CCM na Magufuli msione Watanzania ni Wajinga kwa mnachokifanya

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Jana usiku Niko mtaa Fulani wa Ilemela panaitwa Magaka nikasikia mtu anatangaza

"Mkutano mkutano,wananchi wote mnakaribishwa kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya utakaofanyika hapa mtaani,ewe Dada,ewe kaka ewe mwananchi unaombwa kuhudhuria mkutano huu,una wasiwasi gani ni mkutano wa CCM chama Dola hata watoto wanatambua"

Hivi nyie CCM na huyo Mwenyekiti wenu mnaona kwamba nyie ndo mna hati miliki ya Nchi hii? Wengine mnawakataza kufanya mikutano nyie mnafanya

Magufuli anajenga miradi mikubwa kwa sifa tena kwa hela za kukopa wakati wananchi wake wanateketea kwa umaskini wa kutupwa

Watanzania lazima tutambue hii CCM haina nia njema na Nchi na huyu Magufuli hana lolote ni walewale tu angekua ana nia njema na Nchi na kutaka kukumbukwa na vizazi na vizazi angetengeneza katiba mpya inayowapa nguvu wananchi na mahakama hapo angekubalika kwa 100% sio hii miradi yake anayoleta iliyojaa ushamba na ulimbukeni wakati baada ya muda itashindwa tu kuendelea.

Poor CCM Poor Magufuli
 
Unapochezesha timu mbili kinzani, halafu moja ukawafunga mawe mzito miguuni kila mtazamaji ataona.
Sasa ili ambayo miguu iko huru inafunga magoli na kushangilia huku watazamaji wameduwaa ndio unaitwa ujinga.
Unless watazamaji wawe wajinga nao ndio hawataona hiyo tofauti na kuona ushindi huo ni fake, au refa naye awaone watazamaji ni wapumbavu.
Watanzania sio wajinga kiasi hicho, wameshajua CCM ni zigo lisilo bebeka na linalazimisha kukubalika
 
Jana usiku Niko mtaa Fulani wa Ilemela panaitwa Magaka nikasikia mtu anatangaza

"Mkutano mkutano,wananchi wote mnakaribishwa kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya utakaofanyika hapa mtaani,ewe Dada,ewe kaka ewe mwananchi unaombwa kuhudhuria mkutano huu,una wasiwasi gani ni mkutano wa CCM chama Dola hata watoto wanatambua"

Hivi nyie CCM na huyo Mwenyekiti wenu mnaona kwamba nyie ndo mna hati miliki ya Nchi hii? Wengine mnawakataza kufanya mikutano nyie mnafanya

Magufuli anajenga miradi mikubwa kwa sifa tena kwa hela za kukopa wakati wananchi wake wanateketea kwa umaskini wa kutupwa

Watanzania lazima tutambue hii CCM haina nia njema na Nchi na huyu Magufuli hana lolote ni walewale tu angekua ana nia njema na Nchi na kutaka kukumbukwa na vizazi na vizazi angetengeneza katiba mpya inayowapa nguvu wananchi na mahakama hapo angekubalika kwa 100% sio hii miradi yake anayoleta iliyojaa ushamba na ulimbukeni wakati baada ya muda itashindwa tu kuendelea.

Poor CCM Poor Magufuli
 
Jana usiku Niko mtaa Fulani wa Ilemela panaitwa Magaka nikasikia mtu anatangaza

"Mkutano mkutano,wananchi wote mnakaribishwa kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya utakaofanyika hapa mtaani,ewe Dada,ewe kaka ewe mwananchi unaombwa kuhudhuria mkutano huu,una wasiwasi gani ni mkutano wa CCM chama Dola hata watoto wanatambua"

Hivi nyie CCM na huyo Mwenyekiti wenu mnaona kwamba nyie ndo mna hati miliki ya Nchi hii? Wengine mnawakataza kufanya mikutano nyie mnafanya

Magufuli anajenga miradi mikubwa kwa sifa tena kwa hela za kukopa wakati wananchi wake wanateketea kwa umaskini wa kutupwa

Watanzania lazima tutambue hii CCM haina nia njema na Nchi na huyu Magufuli hana lolote ni walewale tu angekua ana nia njema na Nchi na kutaka kukumbukwa na vizazi na vizazi angetengeneza katiba mpya inayowapa nguvu wananchi na mahakama hapo angekubalika kwa 100% sio hii miradi yake anayoleta iliyojaa ushamba na ulimbukeni wakati baada ya muda itashindwa tu kuendelea.

Poor CCM Poor Magufuli
Write reply...Ama kwelvbn Zb i usemi wa Suleman, unazidi kutimia, unaosema, Mpumbavu ni za Mpumbavu tu hata ukimtwanga, hawezi kuuacha u pumbavu Wake Wakes Wakes zw Wakes Wakes wakes wakes za c ,Kweli wewe ni sigara kali, nafikiri Hilo , Ji

Write your reply...uliye toa post kama ungekuwa na akili timamu, ungekumbuka tulipo toka na Sasa tulipo pia mtazamo wa tunapokwenda, Lakini Kwa kuwa Suleman alisema mpumbavu ni mpumbavu tu hata kama ukimtwanga kwenye kinu, hawezi kuuacha, baki nao hivyo hivyo, uzembe wako wa kutokufanya kazi Ndio unasema Watanzania wanateketea kwa umasikini, jiseme wewe ndie unaeteketea, kwa umasikini, siokupeana Watanzania, Watanzania tunafanya kazi sambamba na kauli ya Rais, ulizoea saw mahindi ya Msaada, wakati Tanzania tuna Aridhi tele, pia zipo fursa nyingi za kujiajiri, Hata Bible inasema asiye fanya kazi asile, pia mfalme Suleman akasema Mtu muvivu, huamka mapema akachungulia Nje, Kisha hurudi kitandani na kusema Nje kunabaridi pia Njiani kuna Simba, Ngoja nilale, hivyo mwisho wake Umasikini humuvamia kama Mnyang'anyi mwenye siraha kali,Ulizoea nyama ya Vibudu, Ya Butcherni, Huiwezi, Acha Watanzania tunaojitambua Tufanye kazi, Ili Taifa letu lizidi kusonga Mbele Na JPM Rais mzalendo, Ambae ameondoa ubaguzi wa matabaka kati ya Tajiri na Maskini, Wana nchi na Serikali, Hakuna Uonevu, na Hakuna kiongozi yeyote wa upinzani, Ambaye angetawala, akaiweka kwenye uwiano wa haki Nchi hii, kama Viongozi wa upinzani, wao kwa wao wanapigana Madiri, kwenye Vyama, iweje Wakabidhiwe Nchi si litakuwa Sereka:
 
Write reply...Ama kwelvbn Zb i usemi wa Suleman, unazidi kutimia, unaosema, Mpumbavu ni za Mpumbavu tu hata ukimtwanga, hawezi kuuacha u pumbavu Wake Wakes Wakes zw Wakes Wakes wakes wakes za c ,Kweli wewe ni sigara kali, nafikiri Hilo , Ji
Write reply...Ama kwelvbn Zb i usemi wa Suleman, unazidi kutimia, unaosema, Mpumbavu ni za Mpumbavu tu hata ukimtwanga, hawezi kuuacha u pumbavu Wake Wakes Wakes zw Wakes Wakes wakes wakes za c ,Kweli wewe ni sigara kali, nafikiri Hilo , Ji
Oya we umelewa au?
Mbona umeandika utumbo?...Jamani humu kuna walevi
 
Back
Top Bottom