Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
CCM na Serekali yake kwa ujumla wamesema,mambo ya siasa ni mpaka 2020 lakini wamekua vinara wakufanya kampeni kila pahali Tanzania hii je hii siyo siasa ukiwa muongo usiwe msaulifu.
Kwanini wapinzani wapewe limit je upinzani siyo vyama vya siasa?
Kwanini wapinzani wapewe limit je upinzani siyo vyama vya siasa?