iwe hivyo. Tubadilike kifikra juu ya dhana ya maendeleo na yanapatikana kwa namna gani, wewe mwizi kwa kalamu kwa nafasi yako, ni mwizi tena muhalifu, mwingine mwizi kwa kukwapua kwa nafasi yake, naye ni mwizi na mhalifu, wote twahitaji tiba.

IJULIKANE, nakemea uhalifu wa namna hiyo na yoyote popote Tz na pia iwe fundisho, lakini siwezi shusha thamani ya Roho za watu hawa zaidi ya120 eti kuwa wote walikuwa wahalifu.

NB: Visasi vya kisiasa visituzuie kufikiri kwa weredi.

SIFAGILII SWAGA ZOZOTE ZENYE LENGO LA KISIASA KATIKA HILI, ILA UKWELI NI LAZIMA ZITAKUWEPO, NA PIA SERIKALI NI LAZIMA IHUSIKE KWA SABABU WALOKUFA NI WATZ NA WANAOTOA POLE WOTE ULIMWENGUNI WANALIJUA HILO NA WANAJUA HULKA YA BINADAMU ILA WANATHAMINI MAISHA.
NAWASILISHA.
 
Dah....siaimini kamaandiko hili limeandikwa na Mtanzania...Hivi ni kweli wote waliokufa walikuwa ni wezi wa mafuta?? Halafu kama kweli waliokufa wapo au wengi wao ni wezi wa mafuta kwa hiyo serikali isihusike na msiba huo?? Halafu hivi wizi wa mafuta kwenye magari yaliyopata ajali umeanza katika awamu hii ya tano?? Wakati vyombo vyote vya habari vya nje BBC Aljzeera na kadhalika vinaiweka habari hii kama habari kubwa ni ishara gani tutapeleka nje ya nhi kama serikali haijihusishi na msiba?? Halafu ikiwa ndugu yako ni mmoja wa wahanga wa mafuta je, huwezi kujihangaisha na msiba kwa kuwa amekufa kwenye tukio la wizi wa mafuta?? Dah...
 
Ukweli ndio huo, labda kwa mtu asiye na uwezo wa kufikiri ndio hataona kwamba CCM na Magufuli wanataumia ajali ya moto Morogoro kama mtaji wa kisiasa.

Hatukatai kwamba wakati wa hili janga na msiba, labda si vema kuanza kuhukumiana, kama alivyosema Rais Magufuli, japo haina maana baada ya msiba kusiwepo kabisa kuhukumiana. Lakini sasa Rais Magufuli mwenyewe na CCM si kwamba tu hawahukumu, bali wanaenda mbali zaidi kwa kutumia tukio hili kama mtaji wa kisiasa, kujiuza kwa wananchi kisiasa.

Hawa watu waliokufa wakiiba mafuta kwenye ajali wote tunajua ni wahalilifu, vibaka. Tunachoona sasa ni kwamba wamegeuzwa kuwa mashujaa wa namna fulani. Majushaa wa kuiba kwenye tukio la ajali?

Zaidi ya zawadi za maelfu ya pesa yakitangazwa live na vyombo vya habari, kuambiwa serikali itagharamia matibabu (yaani mimi mlipa kodi nigharamie matibabu ya vibaka wa mafuta) sasa tunaambiwa wajajengewa mnara wa kumbukumbu!

MImi kama mlipa kodi wa Tanzania, sitaki hela yangu ya kodi itolewe kama zawadi kwa mhalifu, wala imjengee mhalifu mnara wa kumbukumbu. Labda kwa huruma inaweza kugharamia mazishi, kwa kuwa mhalifu aliyekufa hawezi kujizika.

Hivi tangu lini mhalifu amekuwa akitukuzwa kiasi hicho? Tangu lini Tanzania limewkuwa taifa la kutukuza uhalifu? Hivi CCM wamekuwa desparate kujiuza hadi kufikia kiasi hiki? Au CCM na Raisi Magufuli wanaona kuwa wao ndio kisababishi cha hali mbaya ya mzunguko wa fedha nchini kiasi kuwafanya watu kufanya chochote kujipatia fedha kidogo?

Binafsi wala hata sikuona haja ya raisi Magufuli kuwatembelea hawa watu hospitali na kufanya matangazo mengi ya kutoa msaaada wa fedha huku akitaja kiasi wanachopewa. Na wala sioni haja ya kuwajengea mnara wa kumbukumbu. Na kama ikibidi kujenga huo mnara, basi tuandike maandishi "hapa wamezikwa watu waliokuwa wakiiba mafuta baada ya ajali ya lori. Tujifunze ili tukio kama hili lisije tokea tena.

Sikatai kutoa maneno ya pole kwa wafiwa, lakini jambo la ajabu ni kuona Magufuli na CCM yake wakienda mbali zaidi na kulifanya tukio hili kuwa mtaji wa kisiasa. Hili ni tukio la kihalifu, kwa kiyo serikali na Raisi Magufuli walipaswa watende kwa umakini wakijua hilo, sio kulitumia kujijengea umaarufu wa kisiasa. Hivi mmefikia kuwa desparate kiasi hicho katika kujaribu kufanywa mpendwe na wananchi? CCM kimekuwa chama kibaya cha kujitembeza?

Ajali nyingi sana zimetokea nchini na kuua watu wasio na hatia. Ni mara ngapi umesikia Raisi Magufuli akitembelea majeruhi wa ajali hizo na kuwapa maelefu ya fedha au kuwajengea mnara wa kumbukumbu au ajali hizo kufanywa tukio la kitaifa? Kwa nini hii ya wahalifu hawa ionwe tofauti - au kwa kuwa inakuja tukielekea uchaguzi Mkuu kukiwa na tetesi kwamba serikali ya Magufuli inazidi kuporomoka katika umaarufu na kuwa katika uchaguzi wa haki hataweza kushinda?
Labda huku Moro, CCM ndio walisababisha hili janga, sio kama kule Kagera.
 
Dah....Asante kwa andiko lako zuri...Asante sana..Watanzania wengi wanahitaji elimu kubwa mno kuhusu mmasuala ya kijamii...
 
Huyu mtoa maada hajawahi kuwa na dhambi kabisa yani. Na yeye ni mtakatifu.
 
Nimesoma uliyoandika na nimeona kwamba wewe ni mtu mwenye weredi kabisa na una akili za kutosha sana, maana umeandika kwa ustadi, na bila shaka ni msomi na mtu makini ukiamua kuwa hivyo.

Binafsi nakuunga mkono juu ya mitazamo fulani ya mkuu wa nchi na chama chake, ni ya kisiasa, nafikiri chama chochote cha siasa duniani huwa ni orppotunistic in nature, kwa mabaya au mazuri huangalia kitatumia vipi kujiimarisha.

Kuhusu hawa walioungua moto kuwa ni wezi na vibaka, yaani waharifu, hilo lina ukweli fulani, kwamba tusiwajali au rais na serikali yake wasiwajali, inaonyesha namna gani hukumu zako zimejaa upofu, na pia hujatambua Rais ni nani katika nchi na Wananchi ni akina nani.

Wapo wengine kwa UJINGA na UMASIKINI bila hata kuwa na mioyo mikomavu katika uhalifu huenda kuliko wewe na mimi, hudhani hiyo ni fursa, yaani uhalifu unaoongozwa na ujinga na maisha duni. Kimantiki watu zaidi ya 120 hawawezi kuwa wezi au wahalifu wote katika tukio la kushtukiza kama hilo, na kama ni hivo, basi hamna haja ya hii mjadala huu maana

Mkuu umeandika maneno mengi sana, na nakiri nakubaliana na mengi ya uliyosema. Hata hivyo, umeenda nje sana ya mada yangu.

Mimi sijasema ni vibaya kuwa na utu kwa mtu aliyekufa, bila kujali sababu. Sheria za duniani zinataka kuwa na utu hata kwa majeruhi au maiti ya askari adui wakati wa vita, sembuse kibaka wa kuba mafuta ya gari lililopata ajali?

Na pia ni vema ukumbuke kwamba hawa vibaka waliokufa Morogoro kwanza wao pia hawakuwa na utu. Kumbuka hawakujali kutoa msaada kwa dereva wa gari aliyekwama ndani ya hilo lori bali walikimbilia kujipatia mafuta. Kuna mtu mmoja tu ndie alienda kutoa msaada japo na yeye pia alikufa. Kwa hiyo basi, najua kuna innocent victims kama huyu aliyekufa akijaribu kumwokoa dereva.

Lakini sasa, asilimia zaidi ya 90 ya waliokufa ni vibaka tu. Na kuwa mhalifu hakuna kisingizio cha kutojua kwamba unachofanya ni kosa. Kwanza niambie nani katika hawa vibaka wa kuiba mafuta hakujua kwamba kuiba mafuta toka gari iliyopinduka ni kosa? Sasa kusema ilikuwa mara yao ya kwanza isiwe kisingizio.

Angalia hii picha hapa chini ya tukio kitambo kifupi kabla ya moto

1565771469092.png

Karibu 80% ya unaoona hapo pichani walikufa. Sasa niambie, unaona innocent victims hapo? Unaona watu ambao hawajui wafanyalo?

Pamoja na hayo, mie nilichosema ni kwamba tujali utu kwa wau waliokufa, lakini tusiwatukuze. Hata nilisema wazi, ningeelwa kabisa kwa Raisi Magufuli kutoa rambirambi kwa waliokufa kwa Mkuu wa Mkoa Morogoro, na pengine hata serikali kuwazika victims katika kaburi la pamoja kwa gharama za serikali. Nilisema basi iishie hapo. Lakini kitendo cha raisi kwenda hospitali na kufanya matangazo makubwa juu ya fedha anazowakabidhi majeruhi, na pia matangazo juu ya mnara wa kumbukumbu - hayo nayaona waziwazi kwamba ni Raisi Magufuli na CCM yake kulitumia tukio hili kama fursa ya kisiasa, sio suala la huruma.

Kwani mara ngapi tumeona ajali kubwa zikitokea Tanzania na kuua na kujeruhi watu wengi na hatuoni Raisi Magufuli au CCM wakiifanya tukio kuwa kubwa hadi mnara wa kumbukumbu? Ndio maana nikauliza, je, jinsi serikali inavyoliimbia tukio hili mapambio, ni kwa kuwa liko karibu na uchaguzi ili wamfanye Magufuli yuko karibu sana na wananchi?

Hivi kweli katika utawala wa Raisi Magufuli ni ajali ngapi zimetokea na kuua watu wengi kwa namna ya kusikitisha, watu ambao hawakuwa katika tukio la uhalifu, je alifanya yote haya? Tetemeko la ardhi kule Kagera? Ajali ya wandishi wa habari Azam? Niambie kwa mfano, ni nini hasa kinachofanya majeruhi wa ajali ya moto wastahili zawadi kubwa ya fedha tofauti na majeruhi wa ajali nyingine za kusikitisha zilizotokea wakati wa utawala wa Magufuli?

Yaani hawa vibaka waliokufa katika tukio hili wanauma zaidi ya kina Akwilipo waliouwawa kama innocent victims ulisikia Raisi akitoa hata neno moja la kufariji familia yake? Na kwani ni huyo Akwilipo tu? Wahanga wa tetemeko Kagera waliishiwa kukashifiwa. Basi kama mnajali sana utu wa wahalifu, kila tunaposikia Polisi wameua washukiwa wa ujambazi "katika mapambano makali" basi Raisi Magufuli atoe salamu za rambirambi kwa familia zao!
 
Huyu mtoa maada hajawahi kuwa na dhambi kabisa yani. Na yeye ni mtakatifu.
Unatakiwa uwe na uwezo wa kutumia akili yako. NImesema tukio linatumiwa kisiasa, sijasema tukose utu kwa waliokufa, hata kama nawaona wengi kuwa vibaka tu.

Mimi nimepitia jeshini na kufundishwa kwamba maiti au majeruhi adui anatakiwa kustahiwa. NI sawa, lakini katika kumstahi hatutampigia wimbo wa taifa lake na mizinga katika kumzika, au kumjengea mnara wa kumbukumbu, au kumpa zawadi ya fedha askari adui aliejeruhiwa akiwa hospitali japo matibabu yake tutagharamia hata bila kuidai nchi yake. Hilo ndilo ninalokataa kuwafanyia hawa vibaka waliokufa kwenye tukio la Morogoro..
 
MWAMBIE AMECHELEWA SANA MNO.................. UKILINGANISHA NA WALE WA TETEMEKO NANI ALISTAHILI MSAADA KWA HARAKA NA MAPEMA? ILA HAKUJUA MIAKA INARUKA NA KAMA PAA MWACHE ALE ALICHOPANDA NDIVYO ATAKACHOVUNA TWENDE NA MEMBE 2020
 
Ukweli ndio huo, labda kwa mtu asiye na uwezo wa kufikiri ndio hataona kwamba CCM na Magufuli wanataumia ajali ya moto Morogoro kama mtaji wa kisiasa.

Hatukatai kwamba wakati wa hili janga na msiba, labda si vema kuanza kuhukumiana, kama alivyosema Rais Magufuli, japo haina maana baada ya msiba kusiwepo kabisa kuhukumiana. Lakini sasa Rais Magufuli mwenyewe na CCM si kwamba tu hawahukumu, bali wanaenda mbali zaidi kwa kutumia tukio hili kama mtaji wa kisiasa, kujiuza kwa wananchi kisiasa.

Hawa watu waliokufa wakiiba mafuta kwenye ajali wote tunajua ni wahalilifu, vibaka. Tunachoona sasa ni kwamba wamegeuzwa kuwa mashujaa wa namna fulani. Majushaa wa kuiba kwenye tukio la ajali?

Zaidi ya zawadi za maelfu ya pesa yakitangazwa live na vyombo vya habari, kuambiwa serikali itagharamia matibabu (yaani mimi mlipa kodi nigharamie matibabu ya vibaka wa mafuta) sasa tunaambiwa wajajengewa mnara wa kumbukumbu!

MImi kama mlipa kodi wa Tanzania, sitaki hela yangu ya kodi itolewe kama zawadi kwa mhalifu, wala imjengee mhalifu mnara wa kumbukumbu. Labda kwa huruma inaweza kugharamia mazishi, kwa kuwa mhalifu aliyekufa hawezi kujizika.

Hivi tangu lini mhalifu amekuwa akitukuzwa kiasi hicho? Tangu lini Tanzania limewkuwa taifa la kutukuza uhalifu? Hivi CCM wamekuwa desparate kujiuza hadi kufikia kiasi hiki? Au CCM na Raisi Magufuli wanaona kuwa wao ndio kisababishi cha hali mbaya ya mzunguko wa fedha nchini kiasi kuwafanya watu kufanya chochote kujipatia fedha kidogo?

Binafsi wala hata sikuona haja ya raisi Magufuli kuwatembelea hawa watu hospitali na kufanya matangazo mengi ya kutoa msaaada wa fedha huku akitaja kiasi wanachopewa. Na wala sioni haja ya kuwajengea mnara wa kumbukumbu. Na kama ikibidi kujenga huo mnara, basi tuandike maandishi "hapa wamezikwa watu waliokuwa wakiiba mafuta baada ya ajali ya lori. Tujifunze ili tukio kama hili lisije tokea tena.

Sikatai kutoa maneno ya pole kwa wafiwa, lakini jambo la ajabu ni kuona Magufuli na CCM yake wakienda mbali zaidi na kulifanya tukio hili kuwa mtaji wa kisiasa. Hili ni tukio la kihalifu, kwa kiyo serikali na Raisi Magufuli walipaswa watende kwa umakini wakijua hilo, sio kulitumia kujijengea umaarufu wa kisiasa. Hivi mmefikia kuwa desparate kiasi hicho katika kujaribu kufanywa mpendwe na wananchi? CCM kimekuwa chama kibaya cha kujitembeza?

Ajali nyingi sana zimetokea nchini na kuua watu wasio na hatia. Ni mara ngapi umesikia Raisi Magufuli akitembelea majeruhi wa ajali hizo na kuwapa maelefu ya fedha au kuwajengea mnara wa kumbukumbu au ajali hizo kufanywa tukio la kitaifa? Kwa nini hii ya wahalifu hawa ionwe tofauti - au kwa kuwa inakuja tukielekea uchaguzi Mkuu kukiwa na tetesi kwamba serikali ya Magufuli inazidi kuporomoka katika umaarufu na kuwa katika uchaguzi wa haki hataweza kushinda?
Wewe ulitakaje????
 
Back
Top Bottom