CCM na Katiba mpya

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Ndugu wana Jf,

tunaelewa kuwa kwa sasa nchi yetu ipo katika mchakato wa kutaka kubadili katiba mpya kutoka katika ile katiba ya zamani ya mwaka 1977,ambayo haina tija kwa wakati huu tulionao

hofu yangu ni juu ya CCM NA KATIBA MPYA, kwani tutambue kuwa ccm ndio iliyounda serikali kwa sasa

na maamuzi ya kuanzishwa au kutoanzishwa kwa Katiba mpya yanatolewa na serikali pekee

na hii katiba yenye vilaka milioni 1 ina ipendelea zaidi serikali iliyoko madarakani yaani serikali ya ccm,

sasa je hii serikali ya ccm itakubali kupitisha mchakato wa katiba mpya?

na kama itakataa kupitisha mchakato huu wa katiba mpya nini kifanyike ili kuweza kulazimisha uanzishwaji wa katiba mpya?
Pia tuelewe kuwa katika tume anazoziunda raisi juu ya mchakato wa katiba kama alivyo sema WAZIRI MKUU PINDA kuwa sheria haimlazimishi RAISI KIKWETE kukubali kila kinachopendekezwa na Tume anazoziunda mwenyewe kuhusu suala LOLOTE LILE.
Je Raisi atakubaliana na mchakato ambao hauna manufaa na maslahi ktk chama chake?

kazi kwetu wanajf

mapinduziiiiiiiiii daimaaaaaaa :target::target:
 
Usemalo ni kweli bt lets see km watakubali wn ccm kubadili katiba au watalazimika kufanya hvy km wakenya walivyolazimisha.
God help us to make a wise uamuzi
 
Back
Top Bottom