Makamanda wazidishe mapambano tu, hata enzi za Idd Amin wakati wa vita ya Kagera Idd Amin aliendelea kutangaza kwamba majeshi ya Tanzania yanapigwa vibaya sana, na kwamba wote walioingia katika ardhi ya Uganda hawatarudi kwao salama watakuwa chakula cha mamba kwenye mto Nile.
Sasa mnataka Kinana, Nepi Mnawaye, na makada wengine waseme nini? Si unaona wanamfungia Murji ndani kwa sababu eti anachochea wananchi.
Ikimbukwe kwamba hata enzi za kutafuta uhuru wa Afrika ya Kusini Mandela aliitwa Mchochezi hapa Tanzania Nyerere, Karume, kule Kenya Kenyatta wote waliitwa wachochezi SASA MNASHANGAA NINI CCM kuwaita watetea haki na raslimali kuitwa wachochezi.
Hii nchi tunatakiwa kuipigania upya kutoka kwa wakoloni weusi wanaofakamia rasilimali zake bila huruma. Wao wanasherehekea wananchi wanakufa kwa kukosa huduma.
Pamoja na wao kuponda raha sisi tunateseka vibaya, ada, nauli, pesa ya kujikimu hakuna, elimu, afya vinadidimia. Ee Mungu tuepushe na hali hii uakafumbue viongozi wetu macho waamke usingizini waTZ tusalimike ktk hili janga la umaskini.
Hapa jamaa walikuwa wanafurahia nini? Cheki mama aliyekaa chini anavyosubiria kwa kicheko...... but their dayz are numbered, namba ya Wadanganyika inapungua kwa kasi ya kimondo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.