Elections 2010 Ccm na nec mnataka watu waanze kuuana kwa faida ya nani hasa????

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,638
1,218
Inasikitisha sana kwamba mpaka sasa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi hawataki kutangaza matokeo RASMI YA KURA ilhali matokeo ya vituo vyote vya KATA wameshayapokea.

NEC na wasimamizi hawataki kutangaza matokeo kwa makusudi kabisa ili watu wapandwe na HASIRA HALAFU WAANZE VURUGU NA FUJO NA POLISI AU JWTZ WAINGILIE KATI ILI KUVURUGA MATOKEO HAYO.

HUU NI UPUMBAVU AMBAO WATANZANIA LAZIMA TUUKATAE,HAWA CCM NA NEC WANATAKA KUIPELEKA NCHI HII MAHALI TUSIPOTAKA WATANZANIA KWA SABABU YA INTEREST ZAO. THIS IS NONSENSE!!HII HAIKUBALIKI, LAZIMA NEC NA CCM WATALIPIA HUU UPUUZI WANAOTAKA KUUFANYA.
 
laiti kama ningekua osama anakaaa wapi ningewasiliana nae ili dili nahao watu wa nec,jamani iviwatu wanamuogopa mungu kweliii,sauti ya mwananchi maskini inazimwa na few people..huruma
 
Inasikitisha sana kwamba mpaka sasa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi hawataki kutangaza matokeo RASMI YA KURA ilhali matokeo ya vituo vyote vya KATA wameshayapokea.

NEC na wasimamizi hawataki kutangaza matokeo kwa makusudi kabisa ili watu wapandwe na HASIRA HALAFU WAANZE VURUGU NA FUJO NA POLISI AU JWTZ WAINGILIE KATI ILI KUVURUGA MATOKEO HAYO.

HUU NI UPUMBAVU AMBAO WATANZANIA LAZIMA TUUKATAE,HAWA CCM NA NEC WANATAKA KUIPELEKA NCHI HII MAHALI TUSIPOTAKA WATANZANIA KWA SABABU YA INTEREST ZAO. THIS IS NONSENSE!!HII HAIKUBALIKI, LAZIMA NEC NA CCM WATALIPIA HUU UPUUZI WANAOTAKA KUUFANYA.
tulieni huko
 
Ccm wanaogopa aibu, wanataka kubadili matokeo ya arusha mjini na mwanza mjini. Tunamwomba yesu awaokoe wasije sababisha damu imwagike bila sababu ya msingi.
 
Bwana Yesu afunike matokeo hayo kwa damu yake takatifu,mbinu na hila zao zishindwe
 
bwana yesu afunike matokeo hayo kwa damu yake takatifu,mbinu na hila zao zishindwe

tunaomba hayo yote kwa njia ya yesu kristu uliye bwana na mwokozi wetu asili ya mema yote unayeishi na kutawala na mungu baba daima na milele amina
 
CCM wanataka fujo itokee ili wapate mtaji wa kuzunguka nchi nzima na kusema ni Chadema ndio walioanzisha vurugu. This time around, God would not let them,nina amini hivyo kabisa!
 
Back
Top Bottom