CCM na Mkakati wa kuwateka vijana wasomi vyuoni..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Mkakati wa kuwateka vijana wasomi vyuoni..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jambo1, Apr 23, 2011.

 1. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM wameanza mkakati wa kujipenyeza tena vyuoni..!Sasa wamekuja na mkakati wa kuwarubuni vijana wasomi wapambanaji kupiota ahadi kama vile kupewa ajira katika sekta nyeti,kusomeshwa shahada za juu,pesa nk..

  Mfano UDSM aliyekuwa spika wa bunge lka wanafunzi Mwangomango ameahidiwa kuwa atasomeswa shule ya sheria Tanzania pindi atakapomaliza shahada yake ya kwanza ya sSheria..,pia wapo vijana wengine wameahidiwa kuwa wataajiriwa katika mabenki pindi awtakapomaliza..!

  Vijana kuwani makini kumbukeni Mwita Mwikabe Waitara aiahidiwa hivyo hivyo..!

  Nawasilisha..!
   
 2. A

  Ame JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Ni vizuri hao wachumia tumbo wakawa selected mapema maana watu wa jinsi ya hivyo hawana msaada katika jamii. Ni wanafiki na mara nyingi hawajiamini ndiyo maana wana maono ya muda mfupi. Tukumbuke kuwa vijana watanzania vyuoni ni wengi kiasi kwamba hata makapi yote yakichukuliwa wale wachache wenye uwezo wa kuona mbali wakibaki upinzani ni afadhali mara mia moja kuliko kuwa na mamia wasiokuwa na maono ila maslahi hatimaye kuleta fujo na magomvi yasiyoisha kwenye chama chetu makini cha CHADEMA.

  Tunawatakiwa wachumia tumbo wote mafanikio huko wa endako maana kwavile nguvu yao kubwa ni ya midomo ya kula kama viwavi jeshi basi kwakuwa hiyo keki siyo kubwa kiasi wanachofikiria wataishia kugombania pilau iliyopikwa kwenye sufuria dogo na kuishia kubaki na njaa zao. huku CHADEMA tunataka vichwa vinavyoweza zalisha mchele kwa muda mfupi na kwa garama ndogo ili tuweze kupika biriani tukitaka; pilau wakati mwingine; wali wa nazi; wali mweupe na hata mchanyato wa mayai na kuku ndani ya wali wa kichina.

  Mbona tuna mfano hai kwa wabunge wetu waliopita kwenye moto na vihunzi vya CCM na waliofanikiwa kufuzu japo kuwa ni wachache kiasi cha kutofikia asilimia 50% ya wabunge wa CCM wameweza kuwapelekesha hao wachumia tumbo kushoto kulia kwa style wanayotaka hao wacheze? Kila laheri CCM na strategy zako za kutumia kokoro kuvua badala ya kuvua samaki wanafaa kuliwa ili usile mtaji wa kuendeleza uvunaji wa samaki kwenye bwawa lako. CHADEMA vyema sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Vijana wanaojiuwa wajibu wao ni kuikomboa nchi kutoka kwa viwavi CCM watabaki Kwenye vyama vya UPINZANI wachumia tumbo waende tuu ,ukombozi unaweza kuletwa na hata mtu mmoja kama dhamira yake ni safi,muone Kagame anavyofanya Ruanda
   
 4. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamenoa! kama na wanavijiji wamewakimbia iweje wanavyuo tudanganyike,wanatapatapa,
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Wanatwanga maji kwenye kinu, utatoa ahadi kwa watu wangapi? Binafsi sikujiunga na chadema kwa sababu ya viongozi bali sera zao. Hata viongozi wote wahamie CCM me siji huko!!
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Dah!,kuingia chama cha magamba ccm ni sawa na kudandia jahazi linalomalizikia kuzama teh! teh! teh!wananchekesha kwelikweli!
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hao ni matapeli wa kisiasa. Kwa wasomi hawatapata kitu, maana hawana falsafa. waliacha ujamaa sasa wana ni je ni mapepari, waseme wazi. CCM imekwisha, na ukiona msomi anangangania CCM ujue kuna mtego kaweka kwa mslahi yake binafsi.:whoo:
   
 8. k

  kakini Senior Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa dah sijaelewa ina maana iyo ni piracy au??? mana mtu mwenye dhamira ya kweli hawezi kujiunga na chama chochote cha siasa kwa shinikizo fulani anyhow ndivo ilivo nchi yetu iliyojaa mambumbumbu kama hao
   
 9. U

  UNIQUE Senior Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiogope jama yangu. Walio CCM tuko wengi ili tupate mkate wa kila siku basi. Hata kwenye uchaguai CCM walitupa hela za kuhonga wapiga kura badala yake zinaimarisha CDM. Kazi wanakupa lakini moyo wako CDM.
  UNIQUE
   
 10. n

  namboyo Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio kawaida ya viongozi wa serekali ya wanafunzi kudangaywa na ccm angewauliza waliotangulia kumaliza udsm au akaulize udom waliomaliza mwaka jana ambao walioahidiwa ajira sasa hivi wamekua ombaomba .sasa hivi hata wakita kuhamia chama kingine wanaona aibu kwa vile walitumiwa vibaya
   
 11. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wamechelewa tena sana tuuuu! wapuuz wachache ndo watadanganyika lakin majority HAWADANGANYIKI HATA KIDOGO
   
 12. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  dawa ya moto ni moto. Na nyinyi anzeni kuwaahidi kuwa mtawafanyia hivi na vile ikiwa ni pamoja na kuwachangia michango ya harusi. In short acha kulalamika.
   
 13. n

  ndimundu New Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema kina wabaisha vijana ndo maana vijana wengi sa wenye uwezo wa kiuongozi walioko vyuo vikuu kama huyu wa sasa bwana goodluck mwangomango kaamua kwenda ccm, hili linatokana na future mbovu ya kaisiasa hence a leader must be natured, mfumo huo ndani ya chadema haupo...hata sasa kisingizio cha kufata maslai ccm vijana wanona hiyo hoja dhaifu kwani hata chadema watu wanapigania vifedha kila siku mafno ni rudhuku.
  Viva ccccccccm
   
 14. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawawezi sasa ni wakati wa cdm tu,wasomi wote wapo CDM.hata kama hawana kadi
   
 15. K

  Kaseko Senior Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sidhan kwani wanasoma kwa taabu sana na hiyo bodi ya mikopo ambayo haina dira kama ilivyo serikal ya ccm, wanavyuo wananyanyaswa sana na bodi ya mikopo ambayo ni sera mbovu za ccm, bora waishabikie cdm tu hata bila manufaa yoyote, huwezi kumshabikia mwenye nacho halaf asikusaidie ni ujinga bora kuna siku atalipa fidia kwa vizazi vijavyo.
   
 16. masanjasb

  masanjasb JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2013
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,366
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Zikiwa zimebaki dakika, masaa, siku, miezi kadhaa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na badaye uchaguzi mkuu wa wabunge na urais; chama cha mapinduzi kimejipanga kuingiza vijana wasomi bungeni ili kupambana na kasi ya chadema.

  Akiongea kwa masharti yakutotajwa jina wala cheo chake, naibu waziri huyu amesema"ni lazima tuwatoe hawa wazee wetu na vijana waingie kwa wingi kama kweli tuna nia ya kuidhofisha chadema ndani ya bunge na nje ya bunge"

  Akiendelea kuongea na kwa kutoa mifano:
  "Hawa jamaa wamejipanga sana na ndiyo maana pamoja na wingi wetu tunaonekana tumepwaya, wazee sio watafiti na wala hawana michanga chokonozi, hawasomi hawatafiti na wala hawahoji zaidi ya kupiga makofi, now we need to change this situation, vinginevyo tutaendelea kudhofishwa siku hadi siku, kwa hiyo ni vizuri tuweka wagombe wenye sifa kemkem hasa vijana na hata wenye viti wa vijiji nao tunaweza weka wenye sifa na weledi maana nako tunaelekea kuzidiwa"

  My take:ccm wamejipanga kwa mengi kuelekea uchaguzi2015 na kama kweli wataingiza vijana wasomi basi game la upinzani litachange, inabidi wanacdm tutafute njia mbadala sasa ili twende nao sawa na vijana wetu nao kila kona ya nchi wapate mafunzo ya kutambua wizi wa kura na ulinzi wa kura bili kuathili process nzima ya upigaji kura.
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2013
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hawajajua shida ya ccm ni kwenye akili na si umri.je ndesamburo na lusinde nani mkubwa?je kigwangwala ni mkubwa kuliko lisu?
  ccm wanatakiwa kuwaachia makada wake akili badala ya kuzihifadhi lumumba.
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Mbona tayari wanamsomi "daraja la kwanza" Mwigulu Mchemba,lakini mambo yake afadhali ya Ngonyani Maji Marefu.!!!
   
 19. k

  kitakali kiwofu Senior Member

  #19
  Oct 24, 2013
  Joined: Oct 3, 2013
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wanawaingizaje?? Kwamba wanatupiwa kama magunia?? Je wanaenda kama wabunge wa viti maalum au wabunge wa kuchaguliwa na wananchi?? Kama ni kwa kura za wananchi waambie waache DAY DREAM, CCM WANANCHI WENGI WAMEIKATAA
   
 20. F

  FUSO JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,822
  Likes Received: 2,302
  Trophy Points: 280
  Ukiondoa hizi njaa njaa, Hivi kuna kijana msomi na makini yeyote ambaye anaweza kujiunga na CCM kwa sasa?
   
Loading...