CCM na mbinu zake kuwavua uraia wafuasi wa ACT wazalendo ushahidi huu hapa (video)

ACT wazalendo wamefanya nini cha kushangaza hadi wawe na ubavu wa kusimama na heavy weight CCM?
 
CCM wanataka watu wauane Zanzibar,wanawashwa na wamechoka amani,ndio maana wanavuruga kila utaratibu wa kisheria uliowekwa.

Sasa utawalazimisha watu mtawala wasiemtaka?

Halafu ukiweka wasiemtaka utarajie maendeleo?
CCM wafanya siasa safi zilizosemwa na Mwalimu Nyerere,siasa safi sio hila na kutumia mamlaka kupora haki za watu.

Halafu siku watu wakivurugana ndio vianze vikao vya maridhiano?
 
Secta ya Bandari sina tena hofu na nyie maana mpo vizuri sana hongereni. Secta ya Afya inazidi kuboreka sana, hakuna tena kupeleka wagonjwa hindia. Hi yote ni kumpongeza sana raisi wetu mpendwa Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa kujenga nchi kwenye secta mbalimbali ili kukuza uchimi wa nchi.
IMG-20191226-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom