CCM na Mali zao, CHADEMA na wananchi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Mali zao, CHADEMA na wananchi wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chigwiye, Feb 3, 2011.

 1. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani Mwanza hakukaliki,leo askari wamevamia duka la furniture kenyatta road na kubeba karibu 1/2 ya mali yote.Tena wanavamia kwa kunyatia kama vibaka.Mfanyabiashara huyu alikua amedisplay seti moja tu ya meza ya ofisi mbele ya duka lake,dhahma aloipata inasikitisha sana,i wish ningekua na cemera niwaonyeshe yanayoendelea nchi hii.Najua pengine sheria hairuhusu kudisplay nje mlango wa duka,lakini nguvu ilotumika na hasara alopata haifanani kabisa na kosa lake,wamebeba mpaka bidhaa ilokua ndani kabisa,huu si ubinadamu,ifikie hatua askari wawe na reasonable thinking.kila askari aliondoka na chake pale.Je huu ni uungwana?Serikari ya CCM inanyang'nya hata kidogo walichonacho wananchi,CHADEMA wanapita mtaani kuwatuliza wananchi na kuwapa pole kwa yanayowakuta,wakichukizwa na hila za askari kuvizia na kuiba badala ya kuwaendea wavunja sheria kisheria.Mimi binafsi nimeumia sana.
   
 2. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Poleni sana! bt msijali siku na wakati waja, ukiona yaliyokuwa yakitendeka huko ulaya ya kudai haki na maendeleo yameingia Africa basi ujue kuwa ukombozi wa mwafrika dhidi ya ukandamizaji na uonevu wa mwafrika mwenzetu unaenda kuwa historia kama zilivyo historia nyingne!! Mi nakwambia huo uovu unaotendeka usdhani kuwa haujapangwa, CCM inapanga kila mbinu kumdhoofisha mwananchi kwani ishaona kuwa haina chake sasa coz CHADEMA iko kazini, yan wanajuta kwa nini SLAA kaachwa uraiani, wanatamani ata afe, bt hafi coz tunafunga na kuomba kwa ajili yake, waliyotufanyia Arusha ni dhahiri kuwa wana mpango mbaya na mwananchi wa Tz so usishangae ata iyo ya uko Mwanza. Kaza boot coz FREEDOM IS COMING TOMMOROW IF NOT TODAY! Mpeni pole sana huyo jamaa yetu, mwambie makamanda wa Arsh tumeipata na tunaenada kuitengenezea mabango na siku ya maandamano nayo itakuwa hewani!!
   
 3. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmhh.
   
 4. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We must fight for our rights,haki haiombwi inadaiwa
   
 5. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa jamaa wanatekeleza usemi huu "CHUKUA CHAKO MAPEMA"
   
Loading...