ccm na mkakati kuhujumu chadema kwa kumfitini diwani wa sinza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm na mkakati kuhujumu chadema kwa kumfitini diwani wa sinza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BUBERWA D., Mar 15, 2012.

 1. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  kwa habari kutoka ndani ya vikao vinavyo endelea kwa siri baina ya wenyeviti wa serikali za mitaa sinza ambao wote ni ccm na viongozi wao wa chama wanafanya mikakati usiku kucha kuhakikisha diwani huyo anaingizwa matatani kwa namna yoyote ile baada ya gilba ya kukwamisha shughuli za maendeleo kukwama. sasa wameandaa mkakati wa kumdhalilisha katika mazingira ya kuonekana kwamba amepokea rushwa. sasa wana jamii pccb wanafanya kazi ya mwakin'ginda fisadi alieshindwa udiwani sinza nakamanda pamba. wanajamii toeni mikakati ya kuzuia hawa walio filisika kisiasa.
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yaaani sijakunyaka unakusudia kusema nini?
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Aonekane amechukua rushwa ili a-influence maamuzi yapi, kwani diwani huyo ana kura ya turufu kwenye maamuzi?
   
Loading...