CCM na Mkakati wa kuwateka vijana wasomi vyuoni..!

Hawajajua shida ya ccm ni kwenye akili na si umri.je ndesamburo na lusinde nani mkubwa?je kigwangwala ni mkubwa kuliko lisu?
ccm wanatakiwa kuwaachia makada wake akili badala ya kuzihifadhi lumumba.

wameingiwa na uoga,vijana wa cdm wanachambua hoja kuliko wa ccm na hyo ndiyo hofu kuu,wanataka vijana wasomi wajitokeze kugombea kupitia ccm
 
Mbona tayari wanamsomi "daraja la kwanza" Mwigulu Mchemba,lakini mambo yake afadhali ya Ngonyani Maji Marefu.!!!

kwa huyo kuna mkakati maalumu unaandaliwa wa kumkalisha chini na kuomba abadili siasa zake maana zimekishusha chama sana,ni msomi lakini hajakombolewa na elimu aliyoipata
 
Tatizo ni akili ndogo kuongoza akili kubwa! Hata vijana waliopo kule bado wanakuwa controlled na viongozi wa juu wa chama! Wabunge wa ccm ni kama rubber stamp tu!
 
Mbona CCM ina wasomi wengi tu, tena wenye "madaraja ya juu kabisa" lakini sio jipya au nao baadae akili hubadilika na kuwa wazee??
 
Kilichokuwa na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho...RIP chama cha kifisadi na kizandiki!

Wile tusiwaombee hawa jamaa kufa,tunatakiwa kupambana nao wakiwa very strong,kwani cdm tunajiamini na siasa zetu ni za kisasa pia natoa pongezi kwa viongozi wetu ngazi ya Taifa,hawalali,hawali wakashiba,na yote hayo ni kwa ajili yetu sote bila kujali itikadi zetu
 
Tatizo ni akili ndogo kuongoza akili kubwa! Hata vijana waliopo kule bado wanakuwa controlled na viongozi wa juu wa chama! Wabunge wa ccm ni kama rubber stamp tu!

ndugu yangu ni amini walau kidogo,kuwa ccm ya 2010 sio hii ya leo 2013/15 now ccm wako active kwenye maswala kadhaa,ndiyo maana mwenyekiti wa wazazi taifa halali,kina sofia simba wanamwaga sumu,zanzibar noa wamejipanga,na hii ndiyo ccm tunayoitaka sisi ili tupamabane nayo bila wizi wa kura,kukubwa ni kuongeza nguvu na kuwa more advanced kuliko wao maana ni kweli bado wanashikwa masikio na wassira na lukuvi
 
Ukiondoa hizi njaa njaa, Hivi kuna kijana msomi na makini yeyote ambaye anaweza kujiunga na CCM kwa sasa?

Hata mm nashangaa kama kuna msomi kweli anaweza kukubali kuingia kwenye kikundi cha sanaa cha Lumumba ambapo lazima fikra za mwenyekiti zidumu na kinachosemwa na kiongozi lazima kikaririwe kama script za tamthilia..... Ukiona kijana wa hivyo kwanza lazima awe hajiamini pili lazima anatafuta nafasi kwa garama ya utu wake. Otherwise bila reform ya kimfumo CCM hawezi enda mtu anayeiwazia mema nchi yake.
 
Wewe ndio mleta mada hapa na.chanzo chako ni naibu waziri lakini heading umesema ni chama!!!!!

Huyo ndio msemaji wa chama?????!!!!!

Mie nimezinyaka toka kwake,kuwa hayo ndiyo yanayoendelea kwa sasa ndani ya ccm,kuchange muonekano wa bunge kuanzia2015,thus why nimesema kama huamini chanzo changu uliza ngazi za juu,hasa kule dodoma,unataka Nape aseme ndiyo uamini kuwa chama kimesema?
 
Wile tusiwaombee hawa jamaa kufa,tunatakiwa kupambana nao wakiwa very strong,kwani cdm tunajiamini na siasa zetu ni za kisasa pia natoa pongezi kwa viongozi wetu ngazi ya Taifa,hawalali,hawali wakashiba,na yote hayo ni kwa ajili yetu sote bila kujali itikadi zetu
sasa mtu aliisha jifia mwenyewe, sasa hilo ni tatizo la nani? hivi tuongee ukweli kama si propaganda, vitisho, mauaji, uchakachuaji, fitna, rushwa, na ukafanyika uchaguizi huru na haki, CCM ingekuwepo mpaka leo... Mara ngapi CUf wameshinda Zanzibar na matokeo yake si umekuwa ukiyaona...sasa udhaifu wa maccm si tatizo letu lakini tungependa kupambana nao wakiwa na afye nzuri! lakini ndiyo hivyo tena, tuliwapenda lakini shetani kawapenda zaidi
 
kwa hoja hiyo nimekubali,sema watalalamika sana,ooh kulikuwa na makundi,oooh police wamesaidia upinzania,nways lets hope for the best,ni wenzetu hawa japo kuna wachache wenye roho mbaya kama wakaanga sumu,na wote tunawajua ila tutasaidiana nao kujenga Tanzania mpya,tukiwa na system mpya,mawaziri wapya,na rais mpya kabisa toka shina tofauti na waliozoea
 
Chama cha mapinduzi au maoni ya naibu waziri?????!!!!!

Manaibu waziri wenyewe ni wakina nani; Amos Makalla au Adam Malima wana ukijana gani? Hawa magamba hawajui definition ya ujana na ndio maana hata LE MUTUZ BAHARIA anajiita kijana akiwa na miaka 50!!! Uwezo wa binadamu sio function ya umri bali akili yake inavyofanya kazi!!
 
Back
Top Bottom